Mimi ni yanga lakini kwa kweli ni lazima tukubali kuwa Simba timu yao ni bora kuliko yetu. Sasa kocha, Wachezaji na viongozi wetu wajihadhari sana na waijenge timu kushambulia kwa options...
Injinja Hersi, kijana mdogo tu ambaye ameipa heshima kubwa Yanga kutokana na mipango yake nje na ndani ya uwanja kufanikiwa ameongea maneno ya kufikirisha sana ambayo viongozi wa Simba wanatakiwa...
Nawasalimu wale wote wapenda ukweli na uwazi
Pia napenda kuwakumbusha kila mnapopitia makala hizi basi mfanye ulinganifu na yanayotekea huko kwenye timu zenu.
Siku kadhaa niligusia namna ambavyo...
Wakuu Habari zenu,
Kwa wale ambao mmezoea kukalili zama zimebadilika sana,mbadilike simba hii iko vizuri sana tofauti sana na simba za miaka ya nyuma.
Mechi ya simba na as vita kule Congo...
Mwanariadha wa Kenya , Faith Kipyegon ameahidi kumnunulia baba yake mzazi Gari ya ndoto yake; baada ya kuzawadiwa zaidi ya milioni 85 ya Kitanzania na Rais Ruto Ikulu Jijini Nairobi.
Faith...
Klabu ya Simba SC leo imezindua jezi mpya zitakazotumika msimu wa 2020/2021. Mabingwa hao wa soka nchini pia wamezindua rasmi Logo mpya baada ya kuirekebisha ile ya awali
Simba SC inaadhimisha...
Tofauti kati ya Saidoo na akina chama na yule mmakonde wa msumbiji ni kwamba, wakati Saidoo ana umri ambao wanao akina chama, Saidoo alikuwa anacheza ligi ya ufaransa na akina Benzema, Jorninho etc
RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), Wallace Karia amesema wachezaji wote ambao hawakuhudhuria katika hafla ya ugawaji wa tuzo kwa wachezaji wa Ligi za ndani bila sababu za msingi...
Kam ilivyo kawaida kwa mpira wa miguu haunogi bila kuwa na ubishani wa mashabiki, ndicho kinachoenda kutokea endapo Josep Guardiola atafanikiwa kuchukua uefa champion league jumamosi hii.
WHO...
Wana Simba SC Wenzangu hivi kweli tukuacha Unafiki wetu na Roho Mbaya yetu iliyopitiliza Beki wetu Henock Inonga kacheza vyema kwa Msimu huu kuliko Beki wa Yanga SC Dickinson Job?
Dickson Job...
Waandaaji wa mbio za Barabarani nchini Tanzania, wameaswa kuacha kutumia ne no “MARATHON” kwa kila mashindano wanazoanzisha, kwa kuwa zipo tofauti; Marathoni ni kilomita 42, wakati wanaoanzisha...
Habari wananchi:
Uingereza Man City wameweza kubeba Makombe matatu kwa mpigo ikiwemo UEFA, Premier Ligue na lingine nimesahau.
Bongo Yanga bado wameendelea kujenga ufalme wao kwenye suala la...
Jamani ebu tufahamishane vizuri hapa wote tujue.
Dickson Job kapewa tuzo ya Beki Bora kwa Criteria gani?
Haya tuliyaona TMA na tuzo zao za CUBA, leo hii kwenye NBC mambo kama yanajirudia.
Ushauri wangu ndio huo, michuano ya kufuzu AFCON inapigwa tarehe 17 na 18, huo ndio muda wa kwenda kusaka vipaji vya kuiletea mafanikio Simba msimu ujao.
Msije kusema sikuwaambia.
Kufungwa na timu ambayo jumamosi ilikuwa imekesha kushangilia ubingwa wakati nyie mko Tanga mkiendelea na maandalizi ni uj...ha wa hali ya juu, mmechezesha kikosi chenu chote mlichomfunga Simba...
Aisee utoaji wa tuzo una changamoto sana, nakataa goli alilofunga Mayele na kutwaa tuzo sio bora msimu huu, kusema lile goli alilofunga Maguri ni baya? Lile goli la Ntibazonkiza akiwa Geita ni...