Una jua kuna vitu vinafikirisha mno.
Jumatatu kulikuwa na story za Yanga kufungiwa kutokusajili mchezaji yeyote. Wasakatonge wakawa wanashangilia, hata ushahidi wa picha ukawekwa bayana, ili...
Nilitegemea atahukumiwa ama Kifungo cha Miaka 15 au hata Maisha na Faini ya Shilingi Milioni Kumi ( 10 ) ili iwe Fundisho kwa Wapuuzi Wenzake wengine cha Kushangaza kafungiwa Mwaka Mmoja tu na...
Nilitaka niposti kwenye jukwaa la michezo ila kwa hili lililotokea lina kipaumbele cha amani tuliyonayo kutiwa doa kuzidi sheria za mpira,
Kuna timu kutokea Kigoma inaitwa Mashujaa, leo walikuwa...
Nimeona taarifa ya TFF kuwa Kocha wa Makipa wa Timu ya Mashujaa aliyempiga ngumi ya usoni Kocha wa Mbeya City kuwa amefungiwa mwaka Mmoja na Faini ya Milioni 2.
Niseme tu kuwa, natamani siku...
Pale Real Madrid kulikuwa na mtoto wa nyumbani. Wachezaji walisajiliwa wakamkuta Guti wakamaliza wakaondoka wakamuacha Guti.
Huyu alikuwa zao la academy ya Madrid, aliipenda Madrid kuliko kitu...
NALIA NGWENA nimejiuliza swali Hilo baada ya kuona Simba sc kila msimu wanakimbilia nje ya nchi lakini ukija kuchunguza mafanikio ni zero (no improvement).
Siwezi kuwa mmoja wa mbumbumbu kupiga...
WAKATI Simba ilionekana kama imekosea kuwasajili Victor Akpan na Nassor Kapama katika dirisha kubwa lililopita la uhamisho, hatimaye Januari ikafika. Mtu mmoja mwenye busara zake akaishauri Simba...
Kudadadeki TFF andaeni kabisa Kombe la NBC kwa Msimu ujao wa 2023/2024 kwani kwa vyuma vitano hatari nilivyoviona Mwenyewe na ninavyowajua Uwezo wao mkubwa Uwanjani kuna Timu itabeba Vikombe vyoye...
Klabu ya Yanga imetangaza kupokea mwaliko maalumu kutoka serikali ya Malawi kucheza mchezo maalum kwenye maadhimisho ya ya miaka 59 ya Uhuru wa Taifa hilo lililopo Kusini Mashariki mwa bara la...
Hakuna kitu kinachonifanya nikasirike kama mpira wetu huu wa bongo swala la ligi. Timu ni mbili tu simba na yanga na kila mchezaji wa ndani anatamani kufikia hapo. Wachezaji wakishatoka au mkataba...
Nimemuona Tshabalala kwenye mechi ya Team Kibwana vs Team Job ingawa wapo baadhi ya wachezaji wa Simba wakiwemo Israel Mwenda na Mzamiru Yassin.
Hata hivyo nimeona pia kwenye page ya engineer...
Shirikisho la soka la Kimataifa (FIFA) wamekuja na sheria mpya ya offside ambayo ili mchezaji ahesabiwe alikuwa offside ni lazima awe amempita mchezaji wa timu pinzani kwa mwili wake wote
Simba inatakiwa kupunguza wachezaji wa kigeni ili iweze kusajili wengine, kwa sasa imebakiwa na wachezaji 9, hivyo ina nafasi ya kuongeza 3 wa kigeni ili kufikia 12, hata hivyo inaonekana Simba...
Mimi kwetu ni Tanga, nimezaliwa Ocean Road pale Ilala lakini babaangu ni mdigo wa Mwakidila ila ameniachia nyumba pale Mabawa, nina ndugu Chumbageni, Commercial, Mikanjuni, usagara na Duga.
Tanga...
Hili chama la chamazi ukilipanga kosi lake sio mchezo, linatisha hasa.
Kama mwakani litashindwa kubeba ndoo kwa kweli wavunje timu.
Winga Sopu, winga mraja Casablanca, mido Akaminko mido...
Mmoja wa wachezaji waliopewa "Thank You" pale Simba ni Mohammed Outtara. Huyu ni mchezaji ambaye kila mara watu walipokuwa wakiongelea wachezaji wabovu waliopo Simba na huyu alikuwa anatajwa na...
Kiukweli nchi hii ukiwa akili au tajiri utazidi kuwa tajiri.
kuwepo kwa kadi za uwananchama sio kutengeneza mazingira ya kuwachangisha kisha muwekezaji asitumie pesa yake.
wanachama watakapo...
Kaizer Chief wanajua sana.
Wakati wa anafanyiwa usaili alijigamba kuwa anaweza kuleta maajabu kilabuni, akaambiwa njo uanze kazi akaanza mara nije na Mayele na benchi langi lote,janaa wakamstukia...
Rais Samia katika jitihada za kukuza michezo nchini alitoa ndege ya bure kwa wachezaji na wadau wa soka nchini kwenda Algeria kuipa hamasa Yanga ya kupambana.
Inafahamika kuwa wadau wa michezo ni...