[emoji599]Klabu ya PSG imepanga kumpa ofa ya miaka 10 yenye Thamani zaidi €1B kwa kila msimu mmoja, Emir wa Qatar tayari ameshaidhinisha ofa hiyo,[emoji857]
Source Defansa Central . Com
Kijana...
adriz na Bila bila Elimu yetu ile Kubwa ya kule Peru na Costa Rica imetusaidia sana kuwaza mbali zaidi ambako Wengine hawawezi.
Simpigii tena Promo Demu ambaye hata bado sijamuona nikihisi labda...
Ni jambo zuri sana kuzindua jezi sehemu ya kiutalii kama Mlima Kilimanjaro. Lakini ingekuwa ni jambo zuri zaidi kama ingekuwa ni sehemu ambayo uongozi mzima ungekuwa unaweza kufika…!!! Na sidhani...
Mashabaki wengi huwa wanapenda kulalamika kuwa jezi sio bora ila leo napenda kuwapa neno kidogo.
Jezi zozote hutengenezwa kulingana na uwezo wa walaji(wanunuzi) ni kama simu tu jinsi tunavyoona...
Leo ni Mwananchi Day kila mtu anatambua hilo "Happy Mwananchi Day, Young Africans🎊
Pamoja na kutambulika kama ni Mwananchi Day, ila "haioneshi" kama ni siku yake mwananchi.
Kuna sababu nyingi...
Kama jezi ya timu yako haina logo ya Nike, puma, umbro au adidas badala yake ina logo ya vunja bei, sandaland, sijui kindoki, gsm na akina aden rage, hiyo ni fulana na bukta tu, sio jezi ya...
Kama Yanga wanadhani wamefanya ubunifu basi wamekosea sana kwani kuna jezi yao ile yenye mistari kwa chini ni kama jezi ya netball.
Mwanzoni nilijua kwa vile kwenye logo yao kuna yule mtu kama...
Kuna uwezekano wengi wenu wakashangazwa na uzi huu kutokana na maneno haya kuwa Yanga watafika Fainali ya Klabu Bingwa mwaka huu, lakini sitaki kuwa mchambuzi sana ila nataka mjue suala hili lipo...
Mdau,
Napenda kutoa tahadhari kwa mashabiki wa yanga kwa msimu huu wa 2023/2024 utakuwa msimu mgumu sana sana kwa timu hii yenye makazi yake Avic town
Balaa litaanzia Jun 22 ambapo sherehe...
Michezo ni moja ya sanaa inayokuwa kwa kasi kubwa nchini Tanzania, katika siku za hivi karibuni kumekuwa na mijadala mkubwa juu ya masuala mbalimbali yanayoingusa tasnia hiyo kutoka kwa wapenzi na...
Habari zenu wanajamvi kipindi hiki ni wakati wa maonyesho ya sabasaba.
Nimeshangaa kuona simba na yanga hawana hata kibanda pale saba saba hili ni kosa kibiashara ukilinganisha hizi timu zina...
Mchezaji anaweza kuletwa hapa Simba yupo vizuri sana ukimfatilia huko alikotoka ila msimu ukianza unakuta uwezo unashuka, majeraha, kukosa namba ilhali yuko poa na vimbwanga vingine sana baada ya...
Ubora wa nguo unapimwa kwa vigezo kadhaa. Hapa kuna mambo muhimu yanayochangia ubora wa nguo:
1. Vifaa vya malighafi: Vifaa vya malighafi vinavyotumika kutengeneza nguo ni muhimu sana katika...
Mchezaji wa Kimataifa wa Ufaransa na Timu ya PSG KYLLIAN MBAPE amewasili nchini Cameroon kwa ziara ya siku tatu. Apata mshangao mkubwa kwa maelfu ya watu waliojitokeza kumpokea Airport.
Mbape...