Day 3. Vipers anamkaribisha simba na raja anamkaribisha horoya ambapo wenyeji wote watashinda. Day 4: Simba anamkaribisha vipers game itaisha sare, horoya anamkaribisha raja na mgeni atashinda...
Ifuatayo ni List ya Wachezaji ambao awali waliingiza Fedha Nyingi sana Kupitia Mpira wa Miguu lakini Baadae walifilisika.
1.Ronaldinho.
Mwaka 2020 Alikamatwa na Polisi kwa kosa la kuwa na...
Ndiyoooo, sina muda wa kutoa salamu maana nitakua napoteza muda tu, twende moja kwa moja kwenye point kuu.
Hakika NALIA NGWENA toka nianze kushuhudia mpira sijawahi kushuhudia robo fainali mbovu...
Karibu tena upate burudani ya soka tamu kutoka kwa Wananchi..
Ni robo fainali ya Azam federation cup baina ya Machampioni watetezi Yanga dhidi ya Geita Gold kutoka mkoani Geita.
Mchezo huu...
Wanamichezo wenzangu wana-jf, Nimejiuliza hili swali ila bado sijapata jibu kwamba nini kinapelekea Mazembe kupitia wanayopitia siku hizi?
Nimekosa majibu hebu nijibieni, maana wamenishangaza sana?!
Habarini Wananchi wote wa JF..!
Bila kupoteza muda naomba nisiwachoshe tusichoshane..Ukweli huwa ni mchungu sana..hii imewafanya watanzania wengi wanapenda uongo wenye kufariji kuliko ukweli...
Hichi ndicho kinachoikuta Simba hii ndiyo mechi yake ya MWISHO kuwa na furaha. Tunzeni haya maneno nipo nimekaa paleeee mje mniuwe kama itakuwa uwongo tutakutana hapa hapa kwenye page hii.
Hivi kweli Yanga ndiyo timu ya kupata kagoli 1 tena baada ya wapinzani kupungua. Wakati hadi confederation CAF wanaijua. Alafu kocha Nabi hatumuoni kaenda wapi na kuiacha timu ikiwa taabani hivi...
Nimeshangazwa na moja ya interview yakeanayosema "hamjui Mayele kabisa"
Hapo hapo anajichanganya nakusahau kuwa alisema "simba inapofungwa huwa analia sana.
Sasa swali fikirishi mayele kaifunga...
Karibuni wadau wa mpira huu, siyo muda wakulaumu wachezezaji au makocha na benchi la ufundi, ni muda wetu sisi wadau, mashabiki wa mpira wetu wa miguu tujadili mbinu namna gani tunaweza kuipa uhai...
"Vipigo vikali ambavyo Simba Sc wameshavitoa wakiutumia uwanja WA taifa Benjamin Mkapa Stadium Dar Ea Salaam Tanzania [emoji1241]
Kuanzia Mwaka 2019 Mashindano mbali mbali
Al ahly [emoji736] 1-0...
Yaani jitu linafunga tuu, huyu jamaa angebaki tuu huko kwao, mabeki wa epl wamemshindwa, basi angalau timu nyingne zingekua na wachezaji level yake kama Mbappe, Messi, Neymar, n.k.
Mpka unatamani...
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Hamis Mwinjuma (Mb), ameshiriki zoezi la ugawaji wa medali kwa timu zilizofanya vizuri kwenye finali za mashindano ya Kimataifa ya shule za...
Wakati timu zitakazoshiriki duru la kwanza la mashindano mapya ya CAF linajulikana, na zimechaguliwa kutokana na ubora wake wa miaka ya hivi karibuni, katika hali ya kushangaza, timu ya Yanga...
Yanga hazungumzwi sana kwa kuwa timu aliyopanga nayo ni dhaifu ukilinganisha na ubora wa yanga walionao kwa sasa hivyo wanauhakika wa kutoboa" lakini Simba anazungumzwa sana kwa kuwa ana kikosi...
Hakika alichozungumza huyu mtu alikuwa yupo sahihi kabisa hata Mimi naunga mkono hoja kwa ushahidi wangu niliouona kwa mashabiki wa simba.
Ndiyo, siwezi kutengua kauli yangu yakuunga mkono hoja...
Hivi jambo hili lina ukweli wowote?
Binafsi nimeangalia katika maeneo ninayoishi ninaona kama vile kuna ukweli fulani.
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Mimi natabiri hakuna kutingisha kifua siku hiyo, ila kuna jini linaitwa Jean Baleke Othos litaongeza hat trick katika bank yake.
Matokeo ya jumla;
Simba sc 6 vs Yanga sc 1
Wafungaji kwa upande...