Ukiniuliza mimi ni shabiki wa Timu gani nitakujibu, (Mimi ni shabiki wa Simba ila Naipenda Yanga daima) Yanga ni Timu kubwa ambayo inaendeshwa kikubwa licha ya kuwa asilimia kubwa ya viongozi wake...
Timu ya Tanzania ya Beach Soccer imepata Medali ya Bronze baada ya kufanikiwa kuwachapa Libya Magoli 9-3.
Morocco imetwaa Ubingwa baada ya kutoka Sare ya 3-3 dhidi ya Senegal, mchezo ulioishia...
Nataarifiwa hapa kuwa Mazungumzo yaliyotamatika jioni hii kati ya Wakala wa mchezaji na Bwana Hersi yamefikia tamani.
Yanga wame-table mshahara wa Mil 5 kwa mwezi kwa mchezaji na pamoja na...
Naibu Spika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mussa Azan Zungu amesema tangu Rais wa Dkt. Samia Suluhu Hassan ameingia madarakani amehamasisha masuala ya Utamaduni na Michezo ambaye...
Mwanasoka wa Manchester City, Benjamin Mendy (28) anatuhumiwa kwa kosa la kumbaka msichana mmoja mwenye umri wa miaka 28 na kumwambia msichana huyo “ni sawa, kwani ameshafanya ngono na wanawake...
Ndugu mko salama?
Kwa wale ambao hamkubahatika kuiona mechi kali kati ya Argentina vs France pale Qatar basi muda huu kupitia Dstv channel No. 224 wanaonesha mtanange huu muda huu.
Kazi kwenu.
Tazameni kwa umakini goli la pili,linatia raha sana. Ni kama kuukung'uta mchuchu goli la kibabe kelele zake ziufikie mtaa wa tatu. Ukiwa unautoa nje anatembea kibabe....namna hii
Ally Kamwe alijibu swali Hilo kupitia Mpenja TV.
Micky Jr anatumika vibaya na wanasimba kusambaza propaganda dhidi ya Yanga sc, hakuna alijualo kuhusu Yanga sc na habari zake ni kubashiri tu...
Philip Jones alisajiliwa na aliyekuwa kocha wa Man Utd, Sir Alex Ferguson mwaka 2011. Kipindi hiko akiwa kinda akichezea Blackburn Rovers.
Alitajwa kama mchezaji bora katika nafasi ya ulinzi wa...
Wanariadha Faraja Lazaro Damas na Magdalena Shauri ambao ni Mume na mke na ni waajiriwa wa (JWTZ) wameshinda mbio za JKT Half Marathon 2023, Zilizofanyika tarehe 25 Juni 2023, jijini Dodoma...
Leo nimesoma comment za wakongo kuhusu Fiston Mayele. Pamoja na kuwa Mayele hapa kwetu tunamuona King wa Goals, kwao Kongo kule kuna watu hawamkubali kabisa na kila akifanya vizuri kazi yao ni...
Kolo aka mbumbumbu fc sijui ni lini watakuwa makini na usajili. Kila msimu ukitia ndani msimu huu, wameendelea kusajili magarasa tu. Sasa hivi wanahangaika na Djuma Shaban, Yanini Bangaiza, na...
Ningepata nafasi ya kumshauri Fiston Mayele
Ningemshauri kuwa Na yeye aendae mchenzo wa kucsaidia ndugu zetu wa Kongo ya mashariki wanao teseka na vita mchenzo uo utausisha wachezaji wa Mazembe...
Niambieni walishinda CAF msimu huo?
Kila Sehemu na Tamaduni zake katika Football, Afrika tuna utamaduni wetu tofauti na Ulaya Japo tunaweza endana kwenye vitu flan but vingine tukatofautiana.
Timu hii mwaka jana ilisifiwa sana kiasi kwamba wengine tulidhani itafika mbali sana.Ukweli walichojitahidi tu ni kuondoa unyonge wao dhidi ya Simba.Na hapa tuliona kocha aliyekuwa na mapenzi na...
BREAKING NEWS 🚨
Tunayofuraha kuwataarifu kuwa tumefikia makubaliano na klabu ya @RCAofficiel, ya kumnunua kiungo wao mshambuliaji, Gibril Sillah.
Nyota huyo wa Gambia, anatarajia kutua nchini...