Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Ni mambo ya kusikitisha sana ukisikia Vijana wameajiriwa ili watumike kwenye mambo ya kihuni ili tu mabosi wao wapate raha. Vijana hawa wemefikia kulewa mapenzi hasa baada ya kuhongwa simu macho...
5 Reactions
23 Replies
2K Views
Najaribu kutafakari endapo Al hilal wangemtaka Messi na kumshawishi avunje mkataba na PSG ili wamchukue bila mazungumzo na ingekuwaje? Duniani kote hakuna utaratibu wa mchezaji kujiamulia...
3 Reactions
19 Replies
781 Views
Hello wanaJF, Habari za mihangaiko siku kutwa wakuu wangu humu ndani!? Nimekuwa nikifatilia mahojiano na baadhi ya chambuzi za wachambuzi karibia wote wa pale EFM hawa jamaa kuanzia Geoff Leah...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
Hapa wa kumshangaa sio huyu shabiki mpya lialia wa yanga, ila wa kuwashangaa ni mashabiki na viongozi wa yanga wanaoamini huyu ni mwenzao.... KALAGHABAOOOO...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Mpaka Sasa NALIA NGWENA nimechoka sana, nilipochungulia ratiba ya Yanga kumaliza msimu ni ngumu sana Tena sana. Tarehe 03/6 Yanga itacheza mchezo mzito Tena wa kufa mtu(fainali huko Algeria)...
2 Reactions
22 Replies
1K Views
Klabu nyingine moja kubwa mara Nne ilishafanya hivi katika Mechi Ngumu za Kimaamuzi na Viongozi wake Maarufu Watatu Kufariki Wiki Moja kabla ya Mechi na Mmoja wa Shabiki wake Maarufu nae Kufariki...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Unaweza ukajiuliza kwanini Mama kawapa Yanga dege letu la kisasa. Basi ondoa shaka ni kwa nia njema, kwani hawa watu wanahistoria mbaya huko Algeria. Kama lilivyoreport gazeti la Mwanaspoti mwaka...
2 Reactions
25 Replies
1K Views
Feisal hana bifu na Yanga bali ana bifu binafsi na kiongozi wa Yanga (Eng Hers). Je Umechukua mchumba wake (mpenzi) wake? Nini umemfanya kijana huyu mpaka kuamua kabisa bora aachane na mpira...
23 Reactions
194 Replies
11K Views
Ipo sababu kubwa mpaka Feisal kuamua kwenda "CAS" kuteketeza pesa zake za urojo lakini kaamua kwenda Tena kwa kujiamini kabisa (kifua mbele). Endapo atashinda kesi huko "CAS" basi viongozi wa TFF...
4 Reactions
6 Replies
607 Views
Simba, klabu yangu pendwa iliwahi kuingia kwenye mzozo kama huu na kiungo fundi wa mpira marehemu Method Mogella, Method alikuwa fundi hasa kiungo wa chini lakini baadae alitorokea Yanga. Mzozo...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Akizungumza Bungeni leo Juni 1, 2023 Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa amewataka Wabunge na Wananchi wote Waiombee Yanga itwae Ubingwa wa CAFCC Michezo na Ushindi ni Moja ya mambo yaliyomo Kwenye...
1 Reactions
26 Replies
1K Views
Naomba kwa anejua tu sio mashabiki maamdazi wa simba. Kwa Nini mashabiki was PSG hawamtaki Neymar? Je akienda united ata survive??
0 Reactions
3 Replies
604 Views
Kutokana na interview yake ya kusema kuwa "Anaipenda sana Yanga na mashabiki wa Yanga." Kutokana na kuibuka kila baada ya tukio muhimu yaani Yanga inapokuwa na mechi muhimu ni dhahiri kabisa bila...
3 Reactions
6 Replies
793 Views
Muda mchache ujao pale katika dimba la Puskas Arena jijini Budapest nchini Hungary kutapigwa mchezo wa fainali ya Europa League. Ni Sevilla Vs AS Roma Ikumbukwe Sevilla hajawahi kufungwa pindi...
6 Reactions
237 Replies
8K Views
Akielezea timu ya Bunge, Mapema leo katika mkutano wa 11 kikao cha 39 cha Bunge tukufu la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Spika wa Bunge, Dr.Tulia Ackson ameisifia timu ya Bunge kwa kiwango chake...
0 Reactions
3 Replies
654 Views
Chutama mdogo wetu na usitafute huruma sisi Simba tuonekane tunakutaka. Pambana na hali yako na jinsi unavyozidi kuongea unazidi kuharibu tu. Busara kunyamaza ili usiendelee kuharibu huku mtaani...
1 Reactions
58 Replies
3K Views
Baada ya ubishani wa watani wa Jadi kupamba moto kuhusu timu ipi hasa imeshawahi kucheza Fainali ya Michuano ya Afrika. Wadau mbalimbali wanaibuka kutoa uthibitisho kutetea hoja zao. Mashabiki wa...
10 Reactions
32 Replies
3K Views
Kutokana na mashabiki wa Simba SC kukomaza mishipa ya Shingo na kutokwa povu la mdomo. Kusema kuwa Yanga SC "inataka kutoa watu/viongozi/shabiki maarufu wa timu ndiyo ishinde mechi ya Algeria na...
1 Reactions
10 Replies
904 Views
Nilizozipata hadi muda huu ni kwamba Mambo ni Magumu na sikuwahi kujua kuwa kumbe hata Waarabu ( hasa wa Algeria ) na Wao mambo ya Unyangindo ( Ulozi ) wanayajua. Kuna Mtu Mmoja wa Insider 259...
4 Reactions
9 Replies
991 Views
Ile video Ina masaaa matatu nimejaribu kuisikiliza kwa muda nilio bahatika. Kwanza feisal anaonekana sio mzungumzaji mzuri lakini ana hoja ambazo zingefanya mkataba wake kuwa invalid siku nyingi...
1 Reactions
10 Replies
760 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…