Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kitendo cha mashabiki, wachambuzi na wajinga fulani kuidharau Simba eti haiwezi kufua dafu mbele ya Wydad kitawaponza na hamtoamini! Pia, kitendo cha mashabiki na wapenzi wa Young Africans...
1 Reactions
0 Replies
210 Views
Katika kundi hili gumu miamba ya Afrika Young Africans wanaongoza kundi D,Kwa tofauti ya goli moja huku ikimuacha nyama Monastir aliye nafasi ya pili Yanga na Monastir wameachana goili moja huku...
8 Reactions
67 Replies
7K Views
Meneja Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally amefunguka baada ta droo ya robo fainali kumalizika na kupangwa kucheza dhidi ya Wydad Casablanca [emoji3596] "Ni lazima tukiri kuwa tumepata mpinzani...
0 Reactions
7 Replies
686 Views
NAMNA maisha yanavyokwenda kasi. Ijumaa usiku wa manane dunia ilikuwa imemwangukia mlinzi wa kati wa kimataifa, Josh Onyango mara baada ya kumalizika kwa pambano kati ya Simba na Raja pale...
8 Reactions
9 Replies
1K Views
Wazee mimi ni shabiki wa Simba Na mwanachama nimeangalia clip za hawa wydad Casablanca aisee nahisi goli si chini ya tano tunakula taifa,nataka iki kikombe kiniepuke nahitaji kukimbia nchi Kwa...
5 Reactions
18 Replies
890 Views
Timu yenyewe mnayocheza nayo inaburuza mkia, ni cha wote hicho! Mshindwe wenyewe kusukuma mlevi huyo mzembe! Ila msije hapa kujisifu! LKwani nani anaweza kushindwa kusukuma mlevi?
3 Reactions
8 Replies
917 Views
Stay tuned hapa kwa updates mbalimbali kwa yatakayojiri katika droo hii hapo baadaye saa 3:30 usiku. Simba SC 🇹🇿 anaweza akakutana na timu moja wapo kati ya hizi • ES Tunis 🇹🇳 • Mamelodi Sundowns...
13 Reactions
447 Replies
41K Views
Rivers United wana advantage ya kisaikologia dhidi ya Yanga! Hiyo hutoa nguvu sana zisizo za kawaida kwenye mchuano wowote! "Wananchi" jiandaeni kisaikologia kuangukia pua!
7 Reactions
17 Replies
1K Views
BRUNO GOMES NI ZAIDI YA CHAMA Hadi sasa Kiugo bora katika ligi Kuu ya NBC ni Bruno Gomes wa Singida Big Stars. Kuwa kwa namna ambavyo Bruno ameisaidia Singida Big Stars anamzidi hata Clatous...
1 Reactions
33 Replies
2K Views
Agosti ya mwaka 1991 Jemedari na kiongozi shupavu wa iliyokuwa USSR Mikhail Gorbachev alishuhudia zama za mwisho za umoja ule, katika yale majaribio ya mapinduzi dhidi yake yalimpa dalili mbaya na...
5 Reactions
29 Replies
3K Views
Na Eleuteri Mangi, WUSM, Dodoma Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana amesema Serikali imeanza kutekeleza ujenzi wa mradi wa uwanja wa kupumzikia wananchi lililopo...
2 Reactions
3 Replies
789 Views
Wakuu, Beki kisiki Josh Onyango amekuwa ni mhimili wa ulinzi Simba lakini amekuwa akifanya makosa yanayofanana mara nyingi. Josh akiachwa kwenye kasi akili yake ni kucheza rafu bila kuangalia...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
Baada ya anguko la klabu za Enyimba, Enugu Rangers na Heartland klabu bora za Nigeria, Ndipo zilipoibuka klabu za Kano Pillars, Plateau United na Rivers United. Ni timu za kiazi kipya kwenye...
7 Reactions
19 Replies
2K Views
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Hamis Mohamed Mwinjuma amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Afrika (CAF), Veron Mosengo-Omba...
0 Reactions
2 Replies
707 Views
Baada ya draw ya Kombe la Shirikisho Afrika na Yanga kupangwa na Rivers United ya Nigeria, mashabiki wa Yanga wameonekana wenye matumaini makubwa ya kufuzu Nusu Fainali kwa kuona Rivers pengine ni...
2 Reactions
6 Replies
751 Views
Ikitokea kweli Fiston Mayele kwenda al hilal ya soudan na fikiri siku hiyo mashabiki wa al hilal watajaa airport kumpokea huyu mwamba sio kwa mapenzi haya kwa fiston Mwisho kabisa ibenge kajua...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Katika mashindano ya CAF Champions League zinaenda timu 8 robo fainali ila cha ajabu kati ya timu hizo timu 1 tu ndio inatoka Sub Sahara Africa, Simba Sports Club Yaani nchi 50 za Sub Sahara...
21 Reactions
68 Replies
4K Views
Salaam, Nimeona taarifa mtandaoni kwamba timu inayoshika mkia kwenye ligi kuu ya soka Afrika Kusini, Marumo Gallants, ndio vinara wa kundi lake kwenye CAFCC nikachoka kabisa. Hapa sitaki kusikia...
13 Reactions
41 Replies
2K Views
Hapa wahenga mnasemaje?
4 Reactions
8 Replies
720 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…