Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Benki ya Azania bank plc kwa mara nyingine imedhamini Bonanza la Wabunge wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania litakalowakutanisha wabunge mashabiki wa timu za Simba na Yanga litakalofanyika jumamosi...
2 Reactions
1 Replies
248 Views
Nimekuja kujifunza kuna hii tabia ya hawa kasongo wameizoea ya kuponda wachezaji wa Simba kupitia vi blog vyao vya soka. Wao wanapoweka mitego yao unakuta baadhi ya mashabiki wa Simba...
4 Reactions
17 Replies
610 Views
Kwanini watu wenye asili ya Latin (Italy, Spain, Portugal, Argentina, Brazil) wanacheza sana soccer pasipo kujali wapo bara gani (Ulaya au America)? Siri yao kuu ni nini? Ninaomba kuelimishwa...
1 Reactions
20 Replies
830 Views
Ukose Hela akukatae haupo bize, utafute ela akukatae uko bize Kocha mkuu wa Manchester City ya Uingereza Pep Guardiola ameachana rasmi na mke wake Cristina Serra baada ya kudumu kwenye ndoa miaka...
6 Reactions
33 Replies
1K Views
Wakuu, Ila siasa bwana, mnahenyesha watu wee kwa Milioni 1? Ila sisi wananchi tumekuwa cheap sana, na hatujui thamani yetu kabisa. Ni mwendo wa kutumiwa tu kila inapokaribia uchaguzi, na sisi...
0 Reactions
1 Replies
242 Views
Mbappé's Secret: Visualize FAILURE for Success (Realistic Optimism Paradox) Picture this: The World Cup final. Everything on the line. And Kylian Mbappé turns to his teammates with tears in his...
1 Reactions
0 Replies
205 Views
Mchezaji Mpya wa @kengoldsctz Benard Morison amesema lengo lake na wachezaji wengine wamekuja kwa ajili ya kuisaidia Timu ili ipate matokeo Mazuri kwani imekuwa na muendelezo wa matokeo mabovu...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Kama umekua ukifatilia mechi za yanga sc msimu huu wa mashindano , nadhan utakua umeona kiwango cha mchezaji Clotus Chama . Kwangu mimi naona hadi sasa Chama hana mchango mkubwa kwenye pitch ...
3 Reactions
22 Replies
1K Views
inawezekana kuna vitu hatufanyi au vinatuzuia kuwa Yanga ile moto moto. Huyu Chama tulimchukua kwa ajili ya nini? miaka yote tulikuwa tunasema Chama ni konokono tukaja msajili, huyu Baleke Simba...
6 Reactions
28 Replies
1K Views
Imeripotiwa kuwa Tabora United imekosa kiasi cha million 20 ili kulipia vibali vya wachezaji wa kigeni. Lakini tukumbuke Mkuu wa mkoa wa Tabora ametoa ahadi ya million 50 timu hiyo ikiifunga...
8 Reactions
95 Replies
3K Views
Simba ataendelea kuwa mteja? Kocha mpya wa Yanga naye ataiona Simba?
1 Reactions
4 Replies
398 Views
Simba wameongezewa muda na CAF. Sisi Yanga hatupendwi kila sehemu. Huu ni uonevu. Hata sisi tupo Shirikisho na tumeingia robo fainali tunastahili kuongezewa muda. Waache uhuni hawa CAF.
4 Reactions
18 Replies
863 Views
Washabiki wa Simba na viongozi wao ni wasahaulifu sana Kibu Dennis alipewa uraia kwa mlango wa nyuma tena kwa kauli ya wazuri mkuu lakini hawakulalamika Leo hii Singida Black Stars wamefanya...
5 Reactions
49 Replies
2K Views
André-Frank Zambo Anguissa (ANGWISA) Nimeukumbuka huu wimbo wa muimbaji mmoja aliimba alikuwa anasema Angwisa....na huyu mchezaji naona kabisa ni mnyaki sijui wa Kyela,Tukuyu au Mbozi. Mi sijui...
4 Reactions
14 Replies
853 Views
Wadau nmeikuta tena hii sehemu. Ina maana Hersi anashindwa kupenetrate kule ndani kuipandisha Yanga? Yaani Simba wapo Shirikisho. Bado wanapigiwa promo na kukuzwa kila sehemu? Why? Kwa nini?
10 Reactions
27 Replies
2K Views
Jamaa Kenneth atakuwa na hela sio poa maana kwa kikosi hiki na Kila mwezi alipe mishahara asafirishe wachezaji agharamie chakula na malazi mara matibabu 🙌🙌🙌Nadhani hata hao kina gsm hawafati kwa...
1 Reactions
9 Replies
453 Views
Hii ndo tofauti ya CAFCL na shirikisho Timu ikicheza Club bingwa CAFCL itaalikwa kwenye majukwaa makubwa ya kimpira Viongozi wa timu za shirikisho hawawezi kusimama kwenye majukwaa makubwa...
2 Reactions
26 Replies
952 Views
Wakuu mimi ni Mgeni katika mkoa huu wa IRINGA, lakini pia ni mchezaji wa basketball, Ningependa kama kuna mwenyeji au yeyote anayefahamu viwanja vya basket iringa vinapatikana wapi. Naomba...
3 Reactions
38 Replies
793 Views
Nimekuwa napata shida sana kutambua timu zinapokuwa zinacheza kwenye hii League ya Serie A hasa ukiwa haujui wachezaji wa timu hizo na km hautaona line-up. Tumezoea kutambua timu kwa rangi zao...
1 Reactions
26 Replies
694 Views
Nimemwangalia huyu dogo kwenye youtube, huyu anajua boli kuliko Mashaka Valentino, anajua boli kumshinda Mukwala, anajua boli kumshinda Prince Dube, hata yule Seleman Mwalimu wa Fountain Gate...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…