Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kweli ninakubaliana na hoja za Wanayanga kuwa wameweka Rekodi ya kufika Nusu Fainali na sasa wanaikaribia Fainali ya Mashindano CAF Confederation. Nikiwa natumia ubongo huo huo kukubali hayo...
6 Reactions
30 Replies
2K Views
Yanga wako serious kumtaka Khama Billiat...Ni mchezaji mzuri sana! Hakuna shaka juu ya uwezo wake, kama atafikia asilimia 50 tu ya uwezo wake ninaoujua atasumbua na kuimbwa sana! Changamoto ya...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari ndio hivyo wanasimba wenzangu. Sijui tukajifiche chaka lipi, hatuna tena la kuwaambia utopolo. Sehemu pekee tulivyokuwa tumebakiza ni kuwa sisi ni miongoni mwa timu Bora 10 barani Afrika...
7 Reactions
19 Replies
2K Views
Hivi karibuni, kumekuwa na ongezeko la wadau wa mchezo wa mpira wa miguu ambao wanafanya kazi ya kutathmini na kuchambua michezo mbali mbali hapa nchini, hasa mchezo wa soka (gozi la ng’ombe...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wallace Karia pamoja na mazuri unayojaribu kufanya ,yanaharibiwa na kukosa utu kwenye uongozi wako ..yaani umekuwa mungu.. unataka wote tukubaliane na Kila unachotaka? Ni kiongozi Gani duniani...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Inasemekana msimu ujao atachezea Simba SC huku jambo lake likiendelea kutafutiwa ufumbuzi. Nimeumia sana, bora angeenda kuchezea hata Azam FC ila sio kwa Simba.
1 Reactions
44 Replies
7K Views
"Niliwaahidi mashabiki wa Simba kuwa msimu huu lazima tumfunge Yanga na tumemfunga tukafurahi wote, kwenye hilo mashabiki wa Simba Hawanidai" Murtaza Mangungu Mwenyekiti wa Simba SC Kuna...
5 Reactions
29 Replies
2K Views
Mancity 1-2 Chelsea Brentford 3-2 Mancity Brighton 2-2 Mancity Nottingham 1-4 Asernal Asernal 4-0 wolves Asernal 87 points Mancity 86 points Asernal winner [emoji471] #INAWEZEKANA
2 Reactions
33 Replies
1K Views
Niwape hongera zao Simba kwa kuwa maarufu nje ya Tanzania kuliko Yanga. Mimi ni shabiki wa Yanga na kila mtu anajua lakini huu ni ukweli. Nina marafiki zangu wengi ambao wametoka katika nchi za...
2 Reactions
22 Replies
1K Views
Naibu Waziri wa Utamaduni sana na Michezo Mhe. Hamis Mwinjuma usiku wa Mei 16, 2023 nchini Afrika Kusini, amepata nafasi ya kufikisha salamu za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt...
1 Reactions
2 Replies
499 Views
Kesho naomba Kocha Mkuu wa Yanga aanze na kikosi hiki ili tuweze kuzuia na kupata ushindi; 1. Diara 2. Djuma Shabani 3. Kibwana Shomari 4. Bacca 5. Mwamnyeto 6. Sureboy 7. Mzize 8. Aucho 9...
0 Reactions
4 Replies
758 Views
Kama kuna sehemu ambayo GENTAMYCINE nilikuwa nakutamani ujilete Mwenyewe na nikuparure Kihasira kama Simba Mnyama afanyavyo Msituni ni hii uliyoingia ( uliyojiingiza ) Mwenyewe. Mwenyekiti wa...
2 Reactions
73 Replies
6K Views
WIKI iliyopita, tukio lililotikisa anga za soka ni lile la kufungiwa maisha kwa Mwenyekiti wa Chama cha Soka Mkoa wa Tabora, Yusuf Kitumbo akituhumiwa kujihusisha na kupanga matokeo ya mechi za...
0 Reactions
0 Replies
640 Views
Kutokana na uimara na umadhubuti wa Marumo gallants, ni wazi kuwa tunapaswa kuiombea dua njema Yanga ili iweze kufika fainali ya michuano hiyo mikubwa. Kwa mtazamo wangu, hii ni kama bahati kwetu...
2 Reactions
7 Replies
521 Views
Kupitia kipindi cha michezo cha efm, Wilson Oruma amekaririww akisema kwa kikosi cha Yanga ya sasa ukimtoa Fiston Kalala Mayele basi ubora wa Yanga unapungua kwa 50% Akaongeza zaidi, Mayele pekee...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Simba timu yangu na tanga Azam na nyenginezo frusa imejitokeza pale Sudan Vita hii ni ya kutumia kupata wachezaji japo atupendi Vita na tunaomba ishee wakae kwa amani
0 Reactions
4 Replies
707 Views
Tunajua ulitumia Pesa zako nyingi ulizonazo na kumpa ili azitumie kupata Kura nyingi na awe pandikizi lako ( kama mwana Yanga SC) ili umtumie Kuihujumu Simba SC yetu. Tunajua Ahadi uliyompa ni...
4 Reactions
64 Replies
5K Views
Kutoka kwa Mwenyekiti wa Simba. “Niliwaahidi mashabiki wa Simba, msimu huu lazima tumfunge Yanga na tumemfunga tukafurahi wote. Kwenye hilo mashabiki hawanidai”. [emoji2788] Murtaza Mangungu...
5 Reactions
35 Replies
2K Views
Wasalaam. Ninaomba mwenye rekodi za Yanga akicheza na klabu za Afrika Kusini hasa mechi zinazochezwa ugenini Afrika Kusini kama hii ya kesho. Nawasilisha.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
GENTAMYCINE nimezoea kuona Rushwa na Makondakta wa Dala Dala kwa Matrafiki. Ila hii Rushwa ya Kitaalam inayotolewa na Vilabu Viwili Police Tanzania na KMC vinavyopambana kutokushuka Daraja...
5 Reactions
10 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…