Anasema CEO wa Simba, Imani Kajura;
"Timu yetu imeshatoa Bonus zaidi ya Billion 1.1 na kiasi kilichobaki ni milioni 20 pekee tena ni Bonus ya Ligi ya ndani, wewe vuta picha Klabu inalipa zaidi ya...
Desemba 17, 2021, Klabu ya Simba ilizindua kampeni ya kuchangia ujenzi wa uwanja wao uliopo Bunju, Dar es Salaam.
Malengo ni kujenga uwanja wenye uwezo wa kuingiza watazamaji zaidi ya 30,000...
Katika historia ya Uefa champion's league mechi mbili tofauti ambazo zilivunja mioyo ya watu ni fainali 1999 Manchester united vs Bayern na nusu fainali mwaka jana 2022 Man City vs Real Madrid...
Mimi ni shabiki wa Yanga (kiasi) ila kitendo cha huyu msemaji wa Yanga kutaka Jumatano kazi ndani ya ofisi za umma kuishia saa sita mchana siku ya Jumatano kwakuwa Yanga inacheza HAPANA.
Hata...
Mashabiki takribani 31,620 waliohudhuria mechi ya Ligi Kuu ya Soka ya Marekani na mamilioni zaidi duniani waliokuwa wakitazama “live” mechi ya Seattle Sounders dhidi ya Sporting Kansas City...
Ukiifunga timu mbovu na chovu hakuna cha kujisifu ila ukifungwa na timu chovu kama marumo kila mmoja atakushangaa!! Ni timu ya mkiani huko bondeni!!
TABLE DSTV PREMIERSHIP
#
Club
W
D
L
Goals...
Haya baada ya Kutudanganya wana Simba SC (GENTAMYCINE nikiwemo) na Wadau wa Soka / Michezo leo katika moja ya Interview yako kuwa Bonus inayodaiwa na Wachezaji wa Simba SC ni Shilingi Milioni...
Meneja Habari na Mawasiliano Simba Ahmed Ally Amekiri wachezaji wa Timu hiyo kudai bonasi.
" kweli wachezaji wanadai Bonasi zao za mechi kadhaa, Kuna wakati taasisi inakuwa na fedha inalipa madeni...
Mo ni tapeli utajiri wake uchunguzwe Sana jamaa anawaliza simba
Tajiri namba moja Tanzania anakosa milion 300 kulipa bonus?
Bilioni 20 zimeishaje ? si zilingefanya uwekezaji pesa za kununua hisa...
Nimejaribu kuvavadua nimeona kumbe Yanga na Simba ni watoto yatima. Hawana baba Wala mama.
Klabu hizi mbili zimebeba historia ya taifa la Tanzania.Pia nimegundua kuwa kama Marehemu Mzee Karume...
Hapa tunakipokea kikosi airport
Mimi na mashabiki wenzangu duniani kote licha ya matokeo ya jana,hatuwadai chochote kikosi cha Simba Sc
Kwa jinsi walivyocheza jihadi huku wakiwa pungufu ni...
Huwa ni mpenzi WA Mpira WA miguu mno. Na hii inachagizwa kwa kuwa nimecheza Mpira katika peak ya juu sana ila tu wakati na cheza Mpira haukuwa Mali sana KULIKO kipindi hiki Cha sasa.
Sasa Kuna...
1. Hawajui kwa nini yanga wana pesa ya usajili na Simba hawana.Hapa majibu yanahitajika
2. Matangazo yaliyojaa kwenye jezi tena maandishi makubwa ya hovyo kutangaza bidhaa za mo ,yanalipiwa bei...
Nani alitulaani sisi watu weusi? Kwanini tunaendekeza ushenzi wakati mwingine bila sababu za msingi?
Neno 'ushenzi' ni kinyume cha neno ustaarabu.Tumeshindwa kuwa wastaarabu katika vitu vilivyo...
Ningependa moja moja kuwapongeza watani zetu Yanga kwa ushindi wa jana.
Baada ya kufanya tathimini yangu fupi mitandaoni na vijiweni nimegundua kuna mabadiko makubwa kati ya mashabiki wa Simba na...
Ni miaka 10 rasmi tangu Sir Alex Ferguson (81) alipotangaza kustaafu kuifundisha Manchester United na kufundisha soka kwa jumla
Akiwa klabuni hapo alishinda mataji 13 ya Premier League, 5 (FA...