Uongozi wa Simba SC hakuna ulazima kila Yanga SC ikitoa Ripoti yake hasa ya Mapato au Mafanikio fulani basi nanyi pia haraka sana mje na yenu ya Kubumba (Kupika) na kufanya Kwenu hivi ni...
Wanayanga hivi kweli sisi ni wakupewa 1300 kwa kila mauzo ya jezi moja?
Kwa data nikizonazo msimu huu tumeuza jumla ya jezi 100,000/-
Hembu tufanye mahesabu ya haraka hapa
35,000 kwa jezi moja...
Bondia Machachari Bw. Karim Said maarufu Mandonga Mtu kazi ametembelea banda la Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo ambapo ametangaza ngumi mpya iitwayo "Kingugi" anayotarajia kuitumia kwenye...
Hii timu tumevumilia kwenye nyakati zote ngumu de gea akitubeba timu ikiwa mbovu kupindukia na makocha wabovu kupindukia ila degea amekuwa kwenye ubora wake kwa muda wote huo ametubeba
Nilimuunga...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Mhe. Albert Chalamila pamoja na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania ( TRA) Bw Alphayo J. Kidata leo 01/07/2023 wameshiriki Bonanza la michezo la TRA na...
BILA Kujali timu unayoishabikia wala Mchezaji unayemshabikia.....hili SUALA la Wachezaji wanaocheza ndani na wale wanaocheza nje ya Tanzania Kutoa misaada ya kuwagusa Moja kwa Moja jamii...
Naanza kuona matunda ya Uongozi wa Eng Hersi Saidi. Alipoingia Yanga alikuta timu iko kwenye bajeti ya Bil 6. Kwa uongozi wake mathubuti jamaa ameweze kuibua vyanzo lukuki vya mapato.
Mpaka sasa...
Endapo Simba sc watavunja mkataba wa Sawadogo itabidi wamlipe kitita Cha shilingi milioni Mia Saba na chenchi (700) mil lakini Simba sc wakimuuza kwenda kwenye timu nyingine itabidi wamlipe kitita...
Uchambuzi
Tanzania imepanda katika ubora wa viwango vya soka vya Dunia hadi nafasi ya 123 kutoka nafasi ya 130 iliyokuwepo hapo awali.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Shirikisho la Mpira...
Simba tumekosea sana kumuachia kiungo mkata umeme hata akiwa benchi,
Nimeumia sana maana hata bin kazumari alisemaga kuwa mnyama hapa hajapigwa kwa sawadogo why aachwe?
Sawa sawa na tumemuacha...
Kocha wa makipa Mashujaa FC kampiga kocha wa Mbeya City wazi wazi bila ya kificho na dunia imeona.
NALIA NGWENA nimeshangazwa sana na hiyo adhabu ndogo aliyopewa lakini Hajji Manara aliyekua...
Mechi ile ya Nusu Fainali baina ya Simba na Yanga iliyofanyika Uwanja wa Lake Tanganyika Mkoani Kigoma na Kujaa hadi Pomoni huku Hamasa ikiwa Juu ilitosha sana Kuwaambia TFF kuwa iwe isiwe ni...
Hivi nyie wachezaji wa bongo anawashauri nani? Yaan uikache timu inayokwenda kushiriki Super League, timu inayokwenda pre season ulaya, timu inayocheza ligi ya mabingwa unaenda kuchezea timu...
Zipo taarifa kuwa mwamba kutoka Ghana kasinya kandarasi huko Chamazi, aisee winga Morrison, winga m Raja Casablanca, huku benchi Kipre Junior, Sopu, Idd Nado, Ayoub Lyanga.
Watu hawataingiza timu...
habari za saizi wakuu
mi ni mfwatiliaji wa mieleka na nimeanza kufwatilia baada ya kushawishiwa na jamaa yangu
zamani nilikuaga sielewi nilikua naona wanaigiza tu lakini nilivyo fwatilia na...
Nimetazama report ya mapato na matumizi ya klabu ya Yanga SC kwa msimu uliopita.
Yanga sc imeteangaza Kupata Faida ya million 581 katika msimu ulioisha 2022/23 .
Mapato Billion 17.8
Matumizi...
Mpira ni mchezo wa wazi uliokunyanya wadau wengi sana wanaoufuatilia, hivyo sio hekima kwa mtu asiyekuwa na weledi wa uchambuzi na uwandishi wa mpira akajichambulia na kujiandikia kwa kuongozwa na...