Mpira ni Mapumziko huko Uturuki na Simba yuko nyuma kwa goli moja.
Mchezo ni mzuri na wa kuvutia kwa pande zote mbili lakini ni wenyeji wameanza kuzifumania nyavu.
JINA la Fiston Mayele halikuwepo katika orodha ya wachezaji waliotambulishwa Jumamosi jioni wakati Yanga walipofanya tamasha lao la wiki ya Mwananchi. Hakuna aliyeshangaa sana. Moja kati ya siri...
Simba Sc ikiwa inacheza kwa kasi kama umeme imepiga mtu 2-0 huko Uturuki. Hii ni mechi ya mchana tu,jioni ya saa 12 tunapiga game nyingine. Hii ni tahadhali kwa timu ndogo ndogo na zile za CAF...
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Hamis Mwinjuma amekutana na kufanya mazungumzo na mwakilishi wa La Liga nchini Tanzania, Jorge Gazapo kwa ajili ya kuangalia maeneo mbalimbali...
Binafsi nilitarajia msimu huu tutafumua kikosi na kuunda upya kwa kusajili makinda wanaofanya vizuri kwenye vilabu vikubwa, kuanzia walinzi, viungo na washambuliaji.
Hii ingetusaidia sana kwa...
Ahmed Ally amesema Siku ya Simba Day wataalika Mabingwa wa Zambia, Power Dynamos kwenye kilele cha siku ya Simba Day.
Wasanii wengi wakubwa watakuwepo.
Rekodi ya mwaka jana walijaza uwanja saa 7...
Nimecheka sana leo, semaji la Azam Hashim Ibwe akiwa hana aibu wala haya ameonekana akiuelezea mchezo wa kirafiki baina ya Azam vs Stade Tunis huko Tunisia.
Alianza vizuri kwa kusema kuwa...
Salam wakuu
Kuna kitu wanaYanga wanalaumiwa kuwa hawakwenda kuujaza uwanja hivyo wanasimba hujinadi kwamba wao watakuwa full house, wewe umesikia wapi.
Ni hivii, kwa siku za karibuni morali ya...
Mpira ni pesa, kutunza uwanja wa mpira na miundombinu yake ni ghali sana, lakini hata gharama za kuendesha timu na kuandaa mechi ni kubwa sana. Mpira wetu umekuwa sana, unakusanya wachezaji...
Deal done,
Kocha wa zamani wa Mabingwa wa makombe yote nchini Yanga Africa professor NABI ajiunga rasmi na Rabat Mabingwa wa ligi kuu Morocco.
Kila la heri mwamba Nabi huna baya.
Timu ya Simba ambayo iko kwenye Kambi ya maandalizi nchini Uturuki leo tarehe 24 Julai inacheza mechi yake ya kwanza ya majaribio.
Mechi hiyo itaanza saa 10:00 jioni kwa saa za Afrika Mashariki...
Habari wakuu,
Katika hali inayoonekana kuwa ya kushangaza Klabu ya Soka ya Yanga yenye Makao Makuu yake mitaa ya Twiga na Jangwani imepata mashtaka mengine tena TFF.
Wachezaji Yanic Bangala na...
Wizara ya michezo kupitia kwa Kaimu Mkurugenzi wa michezo imesema huenda club ya Simba ikazuiwa kutumia uwanja wa Benjamin Mkapa wakati wa kusherehekea kilele cha wiki ya Simba kwa sababu ya...
Haiwezekani Sisi tuliofika Fainali ya CAFCC tunaanza hatua za awali kabisa (za Wachovu na Wasiojua) CAFCL halafu Simba SC walioishia au waliozoea kuishia hatua ya Robo Fainali ya CAFCL wao...
Je hii ni pressure ya league kuanza au ni nini, je taasisi kama hii kubwa haina watu wanao hakiko kitu/taarifa kabla haijaenda public? Ni vyema kuwe na wahariri na nina imani yupo lakini kazembea...
Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro anaeleza sababu ambazo zilipelekea timu ya Majimaji ya Songea kufa licha ya GSM kuwa msimamizi wa timu hiyo ukizingatia amezaliwa Songea.
Chanzo...
Naamini Yanga msimu huu wanakwenda kufundisha Simba namna gani ya kuingia nusu final ya Klabu bingwa Afrika.
Yanga naamini watafika nusu final
Kuhusu final ndo sijui sasa lakini nusu final...
1. Diarra
2. Kibwana
3. Kibabage
4. Dikson
5. Bakari
6. Aucho
7. Zengeli
8.Yaya
9. Musonda
10. Zouzoua
11. Aziz Ki
Aziz Ki namba kumi imemkataa akajaribu kwanza kucheza pembeni ambako kuna...
Klabu ya horoya iliyopigwa 7 bila msimu uliopita, tp mazembe iliyopongwa nje ndani na yanga pamoja na Simba iliyoshindwa kuchukua kombe lolote mbele ya YANGA Zitaanzia raundi ya pili katika...