Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu amesema Wizara hiyo itaendelea kushirikiana na Shirika la Maendeleo ya Japan (JICA) katika sekta ya michezo nchini ili kuendelea...
0 Reactions
2 Replies
410 Views
Kituo A cha Kuchukua Dozi kilikuwa ni Dar es Salaam Tanzania ila huenda Mgonjwa akaenda Kujifia zake Wiki ijayo Jijini Algiers nchini Algeria Kituo B cha Kuchukulia Dawa mbele ya Madaktari mahiri...
12 Reactions
33 Replies
2K Views
Rekodi nyingine zinatia aibu sana. Je ni wasi wasi gani mlikuwa nao na mnajiamini mlisajili? Au ni kuitoa timu iliyoshuka daraja? Hii ni aibu kubwa kwa Taifa.
4 Reactions
11 Replies
746 Views
Mwaka 1979, Simba Sc ya Tanzania ilipangwa kucheza na klabu ya Mufulira Wanderers ya Zambia katika michuano ya CAF. Mechi ya kwanza katika dimba la taifa ( sasa uhuru ) Simba likufa 4-0...
7 Reactions
16 Replies
793 Views
Kumekucha huku, Clouds fm inaripoti kuwa Simba sc wameamua kurudi kuwekeza katika soka la vijana. Yaani ndo gia namba moja kueleke msimu mpya. Yajayo yanafurahisha. Ha ha ha haa Yanga bingwa...
1 Reactions
0 Replies
450 Views
Moja ya changamoto kubwa ya Uwanja wa Mkapa ni kuharibika mara kwa mara kwa sehemu ya kuchezea kutokana na jua kali au mvua. Leo nakuja na pendekezo kuntu, kwa nini tusiezeke bati kumaliza...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Kufuatia Mheshimiwa Rais kutoa ndege ya Bure, Uongozi wa Yanga umempa kazi Manara kuratibu kuhusu wachambuzi watakaokwenda Algeria kwenye mechi ya Yanga na USMA. Hiki ndicho alichoandika Manara...
9 Reactions
64 Replies
9K Views
Dortmund walikuwa na 'fainali' yao leo, baada ya kukosa ubingwa kwa miaka 11 wangeshinda leo, wangekuwa mabingwa Basi wakajaza uwanja "FULL HOUSE" kama Yanga, shangwe nyingi na vifijo, ila...
28 Reactions
131 Replies
6K Views
Namaanisha kwenye mshono kweli. Hii ni baada ya kutangaza usajili wa winga/kiungo mshambuliaji Augustine Okrah. Huyu jamaa nilijua yupo kwenye timu ya taifa ya Ghana, lakini sikujua kumbe kutoka...
48 Reactions
181 Replies
12K Views
Mpira ni ajira na burudani kama burudani nyingine. Mpira ni ajira kwa kuwa Kuna watu wanapata pesa kutokana na mpira kama mishahara ya moja kwa moja na wengine hupata pesa kwa kuwauzia bidhaa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa yanayoendelea sasa kwenye mpira wetu ni ujinga na upumbavu mkubwa kuoneshwa na wapenda maendeleo ya michezo hususan huu mchezo pendwa wa mpira wa miguu. Ndani ya siku tatu kumekuwa na matukio...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
TAYARI HUKU. "HATUHITAJI kwenda Algeria kwaajili ya kwenda kuchambua mechi ya Gongowazi mzigo wote DSTV kama kawaida na hakuna ambacho hakitaingia kwenye Record. KILA jiwe litahesabiwa na...
6 Reactions
18 Replies
2K Views
Mshambuliaji hatari wa Yanga S.C ambaye pia ni mfungaji bora wa kombe la Losers na lile la NBC premier league, mkongoman Fiston Mayele inasemekana huenda msimu ujao akaenda kupata changamoto...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari za mda tena wadau na wapenzi wa kandanda humu jukwaani. Ikiwa tunaelekea mwisho wa msimu wa kimashindano 2022/23 barani ulayq na kwingineko duniani. Timu mbalimbaili zimeanza maandalizi ya...
1 Reactions
20 Replies
5K Views
Baada ya klabu ya Yanga kufika hatua ya fainali katika michuano ya kombe la shirikisho, ligi kuu Tanzania bara itapeleka timu nne(4) katika misimu miwili mfululizo ambapo mbili ligi ya mabingwa...
7 Reactions
61 Replies
10K Views
INACHOSHA lakini ndio hali halisi. Tunalazimika kumzungumzia Fei Toto, ingawa jana kulikuwa na mechi kubwa zaidi katika historia ya Tanzania iliyotazamiwa kucheza. Siwezi kumlaumu Fei. Haikuanzia...
13 Reactions
44 Replies
4K Views
Niwakumbushe tu Wana utopolo katika michuano hii ya luza USM hawajapoteza mchezo wowote nyumbani kwao, Na kingine timu yoyote iliyotembelea pale kwao imekula kuanzia goli 2 na ni timu moja tu...
10 Reactions
51 Replies
4K Views
....ushindi wa Yanga waweza kuwa hivi: Dk ya 2, Wanapata goal, dk ya 45 wanapata la pili....wkt waarabu wanashambulia, inapigwa Counter dk ya 73, Utopwinyo wanapata goal la 3 mpk mpira unaisha...
3 Reactions
11 Replies
619 Views
Kifupi / Kiufupi Naibu Waziri wa Michezo Hamis Mwimjuma (alias Mwana FA) ulichokifanya leo ni Usaliti mkubwa na Usiovumilika dhidi ya Klabu yetu ya Simba SC. Naushauri Uongozi wa Simba SC uache...
6 Reactions
42 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…