Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Aliandika kwa TFF kwamba alichoka manyanyaso mbalimbali kutoka kwa uongozi. Ni mambo ya kusikitisha
0 Reactions
116 Replies
7K Views
Hakuna asiyejua kuwa mchezo wa derby wowote pale duniani hata ukiwa Bora namna gani unaweza ukafungwa tu. Naikumbuka yanga akina balama mapinduzi na ditram nchimbi (yanga tia maji tia maji) yanga...
1 Reactions
80 Replies
4K Views
Nichukue nafasi hii kuipongeza River United kwa Kupangiwa na Mpinzani yoyote yule aliyepatikana na kuna Uwezekano aliyepangiwa nae akapigwa nyingi Nigeria na za kutosha pia Kwao na kutupwa kabisa...
6 Reactions
42 Replies
5K Views
Jitu limevimba baada ya kuona fiston kalala mayele akitupia magoli mawili akipewa asist kutoka kwa keptein bakari nondo mamunyeto (Kaka mkubwa), Uchuro/makelele mliyokuwa mkipiga humu jamii...
2 Reactions
8 Replies
787 Views
Hili ndo basi wamepewa Yanga SC na wenyeji wao huko nchini Nigeria kwa ajili ya matumizi wakiwa nchini humo kwa ajili ya mchezo wa CAF confederation dhidi ya Rivers hapo kesho.
7 Reactions
44 Replies
5K Views
Fiston Kalala Mayele ni mmoja, The King, GSM- Goal Scoring Machine, Mtambo wa magoli, Jini.Kuna tetesi zinasema eti yule ni Benzema kavaa kinyago cha Mayele, wamemshtukia! πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„.Naishauri timu Ya...
10 Reactions
16 Replies
1K Views
Kocha Nasridine Nabi ni kocha wa viwango, ni kocha asiyetabirika, ni kocha master sana wa kuusoma mchezo na kumalizia kazi yake kwa uweledi mkubwa, Leo kaingia uwanja wa Uyo na back 3 akijua...
21 Reactions
13 Replies
2K Views
Kufuatia Yanga kushinda ugenini dhidi ya Rivers Utd ya Nigeria huko kwenye michuano ya kombe la shirikisho barani Africa, hebu tabiri vichwa vya habari kwa magazeti ya michezo kesho. Mwanaspoti...
0 Reactions
4 Replies
673 Views
Sema bongo wachambuzi Ni washabiki tu. Ukiwafata na ushabiki Ni hakuna kabisa vitu kichwani. Muda wote kuiponda Simba oh Haina timu. Simba imemchukua baleke. Hata combination haijakomaa. Kafunga...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Ni aibu kwa timu kubwa kama Wydad kufanya vurugu katika uwanja wa Mkapa huku wakiwa wageni. Natapa taabu sana kuamini mchezo wa marudiano huko Morocco jinsi utakavyotawaliwa na vurugu kubwa kwani...
8 Reactions
16 Replies
3K Views
Wakati tukisubiria mbugi la kisasi kati ya miamba ya Nigeria na Mabingwa wa kihistoria walioshindikanika hapa Bongo, Nitakuwa nakuletea on hand updates za timu hizi mbili ili ujue kiwango cha...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Najua jambo hili ni ngumu kidogo kuingia masikioni mwa mashabiki wa simba. Maana wamekariri kuwa yanga kimataifa si lolote ni kama Mbeya kwanza tu wakiwa kimataifa ila ukweli ni kwamba Yanga...
3 Reactions
34 Replies
2K Views
Ndugu Haji Sunday Manara leo kwenye Press Conference Klabu bingwa ya kihistoria ametanabaisha kuwa kwa mipango aliyoishuhudia ndani ya klabu hiyo anaamini kuwa kama kuna klabu yeyote Afrika...
1 Reactions
54 Replies
3K Views
Nimeona baada ya mechi kuisha mashabiki wa simba wakijifagilia kumfunga whydad kwa mkapa kana kwamba wao ndio timu ya kwanza kumfunga, Ni kawaida ya watanzania kusifia vitu vidogo vidogo pindi...
6 Reactions
50 Replies
3K Views
Kuna watu wanadai Simba ni mbovu Simba siyo mbovu ni mfumo wa uchezaji ndio umebadilika. Ingawa kosa hili la kubadili mfumo ameuleta Mo simlaumu kwa kuwa nae apenda Simba yenye mafanikio ingawa...
8 Reactions
31 Replies
2K Views
Nimetazama game ya Simba vs Wydad. Sasa ivi nawatazama hawa Al ahaly vs Raja. + CR Belouizdad vs Mamelody aisee izi timu nane zote ni HESHIMA Ila kule ktk kombe la Looserniko na mashaka migoli...
12 Reactions
14 Replies
2K Views
Vilabu vikubwa vyenye hadhi Africa vimecheza siku ya leo michuano ya CAFCL. FT:Kabyile 0-1 Esparance. FT:Simba 1-0 Wydad AC. Mechi zinazoendelea kuchezwa muda huu ni Al ahly Vs Raja Casablanca...
5 Reactions
172 Replies
11K Views
YANGA KUFIKA NUSU FAINALI KLABU BINGWA 2022/23? Mwaka 1974 Klabu ya soka ya Simba ilipewa jukumu la kuiwakilisha Tanzania katika michuano ya klabu bingwa barani Afrika. Simba ambao walipata...
1 Reactions
31 Replies
8K Views
1. Mayele kukosa kiatu cha ufungaji bora 2. Sakho kushinda tuzo ya goli la kideo la CAF 3. Jezi zenye makaburi na daraja la Mfugale 4. Mkataba wa M-Bet kuwa mnono kuliko wa SportPesa 5. Manara...
15 Reactions
47 Replies
3K Views
Boss wa Simba (mo dewji), kwa hivi Sasa yupo kimya hatutosikia kelele/Wala kulia kwenye gari kwa kuwa Simba inapata matokeo mwamba yupo chimbo anasubiri Simba ipigwe aanzishe tour yake yakuwananga...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…