Klabu yake ya zamani ya Bechem imempa heshima kubwa sana, katika uwanja wao wanajenga jukwaa jipya kwa pesa zote walizopata za kumuuuza Okrah kwenda simba sc na jukwaa hilo litaitwa kwa jina...
Nafuatilia game ya Mbeya city na Yanga, kiukweli kiwango kibovu kinachoonyeshwa na Yanga inashangaza! Haijulikani wanacheza fomesheni gani, yaani haijulikani wamewezaje kuongoza ligi mpaka sasa...
Baada ya kupanda daraja na kuingia NBC premier league klabu ya DTB imebadilisha jina lake na kuitwa SINGIDA BIG STARS. Je, Inahitimisha tetesi kuwa DTB ilikuwa inamilikiwa na Mwigulu Nchemba...
Nimewaatonya mapema msije kusema sijawaambia, tunajua haya hutokea sana kwa hawa viumbe.
Mwaka huu umepita sio mwandishi wa habari wala chawa waliotoa malalamiko. Unaweza kudhani waamuzi walikuwa...
Yule Djuma Shabani ni mtu na nusu sana, ana mwendo mno yaani anapandisha vizuri mashambulikama inavyotakiwa kwa full back wa kisasa!
Halafu kuna Yanick Bangala, jamaa ni kiraka mzuri! Anacheza...
Salaam wananchi,
Tetesi Zilizonifikia ni kuwa kocha maarufu Florent Ibenge, ambaye ashawahi ikoach RS Berkane na Al Hilal ndio mbadala wa kocha Nasredeen Nabi ambaye anatimkia South Africa.
Vipi...
Kocha wa KMC FC na Mtoto wa Mjini Mwenzangu Jamhuri Kihwelo ( alias Julio ) najua leo mmefungwa nao Goli 2 kwa 1 huko Kwao Mbeya na Ijumaa mnarudiana nao Dar es Salaam hivyo tulia wana Simba SC...
By Thobias Sebastian
MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi Simba, Salim Abdallah ‘Try Again’ na Mjumbe wa Kamati ya Usajili, Crescentius Magori kwa pamoja walifunga safari hadi Ghana ili kumsajili...
Pamoja na kuimbwa kote huko na kufikia hatua ya kubadili mfumo wa kocha kwa sababu ya mtu mmoja (Chama) lakini hata tuzo ya kufutia machozi hakuna.
Kwa kweli nimehuzunika sana.
...naona Mkiti wao Mshindo Msolla kawasihi wanna Yanga kuichangia timu ili kufanikisha usajili wa nyota wengine wawili.
Hii tabia tegemezi itaua timu zetu asee!
Poleni watani, nyie igeni tu...
Hii ndio Taarifa ya sasa ambayo inasambaa mitandaoni, kwamba kumbe Kuku kishingo anaidai Simba US DOLAR 44,000 ambayo ni zaidi ya hela za madafu mil 100.
Ngoja tuone ukweli ni upi.
Kwa mwenendo wa ligi ulivyo ni dhahiri Simba Sc imeshakuwa bingwa wa VPL,tena amekuwa bingwa mara 4 mfululu. Ili Yanga awe bingwa inabidi Yanga afunge mechi zake zote 7 zilizobaki na Simba Sc...
Hapa ni msemaji wa Yanga akitest mitambo kuona mwitikio. Mengi zaidi yatajiri hivi karibuni.
Nawaomba Simba Sc wenzangu hasa Haji Manara na fans wa mitandaoni wapunguze vitisho kwa Yanga. Ni vile...
Yanga wanacheza na Simba kule kigoma ili kutafuta bingwa pia atayewakilisha nchi kwa mashindano ya CAF upande wa shirikisho
Kwa hali iliyopo sasa simba ni bingwa kwa ligi na yeye atakuwa...
Wiki iliyopita Ghazwat alileta uzi humu akishangazwa na tabia ya Yanga kuharibu log za timu zingine hasa zenye logo nyekundu.
Wadau na wanamichezo walikerwa na matukio hayo yasiyo ya kimichezo na...
Tuzo zilizotolewa jana zimehitimisha rasmi msimu wa 2022/2023 Tuwapongeze waliotwaa Ubingwa na waliopata Tuzo, Na kwa kipekee kabisa tuwapongeze wasimamizi wa ligi pamoja na waaandaji wa Tuzo...
Naomba nichukue nafasi hii nikiwa kama mdau wa michezo na shabiki mkubwa wa timu ya Yanga (Timu ya Wananchi), kuupongeza uongozi wa timu, chini ya Mwenyekiti Mshindo Msolla, Wadhamini wa timu...
Habari wadau,
Kama mwanayanga nina huzuni na matokeo ya mbeya.. na pia nina huzuni ya wivu wa mafanikio ya mtani simba.
Natambua kabisa mchawi wetu yanga ni hela kama kuna mwanayanga hatambui...