Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Nimekwazika sana tu kusikia ( tena kutoka kwa Msemaji Ahmed Ally akikiri hivi punde EFM Sports Headquarters na kusema zimechelewa tu kidogo kutokana na Masuala ya Fedha ) kuwa Wachezaji wa Simba...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Zimebaki mechi saba Arsenal awe bingwa wa Epl 2022/2023 Akitoa maoni yake beki wa zamani wa liverpool carragher amesema "wachezaji wa Arsenal wanajiona wadogo na wavulana kushindani taji ndio...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Wataje magwiji hawa, na utuambie kama uliwahi kuwaona wakicheza
0 Reactions
9 Replies
807 Views
Today marks TEN YEARS since Manchester United last won the Premier League [emoji15] Leo imetimia miaka 10 tangu manchester united washinde kombe la ligi kuu uingereza. Mashabiki wa man u wenye...
0 Reactions
2 Replies
540 Views
Historia ina nafasi katika ushabiki lakini haina nafasi ndani ya uwanja. Maandalizi ndio kila kitu.
3 Reactions
9 Replies
760 Views
Tuliwaambia uto timu kubwa haijifichi, yaani timu kubwa inajulikana na kuogopeka si ndani ya nchi pekee, bali duniani kote. Last week makampuni ya betting yalimpa mnyama SIMBA odds kiduchu sana...
7 Reactions
23 Replies
2K Views
Ameandika Yericko Nyerere [emoji3578] "Hii haikubaliki kabisa, mgawanyo huu wa mapato ni wizi wa mchana kweupe. Klabu mwenyeji wa mchezo haiwezekani ipate karibu chini ya 30% ya mapato. Hebu...
6 Reactions
23 Replies
3K Views
Wasiojua Mpira walifanyiwa 50% tu ya Umafia huo na tarehe 16 April, 2023 Wakafa Goli 2 huku Wakikoswakoswa Goli 3 au 5 na sasa wameanza Kugombana Wenyewe kwa Wenyewe. Umafia waliofanyiwa...
13 Reactions
45 Replies
6K Views
Akiwa katika kipindi cha sports arena kupitia wasafi fm, mchambuzi wa michezo nchini, Edward Kumwembe amesema ana uhakika hata simba akishinda 3-0 kwa Mkapa jumamosi bado atatolewa na Wydad katika...
7 Reactions
67 Replies
5K Views
Brown (43) ambaye alikuwa analipwa mshahara wa Pauni 50,000 (Tsh. Milioni 145) kwa wiki ametangaza hali hiyo Mahakama Kuu ikiwa ni mwaka mmoja tangu kuvunjika kwa ndoa yake. Nyota huyo aliyedumu...
6 Reactions
38 Replies
6K Views
Kabla hata ya derby ya Simba na Yanga, kulizuka utata kuhusu upangwaji wa golikipa wa Simba Beno Kakolanya katika mechi muhimu za Simba wakati Aishi Manula akiwa majeruhi. Utata huu ulikuja baada...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Shirikisho la mpira wa miguu hapa nchini limetoa taarifa ya mapato ya Mchezo wa watani wa Jadi Simba na Yanga ambao ulifanyika jumapili iliyopita tarehe 16/4/2023, wadau mbalimbali wametoa maoni...
2 Reactions
53 Replies
6K Views
Hii ni kumbukumbu ambayo haitopotea katika tasnia yetu ya michezo baada ya msemaji wa Simba (Ahmedy Ally ) kuibua hoja mbele ya wadau na wapenda soka/ wapenda maendeleo wanaopigana usiku na mchana...
1 Reactions
75 Replies
2K Views
Hello bosses amd roses.. Hii kitu naiona sana hata kwenye media. Ukiachilia mbali hali ya urafiki/kuelewana iliokuwepo kati ya Lebron James na Marehemu Kobe Bryant (RIP) bado fans wengi wa Kobe...
0 Reactions
17 Replies
723 Views
Mashabiki wengi wa Soka la Tanzania especially kwa mashabiki wa Simba hawajui mpira. Wameijua Simba kipindi cha mafanikio ukiwauliza mwaka 2017,2016 nk, Simba ilikuwaje au Ina kikosi gani mtu...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Mechi imeingiza 410M then mwenyeji anapewa 100M na ushee? Karibu 240M zimepotelea kwenye makato. Yaani makato ni makubwa kuliko mtaji. Biashara kichaa! Hata mchanganuo haueleweki. Uwanja 47M...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Je Safari ya matumaini ya Simba SC itaishia Jumamosi hii! ? Yule tusiompenda kumsikia ameshatua Dar na wamesema hawaogopi Mvua, wamekuja kucheza mpira na sio kutafuta suluhu au kulinda. Wao...
3 Reactions
17 Replies
3K Views
Hii timu ikamilishe mchakato wa uuzwaji wake ili ipate utulivu wa kiutawala. Haiwezekani timu inakuwa kama pombe ya ngomani, tena kule uzaramoni kbs yeyote mwenye kata anachota tu. Timu limekuwa...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Mechi imeingiza 410M then mwenyeji anapewa 100M na ushee? Karibu 240M zimepotelea kwenye makato. Yani makato ni makubwa kuliko mtaji. Biashara kichaa.! Hata mchanganuo haueleweki. Uwanja 47M...
14 Reactions
27 Replies
3K Views
"Hii ni mechi ya kimataifa, hata kama Beno amesaini na Singida anatakiwa kuwa na weledi, Beno bado ni mchezaji wa Simba na anatakiwa kuwa Committed na Timu ya Simba na hususan hizi mechi muhimu...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…