"Yanga hawajafa KIUME wala hawajafa KISHUJAA.
Vita inapofika MWISHO wanajeshi wote—walioshinda na walioshindwa—hurudi nyumbani wakiwa HAI. Waliokufa ni wale ambao hawakufika mwisho wa mpambano...
Ngoja leo niwape za ndani ndaniii kabisa.
Kuna mwanasiasa mmoja ambaye kwa miaka ya hivi karibuni amejipenyeza katika mambo ya mpira ili kutafuta ushawishi wa kisiasa.
Wote tunajua kuwa toka...
Hii ndio kazi nzuri ya Yanga Sasa
---
The Algerian #Ligue1DZ officially finishes the 2022-23 season as the best league in Africa based on the CAF rankings
1. Algeria 55 points
2. Morocco...
CAF Cup na CAF Confederation Cup ni mashindano mawili tofauti yanayosimamiwa na Shirikisho la Soka la Afrika (CAF). CAF Cup ilikuwa ni mashindano ya ngazi ya klabu ambayo ilianzishwa mwaka 1992 na...
Wale mnaosema inakuwaje timu ya shirikisho ipo nafasi ya 10 ila kawa bingwa
VIP kuhusu SEVILA ambaye yupo nafas ya 11 lakn n bingwa wa Europa?
Tukubaliane tu kuwa YANGA msimu huu ipo vizuri...
Ilikuwaje mwaka huu Kombe la Shirikisho barani Afrika kukawa na timu dhaifu kiasi hiki, ilishatokea huko nyuma kweli, yaani Bingwa wa CAFCC, anakuwa nafasi ya kumi kwenye msimamo wa ligi ya ndani...
Sio rahisi ofisi aya rahisi ikaandaa mualiko maalamu pasi na kuwa na sababu ya msingi. Ni dhahiri mafanikio ya Klabu ya Yanga SC katika michuano ya CAFCC yanatambulika kama mafanikio makubwa zaidi...
Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan ukishawapongeza Yanga usisahau kumuuliza Eng. Hers kamfanya nini Feisal Salumu mpaka hataki kumuona Wala kumsikia?
Na ikiwezekana ugomvi huo uishe Mara moja ili...
Leo Eng magumashi, eng uchwara eng miyeyusho anaenda kukalipiwa, Kwanini unamnyanyasa dogo, hawataki unamganganiaje, kwani ni kiasi gani muache acheze masebene anakokutaka,.
Sasa apinge na...
Leo kuna mengi Rais aliongea ila kwenye hotuba yake aligusia machache ambayo nimeya note.
1. Ishu ya maslahi kwa wachezaji wa ndani, akisema mcheza kwao hutunzwa(hapa kuna code,ambayo hata...
Mchezaji wa kimataifa wa Nigeria,
ambaye amekuwa mfungaji bora wa ligi kuu ya Italia, Victor Osimhen aliingia na mtoto wake mwenye mchanganyiko wa Kiafrika na kizungu uwanjani
Mashabiki wengi...
Kuna watu wanadhani kuufuata mfumo wa Ulaya kutawezesha fainali ya Klabu Bingwa Afrika na Kombe la Shirikisho kuchezwa katika uwanja ambao mojawapo ya timu husika haitakuwa mwenyeji.
Ukweli ni...
Kuhusiana na sakata la Feisal linaloendelea hivi sasa, wadau wengi wamekua wakitamani wachezaji watoe maoni yao. Abdi Banda amekua ni mchezaji wa kwanza kufunguka kuhusiana na sakati hilo.
Abdi...
Klabu ya Simba leo Juni 5, 2023, kuanzia saa 4:00 Asubuhi wanaanza kutangaza maboresho ya kikosi chao kuelekea msimu mpya 2023/2024.
===========
"Baada ya kuwa kwenye kikosi chetu kwa msimu...
Leo ndiyo nngwe ya pili ya Fainali ya kombe la Shirikisho Afrika ikiikutanisha timu ya USM Alger ya nchini Algeria na Yanga SC ya Tanzania ambapo Yanga itakuwa ugenini. Katika mchezo wa kwanza...
Rais wetu amefurahi sana hatua iliyopigwa na Yanga kwenye mashindano ya CAF hadi akaagiza Yanga wepewe 20m kwa kila goli watakalofunga kwenye fainali na wapewe ndege ya kuwapeleka na kuwarudisha...
Habari,
Hili shirikisho letu la mpira Africa limekaa kizamani sana kwa kuendelea kutukuza na kukumbatia kanuni zisizo na faida Wala manufaa kwa mpira wetu.
Hili la fainali kuchezwa nyumbani na...
Habari zenu wakubwa, Kwanza nipende kuwashukuru wachezaji wetu wa Yanga kwa kuweza kuitangaza Tanzania kuwa tunaweza kupambana, pia nipende kutoa shukrani Kwa mashabiki, wadau wa mpira na pia...
Ulaya imejisimika kama mfalme wa biashara ya soka duniani kana kwamba wachezaji wote huona kufika huko ndio mafanikio ya soka duniani.
Wana kipi special hawa jamaa?
Nini kinawapa haki ya kutoa...