YANGA SC IMETUFUNDISHA MAHESABU KILA HATUA KIMATAIFA.
Klabu ya Yanga wametengeneza mahesabu makubwa sana kwenye mashindano ya Kombe la Mabingwa Afrika kwa kumaliza kinara wa kundi lake akiwa na...
Alianza mwanasheria msomi,tunaambiwa ni majeruhi,akaja mzanzibari tukaambiwa mkorofi,sasa ni kiungo aliyeshindanishwa na mwamba wa Lusaka,wanajidai wako kimyaaa!Na za ndaani kabisa anafuta...
Lazima tukiri kuwa tumepata mpinzani mgumu kwenye hatua ya Robo Fainali, na pengine ni mpinzani mgumu zaidi tangu tuanze kushiriki hatua hii.
Hapa unamzungumzia bingwa mtetezi, unamzungumzia...
HAKUNA POINTI YA KUSHINDANA KATIKA SHINDANO AMBALO UNAJUA HUTASHINDA
Yaani unakuwa tu kama msindikizaji, Simba ni timu kubwa sana, yenye pride kubwa, so haiwezi kuendelea kuwa mdindikizaji kila...
Klabu yenu pendwa ya Simba imepangwa na bingwa mtetezi wa Caf CL, Waidad Casablanca, kwenye robo fainal ya Caf CL.
Kwa wale wasioifahamu vizuri Waidad AC, nawaomba mje kwa Mkapa hapo tarehe...
Katika vitu vya kipuuzi kushuhudia pale Anfield ni usajili wa Melo Kutoka Juventus kuja Liverpool ili aokoe jahazi
Lakini matokeo yake hajacheza mechi hata moja Kama sijakosea na mwezi July...
Huyu jamaa Almaaruf hapa Bongo Ustadh ni hatari sana, ni zaidi ya IS, amekua akiwapa watu maumivu sana. Wengine wanasema anatumia Mkongo! Ni hatari kwa vidudu vyote vinavyorika na vinavyotambaa...
UPDATES
00' Kipenga kinapulizwa kuashiria mwanzo wa mchezo na Yanga inaanza kwa kushambulia lango la Rivers, hata hivyo shuti linapaa juuu.
03' Rivers wanafika lango la Yanga, Adeyum katika...
Kiungo mahiri wa Yanga na timu ya Taifa ya Tanzania Mudathir Yahaya leo ameibuka kinara kwa goli lake alilofunga dhidi ya Tp Mazembe kuchaguliwa kuwa bao Bora la mashindano ya Caf hatua ya makundi.
Hakuna asiyekujua kuwa Wewe ni Yanga SC 100% na hivi sasa unatumika na Watu wa Yanga SC yako ya Moyoni ( japo upo Azam FC na Azam Media ) kama sehemu yako ya kujipatia Ugali wako wa 24/7...
Hatua ya makundi ya klabu bingwa Africa imetamatika, hivyo kinachofuata ni draw ya robo fainali itakayoenda hadi fainali.
Simba inawashindani watatu ambao wanaweza kupangwa nao. Timu moja tu kati...
Huyu kocha Graham Potter aliyefukuzwa majuzi amekuwa millionaire ghafla.
Tangu Chelsea inunuliwe kutoka kwa billionare Roman Abrahamovich chini ya mwaka imeshafukuza makocha watatu Frank Lampard...
Najua nitabezwa lakini ukweli huu mwaka Africa itasimama na kushangaa kwa jinsi timu mbili kongwe zitakavyo tinga Nusu Fainali japo kuingia fainali sina la kusema.
Timu zote mbili zilibezwa na...
Kuna hii timu kutoka South Afrika inaitwa Marumo Garants wao wanashika nafasi ya mwisho 16 kati ya timu 16 wana points 20 katika michezo 23 Wameshinda michezo mitatu sare 11 vichapo 9.
Cha ajabu...
Nimeshangaa sana, kwani nimejaribu kusearch timu kibao za ndani na nje, ila kila nikisearch Yanga ili nitazame rates wanazompa King Mayele naona wanasema no suggestions.
Hii ina maana gani wakuu...
Habarin wadau, hivi hi mechi kati ya River United na Yanga itaoneshwa chanel gani?
=======
Mechi kamishna Sulley Camara kutoka Sierra Leone amewaruhusu Yanga wacheze wote kwa kuwa hakuna cheti...
MABAO MENGI ZAIDI KUFUNGWA
kwenye msimu mmoja wa #CAFCL
[emoji1241]Young Africans - 19
[emoji1174] Costa do Sol - 17
[emoji1052] Galaxy - 17
[emoji1269] CAPS Utd - 16
[emoji1062] Coton Sport -...
Habari za kufurahisha moyo kwa mashabiki wa Yanga! Klabu hiyo imemtuma tena Ofisa Mtendaji wao Mkuu, Andre Mtine, kwenda kufuatilia droo ya Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika na Ligi ya...
Klabu ya soka ya Chelsea ya Uingereza iko mbioni kumrejesha klabuni hapo mchezaji na kocha wake wa zamani kama kocha wa muda hadi mwisho wa msimu
Kwa mujibu wa Fabrizio Romano klabu hiyo...