Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Yamkini wachambuzi wa soka wameligundua hilo mapema lakini wanaogopa kusema. Kinachofanywa na Rais dhidi ya Simba na yanga ni kama kulea watoto wawili wa kufikia kinafiki! Mtoto wa kambo (simba...
10 Reactions
85 Replies
6K Views
Baada ya ndugu zetu uto kufanikiwa kushinda ubingwa wa medali na kisha kualikwa chakula cha jioni na Rais Samia. Makelele yalikuwa mengi ohhhhh tumealikwa na mama sisi ndio timu ya taifa...
17 Reactions
33 Replies
2K Views
Hawa uto vipi kila ukimgusa shabiki wa hii timu utasikia sisi tuna medali nyie mna nini wana fokafoka tu πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† Toka mama alipopigilia msumari kuhusu dogo Fei na leo Saidoo kaweka goli tano huku...
3 Reactions
9 Replies
894 Views
BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) inawataarifu kuwa kwa kushirikiana na Mdhamini Mkuu wa Ligi Kuu Tanzania, Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Feisal Salum (Fei Toto) Ni swala la muda tu Yanga watatangaza kumalizana na Fei Toto na Azam kutangaza kumsajili. Nyumba atakayokwenda kukaa ipo katika hatua za mwisho za Furnishing. Nyumba ipo...
7 Reactions
27 Replies
3K Views
Man City have been named the most valuable football club brand in the world, after topping the Brand Finance Football 50 report for the first time πŸ₯‡ Five other English clubs appear in the top 10...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Anaandika Haji Manara. Hii Nchi Uhuru wa kujieleza umekuwa wa hovyo sana na wengi wetu hatuumii vzuri, Imagine leo kwenye kituo kile kile ambacho kila uchwao ni negative za Yanga tu, na Mpuuzi...
3 Reactions
58 Replies
3K Views
Hawa jamaa wameanza kulaumu waamuzi wa CAF eti wamependelea mwenyeji. Wamesahau kuwa ile mechi walishinda wao. Hata mashabiki wanalalamikiwa eti walipiga mafataki mengi sana. Lakini tulioangalia...
4 Reactions
3 Replies
1K Views
SAIDO NI MCHEZAJI WA LIGI KUU, KIMATAIFA HANA MAKALI Kwenye michuano ya club bingwa barani africa msimu huu saido amecheza matches zote 6 ,group stage match 4 ,quarter final match 2 , Lakini...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Ligi kuu imekuwa tamu sana, sema mechi chache sana. At least ziwe timu 18 tupate wasaa wa kuenjoy football. TFF board do something. We already have growth in football lets improve it.
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Mwaka 1998 Yanga ilikuwa miongoni mwa timu 42 zIlizocheza Caf Champions League 1998 Yanga ilijitahidi na kufikia hatua ya 8 Bora Tangu wakati huo timu zooote za Tanzania zikijitahidi sana...
2 Reactions
5 Replies
964 Views
Wapendwa naombeni kujua kwa wale wazoefu. Hivi mchezaji wa ligi ya uingereza EPL akipata kadi nyekundu akiwa kwenye mechi ya ligi ya ndani kadi inaweza kumfanya asicheze next matches mfano za FA...
0 Reactions
2 Replies
936 Views
Toto tundu (Bernard Morrison) mchezaji kituko anaonyesha kiwango kizuri kuelekea mechi hizi za mwisho wa msimu. Je, huo ni Mtego kwa viongozi wa Yanga wampe kandarasi Tena au anatangaza bidhaa...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwema, kwanza salamu mtumwa.. Hawa Mbeya City washuke tu daraja,yaani Yanga imekuonea huruma, imekupangia kikosi cha ajabu sana, mwisho wa siku unafanya upumbavu? Eti Mbeya City nao Waarabu...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Ujumbe wa nyota wa zamani wa Barcelona na Man City, Yaya TOURE juu ya uwepo wa fainali mbili kwenye michuano ya Afrika. Wakati umefika kwa mashabiki wa soka wa nchi zetu barani Afrika kudai HAKI...
17 Reactions
93 Replies
8K Views
YANGA NA MAMELOD KUKUTANA SUPER CUP [emoji3544]Kwa sasa mabingwa wa nchi Yanga na Mabingwa wa Afrika Kusini PSL yaani Mamelod Sundowns hizi ndio timu ambazo zimekuwa na uhakika wa kushinda kwa...
10 Reactions
67 Replies
5K Views
Salamu ni Utumwa Hapa ndugu zangu inapaswa tutofautishe kati ya Fans Engagements na Followers au Subscribers!. Haiwezekani kila siku mashabiki wa Simba wenzangu tuendelee kuizungumzia Yanga...
5 Reactions
23 Replies
1K Views
Hawa mabwana walianza kujiita QUEENS baadae ikaonekana kuwa siyo vyema timu yenye wachezaji wa kiume kuitwa QUEENS Wakaja wakajiita SUNDERLAND jina la mji mmoja huko UINGEREZA baadae ikaonekana...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Baada ya kuona ndugu zetu wanalunyasi ( mabingwa wa kombe la robo fainali [emoji23][emoji23] kuishiwa uchambuzi na kuanza kuchambua Hadi viatu vya Diarra .....alivyokuwa WASAFI studio kupokea...
3 Reactions
82 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…