Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

YANGA imekubali kiroho safi kuachana na Kocha Nasreddine Nabi. Lakini kimeibuka kitu kingine ambacho ni zaidi ya kivumbi na jasho na hakuna anayetaka kukitolea tamko. Mastaa wao tegemeo watatu...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Nimeona hamasa ya Raisi Samia Suluhu Hassan tu. Wengine mliokuwa mnavimba na kujitutumua mbele ya camera timu zenu za kariakoo (Simba na Yanga) zilipokuwa zikicheza mbona Jambo la kitaifa...
0 Reactions
0 Replies
361 Views
Mchezaji wa ukweli na mwenye hadhi ya kimataifa hawezi kuingizwa dakika ya 86 halafu hao wanaocheza humo ndani nao wana uwezo wa kawaida sana, huyu ADEBAYOR hapana, hapana, hapana, ni wizi mtupu...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Ukimuangalia sura yake kwa kuzoom utaona chembechembe za kiburi na dharau. Feitoto alisema bayana ila wako wengi tu hawamkubali,kuanzia benchi la ufundi mpaka wachezaji. Acha kiburi ba majivuni...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Baada ya Tanzania kuibuka na ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Niger katika uwanja wa Taifa wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam kwa goli la Simon Msuva, Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa kupitia...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Sio kwamba namkashifu kocha lakini kiukweli upangaji wa kikosi umeifanya timu yetu icheze kiwango cha chini sana, hawa wachezaji wa kigeni kama Abdi Banda, Samata, Msuva, Tiba John, yule dogo wa...
1 Reactions
4 Replies
505 Views
Ni wazi yanga hawakukubali kumuuza feisal kwenda Azam kinyonge bali walipiga hesabu ndefu na zenye faida, Yanga atanufaika na mauzo ya feisal akiuzwa sehemu yeyote nje ya nchi kwa kupata asilimia...
4 Reactions
27 Replies
3K Views
Kesho Stars anacheza na Niger pale Lupaso, macho na masikio yetu yako kwa kiungo mshambuliaji wa Nigeria victor Adebayor, wengi tunataka kumuona kama bado ana uwezo kweli ama imebakia history tu.
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Messi na Halaand kwa sasa ndo gumzo kwenye social medias kuhusu nani anastahili kuchukua Ballon D’or 2023. Angalia hizi records zao afu toa maoni yako
3 Reactions
99 Replies
4K Views
Mashabiki wa Tanzania [emoji1241] hakika ni watu wa maajabu bado tupo kwenye zile zama za kuamini Mayele ni mwanayanga au Baleke ni mwanasimba huu ni mfano mdogo. Tunashindwa kutambua hawa ni...
1 Reactions
2 Replies
922 Views
Kila mtu hapendi aibu na kushuka. Hata Nabi na wachezaji wanaoondoka Yanga baada ya kuipa Yanga Mataji mengi na kucheza finali ya CAF wangependa kuondoka na sifa Yao hiyo kama ikiwezekana. Ukiona...
7 Reactions
8 Replies
2K Views
Yes, ukistaajabu ya Okwa utayaona ya Sawadogo, hakika mashabiki wa Simba ipo shida kichwani kwa oblangata. Hizi kelele wanazopiga, hizi furaha walizo nazo sijui wanazitoa wapi! Nimejiuliza...
7 Reactions
23 Replies
2K Views
Erling Haaland amekutwa na tukio hilo baada ya timu yake ya Taifa ya Norway kupoteza mchezo kwa magoli 2-1 dhidi ya Scotland, ambapo aliingia kwenye basi ya tmu moja kwa moja bila kuwasalimia...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Niwaondoe wasiwasi kuwa tunzo itaenda kwa haalaand ila kwa mtazamo wangu! Na kabla sjaandika sana niweke wazi mimi shabiki wa mpira wa messi ile balon d or ya messi ya 7 alichukua alishinda...
0 Reactions
5 Replies
679 Views
Mchezaji wa Simba SC, POS, jana alianza kuaminiwa na kupewa dakika za kucheza baada ya kocha Ailou Cisse kumpa nafasi kuanzia dakika ya 80 ya mchezo, akimbadilisha Ismailla Sarr, mchezaji wa...
6 Reactions
31 Replies
3K Views
Yes pasipo na shaka hii Simba na watu wake kwa sasa wanaifahamu sana Yanga kuliko Yanga yenyewe inavyojifahamu. Simba wapenzi wanakuja na maswali yao mazuri tu na kuanza kuyajibu tena wao...
5 Reactions
6 Replies
779 Views
Tena nadhani kwa mwana Simba SC kuliko kuwa na Usununu ( Chuki ) dhidi ya Yanga SC kufika Fainali ya CAFCC ni Bora tukazihamishia kwa Mwekezaji Wetu, Mwenyekiti wa Bodi, Mwenyekiti wa Wanachama...
9 Reactions
21 Replies
2K Views
Mshambuliaji #MarcusRashford yupo katika mazungumzo ya mkataba mpta wa kuwaendelea kuichezea Manchester United unaidaiwa kuwa utamfanya alipwe Pauni 375,000 (Tsh. Bilioni 1.1) kwa wiki...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
MDAU - KILA KITU YANGA, WENGINE HAMUWAONI...! ✍️ Kaandika mdau wa soka, Ole Mushi ! "KWA NINI WACHEZAJI WA SIMBA HAWAULIZIWI NA TIMU KUBWA ZA NJE?" "Sijasikia mchezaji hata mmoja wa Simba SC...
1 Reactions
3 Replies
691 Views
.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…