Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Wanasimba tunapigwa pigo jingine, Yanga wapo mbioni kumchukua Phiri azibe nafasi ya Kisinda na Okra azibe nafasi ya Morrisson. Wana Simba kutokana na Robertinho kutowakubali hao, mwakani tena...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Kocha mkuu wa Simba, Robertinho amewataka mabosi wa klabu hiyo kusajili wachezaji watano muhimu ambao ni mshambuliaji, kiungo mkabaji, beki wa kati, winga na beki wa pembeni mmoja ili waweze...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Majeneza fc labda nikusaidieni juu ya jambo hili huenda mkapoza nyoyo zenu kidogo. Huyu Manara ni kisu mlichokitengeneza wenyewe Leo kinawakata. Hivi alivyo Manara ndivyo alivyo tokea zamani enzi...
2 Reactions
37 Replies
2K Views
Viongozi wa Simba Mashabiki na wanachama liangalieni sana suala la wachezaji wa Simba kuna wachezaji SImba wameridhika na matokeo ya huko Nyuma hawajitumi wala kuumia. Mfano Chama anakosa goli...
0 Reactions
12 Replies
920 Views
Kila siku tunawaambia acheni kuleta wachezaji mizigo. Timu inatakiwa ifanye mabadiriko makubwa mno ya kimfumo na kiuendeshaji. Viongozi wanapaswa wajiuzuru Na wachezaji waondoshwe. Waajiri...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Kiwango alichokionesha Chama, kiungo Punda pamoja na beki za pembeni za Simba zinanipelekea nihisi kuwa kuna umafia mkubwa sana umefanyika kuelekea katika hii mechi ya nusu fainali ya kombe la...
4 Reactions
30 Replies
2K Views
Wakati tukimsubiri Marumo Gallants ambaye mpaka sasa amepotea njia ya kuja bongo na hajulikani kafika wapi, Ebu tumsome mchambuzi nguli kutoka viunga vya Kalia Mchambuzi huyu amesema sababu ya...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Paris Saint-Germain imechukua uamuzi huo kutokana na kusafiri kwenda Saudi Arabia kufanya matangazo ya biashara bila ridhaa ya klabu yake. Wachezaji wa PSG walitakiwa kupata mapumziko ikiwa...
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Kuwa kwako Mwandishi wa habari kusikung'oe ubongo . Hivi Simba hii hukuwahi kuiona ? Heshima ni kitu cha bure ukae ukijua hilo . Pamoja na umuhimu wa Katiba mpya lakini huku ulikoenda siko
8 Reactions
28 Replies
3K Views
=============== Katika lugha inayotumika kwenye barua official sehemu za pesa huwa zinaanza kwa tarakimu zilizotenganishwa kwa comma, kisha aina ya pesa kwa initials baada ya hapo kuwepo kwa...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
🥇 KIPA namba moja wa Yanga, Djigui Diarra amefikisha clean sheet 16 katika Ligi Kuu na zikiwa zimebaki mechi tatu kwa kila timu ili kukamilisha msimu tayari ametangazwa Kipa Bora wa msimu kutoka...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Natumaini wazima, Najikita kwenye uzi nikiwa nimechunguza na nikagundua ndani pa Simba kuna moto unawaka taratibu siku huu moto utakuja kulipuka paaaaah. Viongozi na mashabiki watakimbiana, Mo...
2 Reactions
6 Replies
565 Views
“...Hii adhabu CAF wametupa kutokana na kuwasha moto sisi kwenye Mpira wa Afrika bado ni wanafunzi lakini kuna mamasta wa hayo mambo, mfano timu za Kaskazini na huoni kama wameadhibiwa. Nawaomba...
3 Reactions
16 Replies
830 Views
Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Yanga ya Dares Salaam, Stephane Aziz Ki amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Aprili wa Ligi Kuu ya NBC huku Kocha Mkuu wa Tanzania Prisons, Abdallah Mohammed...
1 Reactions
7 Replies
741 Views
Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la soka Afrika (CAF) imeitoza Klabu ya Yanga faini ya jumla ya dola Elfu 35 (takribani Tsh milioni 82) kwa matukio kadhaa kuhusiana na klabu ya Rivers United ya...
2 Reactions
31 Replies
5K Views
Kabla ya mchezo niliandika uzi ulisema Azam atashinda au atadroo mbele ya simba sc na kweli ikawa hivyo. Tatizo lilianzia kwa Ahmedy Ally baada ya kuzungumza maneno yakukatisha tamaa/kukata tamaa...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
KOCHA NASREDDINE NABI: “Tunatakiwa kuwa makini na huu mchezo wa nyumbani, watu wanasema tunatakiwa kushinda mabao mengi, wako sahihi, kwangu mimi ni tofauti kidogo tunachotakiwa ni kuwa makini...
7 Reactions
24 Replies
2K Views
NABI: Tunatakiwa kuwa makini na huu mchezo wa nyumbani, watu wanasema tunatakiwa kushinda mabao mengi, wako sahihi, kwangu mimi ni tofauti kidogo tunachotakiwa ni kuwa makini tusiruhusu bao hapa...
3 Reactions
0 Replies
544 Views
MZIZIMA DERBY Ni mtanange wa kukata na shoka baina ya Azam Vs Simba katika nusu fainali ya kwanza ya kombe la shirikisho la Azam ndani ya dimba la NANGWANDA SIJAONA Mkoani Mtwara Ni mchezo...
9 Reactions
568 Replies
39K Views
Kamati ya nidhamu ya CAF imeipiga faini klabu ya Yanga ya jumla ya dola za Kimarekani elfu 35 ($35,000) kiasi kama milioni 80.5 za Kitanzania kwa makosa makubwa 2. 1. Matumizi ya fataki kwenye...
6 Reactions
29 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…