Picha: Fiston Kalala Mayele
Hata goli la pili alilofungwa Yanga Juzi, lilitokana na Mayele kushangilia kupita kiasi goli lake la kusawazisha , hii ni kwa vile aliamini aliongoza ufungaji kwa mabao...
Ni takribani wiki moja tangu Mbunge Mnyeti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutamka hayo, ila Mayele akilitaka atalipata kwenye Ansad za Bunge aliposemwa vibaya na mbunge huyo.
Kwa...
Dogo kachomoa kasema hana shida na masilahi (mshahara kuongezwa).
Wele wanaharakati mliokuwa nae bega kwa bega mlioshupaza mishipa ya shingo na kupiga kelele nyingi kuwa Feisal Salumu apewe pesa...
Mimi na wenzangu tunaitakia USM Alger ushindi mzito wa kuanzia goli 3. Hawa Utopolo wakipigwa hata 6 tutafurahi zaidi. Wapigwe mpaka wasahau kama wamefika fainali. Kiwe ni kipigo cha aibu kuu...
Salam wana jamvi.
Ni siku chache tu waliowengi tuliona post ya mjasiriamali mbunifu wa gari la umeme Bw. Kipanya akisambaza sauti ya vikao vya ndani vya maafisa wa serikali wakijadili kuhusu gari...
Swala la kufundishwa Cha kuongea kisheria Ni kawaida Sana ili kukwepa makosa ya kisheria.
Ila je kilichoongelewa kina ukweli au la.
Je feitoto alidanganya. Haya yanaweza thibitishwa kisheria...
Bado sijaelewa, huyu kijana anataka nini, maana kila baada ya muda mfupi anabadili maneno.
Mwanzo alisema analipwa kidogo hadi kushindwa kununua nyama, samaki na mchicha, kiasi cha kula Ugali na...
Hapa nazungumzia saikolojia ya kucheza na refa. Waarabu kitu kidogo wamelalamika na kuonekana kama wameonewa. Mpira katoa yeye anakimbilia atake kurusha na uhuni mwingine mwingi.
Mambo kama haya...
Kufuatia Mchezaji wa Klabu ya Yanga Feisal Salum kunukuliwa kwenye mahojiano ya kipindi cha Power Breakfast ya Clouds FM, alisema kuwa yupo tayari kurudi kucheza Yanga endapo Engineer Hersi...
Haji Manara kaamua kama kawaida yake anapotetea Yanga au GSM na Hersi Said ataangamiza chochote mbele yake hata kama ni baba yake Mzee Sunday.
Kwake mlo na sifa ndio muhimu. Muingiliano wa sauti...
ππ’π‘ππ’π’ ππ ππππ¦ππ π£π’πͺππ₯ ππ₯ππππππ¦π§ πππ’π¨ππ¦
-Nilikuja bara na timu yangu ya JKU kwenye mashindano ya kagame cup na ndipo Yanga na Simba waliniona,Ila timu ya kwanza kunitaka walikuwa Simba ambao...
Mlinda mlango wa Simba, Aishi Manula amefanyiwa upasuaji wa nyama za paja katika Hospital ya Netvare Linksfield πΏπ¦
Kwa mijibu wa daktari wa Simba amesema kwa sasa ni mapema kusema Manula atakaa...
Meya mstaafu wa Ubungo bwana Boniface Jacob amemtaka Feisal Salum amrejeshee pesa yake aliyomchangia kwa sababu amegundua anatumia UTAPELI kuchangisha pesa kwa ajili ya kesi yake kwenda CAS...
Leo nimeshangazwa sana na hi story tukiwa kijiweni na walala hoi wenzangu alikuja ntu mgeni kwenye kijiwe cha kahawa katika story akajikuta ameongea hii kitu
Uarabuni ni kawaida waarabu...
Kwa uchambuzi wangu mdogo ...nmefuatilia uchezaji wa mechi za ndugu zangu ... makolo walipo kutana na ndugu zao ( wadhaifu) vipers, horoya, big bullets
Na kucheza chini ya kiwango .....pia Baada...
Ki ukweli Fei katuangusha sisi mashabiki wake kwa kile alichoongea leo kaharibu kila kitu. Ni bora angenyamaza. Nikikumbuka nilimchangia nikijua kweli kaonewa halafu nikiikumbuka interview yake ya...
Wakati Yanga wakiendelea kutafuta mchawi aliyesababisha wakapigwa na USMA wikendi iliyopita, baadhi ya mashabiki wao wameanza kuwashutumu baadhi ya watendaji wao kwa usaliti kisa kuvaa nguo zenye...
Klabu ya Simba leo imemtangaza Patrick Rweyemamu kuwa Mkuu wa Programu za Vijana wa Simba wakati Selemani Matola akitangazwa kuwa Kocha Mkuu wa timu za Vijana U-17 na U-20.
Mtendaji Mkuu wa Simba...
Kama kuna jambo linalokera sana ni pale viwanja vilivyokuwa vya umma kabla ya mfumo wa vyama vingi kuporwa na CCM ambayo imeshindwa kuviendeleza. Inaonekana kama wangekuwa na uwezo walitaka hata...