Maneno machafu aliyotoa Msemaji wa Yanga kila mtu aliyasikia. Wanasoka na wana habari wamekemea na kushangazwa na kauli zile chafu.
Lakini mimi naenda mbali zaidi. Katika hali ya busara na...
Huyu jamaa ni snitch mkubwa na muhujumu na adui namba moja wa Yanga.
Nashauri Yanga iachane na maafisa wote kutoka TFF, BMT na wizarani.
Wekezeni kwenye watu wa sakolojia benchi la ufundi tu ...
Nimeshituka juzi Kati Manara akilalamika kuwa angekuwa hajafungiwa kuingia uwanjani angeenda kuangalia mpira.
Sasa najiuliza ni kanuni gani iliyotumika kufungiwa mpaka kuingia uwanjani tu Kama...
Mimi huwa napenda kuja na hoja fikirishi kwa hiyo wale wasiopenda kufikiri wananionaga hamnazo. Muda huwa unadhihirisha kile ninachosemaga.
Kumekuwa na malalamiko ya kutaka CAF ibadili fainali za...
Yanga angeshinda hapa nyumbani, Makolo wangekuja na hoja nyepesi kuwa USM Alger ni timu dhaifu kama zingine zinazoshiriki Kombe la Shirikisho na ndio maana wamefungwa na Yanga.
Kwakuwa Yanga...
Mpira uliochezwa na USM ALGER kwa mkapa siyo wakutisha sana nakuona kwamba Yanga ndiyo imefika mwisho.
NALIA NGWENA nitakubali Yanga umekosa kombe endapo nitaziona dakika tisini (90) zingine huko...
Leo FB nikutana Na post hii ya bakary kutoka cote d'ivoire alikuwa ame comment ikiwa mke wake atapata mtoto wa kiume atamuita jina fiston mayele ili kuonyesha upendo wake kwa mchezaji huyu anaye...
1. Kwamba Mgunda na andazi bora andazi?
2.Kwamba washauri wa Feitoto na andazi bora andazi?
3.Kwamba Yanga ndio ya kwanza Tanzania kucheza fainal kombe la CAF?
4.Kwamba Simba njooni uwanjani...
Wakuu,
Umofia kwenu. Binadamu tumeumbwa kusahau. Nimeamua niwakumbushe utopolo aina ya mpinzani waliyenaye akiwa nyumbani. Kwenye mechi za makundi. Mechi ya Kwanza alicheza na Saint Etoil De...
Yanga wameshitakiwa tena CAF, mara hii mlalamikaji ni klabu USM Alger ambao walishinda 2-1 juzi jumapili. Msimu huu Yanga inashitakiwa mara ya 3 baada ya Club Africaine na Rivers United...
Kuna watu wana hoja dhaifu sana, tena waandishi wa habari ndio nawalaumu ingawa wengi wao akiwemo Ally Kamwe walizaliwa juzi tu, bahati nzuri mimi ni mmoja wa vijana tulioshuhudia mechi ya fainali...
Timu za kariakoo hazina wasemaji watimu Bali zina waropokaji tu na kutaka sifa (kiki) katika jamii.
NALIA NGWENA nimejikuta namkumbuka msemaji wangu Bora kabisa mwamba kutoka Mtibwa sugar Thobias...
Mtu yoyote anayesema bingwa keshapatikana naamini bado haujui mpira vizuri, ninaamini bado hajauona ubora wa Yanga. Zipo dakika 90 nyingine za kutetea hiki kilichotokea jana uwanja wa Mkapa.
Njoo...
Makamu wa Rais wa klabu ya Young Africans Arafat Haji, amewaondoa wasiwasi Mashabiki na Wanachama wa Klabu hiyo kuhusu mustakabali wa Mshambuliaji kutoka DR Congo Fiston Kalala Mayele, ambaye...
Mashabiki wa timu ya Yanga walikuwa wametoka dar kurejea Songea kupitia njia ya Lindi wamepata ajali asubuhi maeneo ya huria wilaya ya Namtumbo !
Dereva kashindwa kukata kona.
Hakuna vifo...
Taarifa inayosambaa ni kuwa Klabu Bingwa mtarajiwa wa Kombe la Shirikisho la CAF, USM Alger wameishitaki Yanga kwa shutuma za kuwapulizia hewa isiyo salama katika vyumba vyao vya mapumziko uwanja...
Goli alilofunga Mshambuliaji wa timu ya Yanga, Fiston Kalala Mayele kwenye mchezo wa mkondo wa kwanza fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika limeteuliwa kuwa goli bora la siku katika mchezo...
Asikudanganye Mtu hapa Barani Afrika hakuna Watu wanaojua Kushangilia Viwanjani na Kufanya Fujo na Vitimbi vya kila aina ili Kummaliza kabisa Mpinzani Kama Mwarabu na hasa hasa Waarabu wa Misri na...
Yanga, amemaliza sherehe ya kuaga Mashindano ya Losers, CAF confederation CUP. Wageni na washuhudiaji karibu milioni 60 walihudhuria sherehe ya sendoff au kuagwa kwa Yanga Mashindano ya Losers...