Mchungaji Matsai wa KKKT Kimara amesema Yanga Wananchi ni Timu inayoishiaga hapa hapa nyumbani lakini Simba ni ya kimataifa kwa sababu ni Timu ya Washindi
Akiwa kwenye mahubiri Kanisani leo...
Yanga inabidi wawe makini na chama na baleke ni wachezaji waliokuwa kwenye form nzuri hivi Sasa na ni HATARI.
Simba inabidi wawe makini na wachezaji wote wa yanga na kocha Nabi.
hivi Sasa...
Kinara wa mabao kwenve kikosi cha Yanga na Ligi Kuu Tanzania Bara, Fiston Mayele mwenye mabao 16 hadi sasa, ameifikia rekodi yake ya msimu uliopita na sasa anasaka kuivunja.
Baada ya kukosa tuzo...
Mwanzoni mwa mwaka 2017 katika shule ya soka ya Ajax kulikuwa na kipaji maridhawa ambacho mtendaji mkuu wa Ajax ndugu Edwin Van Der Sar alikuwa ana uhakika baada ya miaka miwili mitatu watapata...
Leo kuelekea derby ya simba na yanga, wazee wenzangu tukumbushane matukio ya uwanja wa taifa kipindi hicho cha 90's.
Nakumbuka miaka ile pesa ilikuwa ngumu kweli kweli na mapenzi ya kutazama...
Huyu jamaa mshenzih sana.... Kwenye video hapa tunaona wakati mayele kainamishwa yeye anaenda kumtia kidole. Tunaona jinsi ambavyo Mayele anaruka na apotizama kumwona BM anatulia
Huyu BM...
Mlinzi wa kati mwenye uwezo wa kukaba hadi upepo Dickson Job amesinya mkataba wa miaka miwili kuendelea kutwanga/kucheza Yanga,ni suala la muda kwa Yanga kutangaza taarifa zake, bwana mdogo bado...
Mwamuzi wa kati Jonesia Rukya kutoka Kagera, ndiye atakayechezesha mechi ya watani wa jadi Simba vs Yanga itakayopigwa kesho Jumapili Aprili 16 katika dimba la Mkapa.
Wasaidizi wake watakuwa...
Wapinzania wa jadi Simba na Yanga wakutana kwenye Futari Ikulu Jijini Dar es Salaam, wa kwanza kulia ni Rais wa Yanga Eng. Hersi Said, Mwenyekiti wa Bodi ya Simba Salim Abdallah (Try again) wa...
Simba kila wakati imekuwa ikisajili wachezaji wazuri sana. Tatizo kuna wachezaji pale Simba hawataki kukubali kuwa muda wao umeisha. Kwa hiyo SIMBA walifnyikie kazi. Mnaweza kuona PHIRI...
Tukiwa tunaeleka derby ya kariakoo hapo kesho, sio mbaya tukakumbusha baadhi ya vituko, mikasa na visa vilivyowahi kutokea huko nyuma. Leo tuikumbuke mechi iliyowafanya Yanga (Gongowazi) kuchapa...
Unajua kelele zinaweza kufanya mambo mawili, eidha kuwapa kiwewe, ama kuwafanya imara zaidi.
Nashauri ijapo tumechelewa sana,ni bora kuwa wapole tu. Unless tunalenga kupata mapato tu.
Hizi mechi...
Maswali magumu kwa Feisal
By Ramadhan Elias
Mwananchi Communications Limited
Dar es Salaam. Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) ilikutana...
Kupitia Azam tv tar 14/4, umeonekana kwenye camera ukitaja kikosi au silaha zako kwa uoga ukiwa huna amani kabisa kwa kile ulichokua unakizungumza.
Ulitaja silaha zako ukasema kuwa unaziamini...
Kwa mechi kadhaa nyuma, Yanga ilikuwa ikipewa nafasi kubwa ya kushinda na makampuni ya kamari, lakini safari hii hali imekuwa tofauti.
Watu wakiamini Yanga ni bora kuliko Simba, watu wakiamini...
Uongozi wa Simba SC pitieni sana hapa Jamiiforums na muwe mnanisikiliza mno Mimi GENTAMYCINE sawa?
Nawapambania kuliko hata hao Wanafiki baadhi walioko Kambini kwa sasa.
Haya GENTAMYCINE naamuru...