Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Naona baadhi ya Watu ni kama wanalazimishwa kusikiliza au kuimbishwa mapambio yanayohanikiza kwamba Simba haikufanya sahihi kujiweka mbali na hili suala lililomkuta Bw Muharami. Na hata ukiwauliza...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Ni ukweli pasina shaka simba tumeonesha hatupendezwi kabisa na uwepo wa engineer maana anatishia brand yetu na kumtesa sana Mo Dewji. Tuungane na wachambuzi wetu kumshambulia ili atoke yanga...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Leo majira ya saa 10 alasiri Taifa stars itachuana na Niger katika mchezo wa kufuzu Afcon 2024. Tutakuwa mubashara kupitia uzi huu
6 Reactions
298 Replies
20K Views
Huyu mtumishi wa Mungu na mke wake baada ya kufika Singida walienda kituo cha kulea watoto na kumchukua mmoja ambaye kwa sasa wanaishi nae na mke wake kama mtoto wao Hakika kwa imani na matendo...
25 Reactions
125 Replies
10K Views
Wanamichezo hasa mpira wa miguu, kuna huyu mtangazaji wa Clouds FM hasa katika kipindi cha michezo (hili game & sports extra) wakuitwa Masta Tindwa huwa analeta ubishani, kelele, ujuaji usio na...
5 Reactions
12 Replies
2K Views
Watoto wenye ulemavu wapewe nafasi zaidi ktk suala la michezo ni haki yao
0 Reactions
0 Replies
216 Views
N Aliyekuwa kocha wa Yanga SC Nasreddine Nabi ameeleza maamuzi yake ya kutoendelea kuwa na timu hiyo aliyawasilisha mara baada ya mechi dhidi ya TP Mazembe, na tangu hapo hajawahi kukaa mezani na...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Hakika ingekuwa kama ni mashambulizi ya kimtandao CYBERATTACKS mpaka sasa Timu ya YANGA ingekuwa inaongoza kwa kushambuliwa na ukiishambulia, Yanga means una mshambulia rais wao Kipenzi rais...
9 Reactions
38 Replies
3K Views
Kutoka insta stori ya Kocha @nabinasreddine [emoji3578] "Habari za jioni, Ningependa kufafanua mambo machache. Uamuzi wangu kuhusu mustakabali wangu na Yanga sc ulichukuliwa na kutangazwa klabuni...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Yes nimekaa hapa nikakumbuka yale ya Manzoki na Adebayor mwisho wa siku Manzoki akaja kama kampeni meneja wa mtu flani na sio kama mchezaji. Ukija kwa tetesi mpaka sasa Simba tiyari wana vikosi 2...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Yaani Kocha Nabi aliwaomba mumuongezee Mshahara mumpe Tsh Milioni 50 kwa Mwezi mkashondwa leo ndiyo mumuweze Kocha Pitso Mosimane anayelipwa Tsh Milioni 200 kwa Mwezi? Hivi huwa mnavuta Bange au?
10 Reactions
22 Replies
2K Views
Huu mpira wetu wa bongo una changamoto sana, leo kwenye mchezo wa Stars na Niger golini ameanza kipa namba tatu wa Simba Beno Kakolanya. Halafu kipa namba 2 Ally Salim hata kufikiriwa kuitwa...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
BREAKING: Klabu ya Al Wahda inayoshiriki Ligi Kuu ya United Arab Emirates (UAE) [emoji1256] imemtangaza Pitso Mosimane (58) kuwa Kocha Mkuu.
4 Reactions
26 Replies
3K Views
=== Klabu ya Yanga SC imeachana na mchezaji raia wa Congo DR, Tuisila Kisinda ikiwa ni baada ya mkataba wake kuisha ndani ya klabu hiyo. Taarifa ya Yanga imesema "Tunamshukuru Kisinda kwa...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Inakuingia Akilini Kweli kuwa kama tuliaminishwa kuwa kwa sasa Yanga SC kuna Fedha huku GSM, Taifa Stars na Kiongozi Mstaafu wakiwa nyuma Kuihudumia Kipesa na hapo hapo Timu imeshinda Ubingwa wa...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Unazi pembeni!!! Nikiwa kama mwana msimbazi nikiri tu kuwa mshambuliaji wa timu ya Taifa DRC, Fiston Kalala Mayele hastahili kucheza tena soka barani Afrika. Nimeicheki game yao leo dhidi ya...
9 Reactions
34 Replies
5K Views
Tanzania Nchi yangu nakupenda sana leo Diarra kaanza hakuna kelele, yale sijui anaitwa akapigwe Sub leo kimya. Hii nchi ngumu wagumu ndio tunadumu[emoji1][emoji1] hawa wanaojiita wachambuzi...
7 Reactions
30 Replies
2K Views
MDAU - KILA KITU YANGA, WENGINE HAMUWAONI...! ✍️ Kaandika mdau wa soka, Ole Mushi ! "KWA NINI WACHEZAJI WA SIMBA HAWAULIZIWI NA TIMU KUBWA ZA NJE?" "Sijasikia mchezaji hata mmoja wa Simba SC...
10 Reactions
40 Replies
3K Views
Na kenge, Baada ya Cristiano Ronaldo kutua ligi ya waarabu saudi Arabia,Mastaa wengi wa ulaya wameonesha kuvutiwa na ligi hiyo kutokana na ushindani na pesa zilizopo ligi hiyo. . Ikumbukwe Tetesi...
7 Reactions
40 Replies
3K Views
Leo DR Congo walicheza na Uganda na matokeo ni 1 1, beki Inonga Baka na mshambuliaji Fiston Mayele walianza, hata hivyo Mayele ambaye ni mfungaji bora ligi kuu nchini alitolewa katika dakika ya 73...
15 Reactions
59 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…