"Ukienda kufanya Interview yoyote ile katika Redio tena katika Kipindi ambacho ni cha muda mchache (kama cha Saa Moja) huwa kunakuwa na Briefing juu ya kile ambacho Mgeni anaenda Kukisema Hewani...
Hii ni kwa wajuvi wa mambo na trend readers and observers. Jana tunaona trend ya shutuma na majibu ya shutuma dhidi ya Rais Mwinyi wa Zanzibar, tunatulia.
Leo asubuhi tunaona trend ya shutuma...
Mwl wangu wa shule ya msingi alinichapia hadithi ya fisi, mfupa na jiwe. Alisema, siku moja fisi mwenye njaa Kali alikiona kitu cheupe mbali kabisa akidhani kuwa ulikuwa ni mfupa unaofaa kula na...
Nawasalimu.
Wiki hii Klabu ya Simba imemteua Mholanzi, Melis Daadler kuwa msaka vipaji mkuu(chief scout )wa Klabu.
NIna mtazamo tofauti na watanzania walio wengi wanaodhani kaja kusajili...
Nachukua nafasi hii kuwapongeza Yanga kufika fainali ya CAFCC kwa mwaka 2023 lakini pia nachukua nafasi hii kutokubaliana na upendeleo wa dhahiri uliofanywa na Mama kwa klabu ya Yanga
Ni jambo la...
Taarifa toka chanzo cha kuaminika zinasema kuwa Club ya Yanga inatarajia kupokea makinda 3 toka vilabu vya Villarreal na Atlético Madrid kama sehemu ya makubaliano yao na La Liga katika...
siwezi kamwe kuiombea heri Yanga ....hata wakicheza na timu ya mtaani kwetu Mimi nitakuwa upande wa timu pinzani...
Hata YANGA VS YANGA , mimi nitakuwa upande wa Vs..
Kesho FT USM Alger 3 young...
Kwamba baada ya Waalgeria kuzuia Camera za Media za Tanzania kuingia Algeria hivi punde inasemekana wamezuia Yanga SC kuingia na Maji yao ya Kunywa na Unga na Mchele wa Kupika waliotoka nao Dar es...
Wasalaam!
Yaah! Wote tunaelewa nyakati zinabadilika sana, Yanga inavyobadilika na mpira wa bongo unabadilika, Kutoka kwa Manji to bakuli now kwa GSM, nakumbuka kipindi Yanga wanatembeza bakuli...
Uzi unajieleza, ilikua ni buku mbawa tu kwa jezi huku scarf zikienda kwa jero add zero.
Nafikiri kesho vibanda umiza na sehemu za sports bar zitatamaradi.
Roho mbaya roho mbaya tu. Ujugu arena...
Huyu mwehu anajua kama ujumbe huu anawafikishia watu wengi sana nchini? Asilimia kubwa ikiwa ni hawa mashabiki wa Yanga wanaopambania kuingia bure uwanjani kwa kukosa elfu tatu.
Wengine ni...
Wote ni washambuliaji wa mwisho, Samatta alikuwa mmaliziaji zaidi wakati Mayelle anatengeneza nafasi pia anamalizia, lakini pia ana spidi na anaweza kufunga goli katika angle ngumu, akienda Ulaya...
Pamoja na kupewa dege na Rais bure kuwasafirisha yanga kwenda Algeria, naskitika kusema hapa kwamba tarehe 3/6/23 uto atapokea kipigo kama cha ngedere aliyekula parachichi za mkinga.
Si mlijifanya kuwawekea Sumu katika Vyumba vyao na mkawafanyia hadi Fujo katika Hoteli waliyoifikia?
Sasa ndiyo mtawajua Waarabu kuwa hawatanii na Fitina za Soka / Mpira Kwao ndiyo Makao Makuu...
Hayo ni maneno aliyoyapost sadio mane, aliambatanisha na clip fupi iliyokuwa ikimuonyesha mchezaji wa simba Pape osumane sakho akikata mauno mbele ya wanaume wenzie.
NALIA NGWENA THE GREAT...
Katika hili GENTAMYCINE niko Serious na naweka Utani ( Ucharuraji ) wangu wa Usimba na Uyanga na naomba upesi sana haya yafuatayo yafanyike kwani kwa Saikolojia yangu Kali na Maono yangu Makali ya...
Nimejaribu kufatilia Ratiba ya Yanga ni ngumu Mno na Sijui kwa nini Bodi ya ligi Imemua kupanga hii Ratiba. Hii na Ratiba ya Mechi za Yanga
inacheza:
👉Tarehe 3 Juni CAF fainali
👉Tarehe 6 Juni...
Kama tiketi 62,000 zote zimeisha na wamenunua waarabu wenyewe, najiuliza hawa mashabiki wa Utopolo watapata wap tiketi za kuingia uwanjani kesho, ninazo taarifa kuwa nje ya uwanja kutakuwa na TV...