Uamuzi huo umefikiwa baada ya kocha huyo kushuhudia timu yake ikifungwa mechi ya 5 kati ya 6 zilizopita za Premier League.
Rodgers aliyeteuliwa kuifundisha timu hiyo FebruarI 2019 na kuiongoza...
Klabu ya Chelsea imetangaza kufikia maamuzi ya kumfukuza kocha Graham Potter. Nafasi ya kocha huyo itachukuliwa na Bruno Salter. Klabu hiyo ya jijini London imemshukuru kocha huyo kwa mchango...
Katika kipindi cha miaka 5 Simba ndio klabu bora Afrika Mashariki kwa hatua walizopiga michuano ya Kimataifa ya CAF.
Hatua ya makundi na Robo Fainali mara 4. Yanga itawachukua miaka 4 hadi 5...
Kesho ndo kesho asemaye Leo ni mwongo,
Hapo kesho ndaani ya dimba la Stade de TP Mazembe linaenda kupigwa mbugi la karne huku miamba ya Tanzania iliyoshindikanika Kwa mpira,fedha na kamati za...
Pablo: hello kaka.
robertinyo: habar gan kaka, naamin unanisikia.
pablo: nakusikia kaka.
robertinyo: mi mzima wa afya mungu anasaidia.
pablo: mi pia mzima kaka, nipe habar za uena fc...
Jana kulikua na mechi ya Kuwania kupanda daraja Mwanza, ambapo Pamba fc walikua wakicheza na Kitayose fc, huo mchezo ulimalizika kwa Pamba kutoka sare ya bila kufungana na Kitayose ya Tabora...
Hifadhi huu uzi utakuja kuniambia. Ipo hivi:-
-Simba siku ya jumamosi tarehe 18/03/2023 atacheza na Horoya, Simba atashinda 3-1 na kutinga moja kwa moja robo fainal huku akiwa amebaki na mechi...
Nilikuwa naangalia thamani ya wachezaji walio huru kwenye mtandao wa "Transfermarkt" na kukuta kuwa mchezaji wa zamani wa Simba Dejan Georgijevic kwa sasa thamani yake ni Kati ya shilingi za...
Kesho kuna mechi ya Raja usiku saa saba, ikumbukwe mwarabu alishamvurumisha Simba tatu kwa mkapa, Kesho Simba wasipokuwa makini watabanikwa wazima wazima kuweka rekodi ya aina yake
Robo fainali...
Kuna watu wamedandia mtumbwi wa vibwengo[emoji84][emoji84][emoji83][emoji83][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
uchambuzi utafata baadae
Stay...
Salaam wakuu.
Mimi nilikuwa Nanjilinji kulima ufuta ila wakati natoka niliicha Yanga ipo klabu bingwa sasa jana wakati naangalia ratiba ya klabu bingwa nikastaajabu timu yangu pendwa MMBWA FC...
Wale wazee wa kubet, msitumie tena kampuni hii, ipo hivi;
Unaweka mkeka pesa inakubali. Ukila mkeka pesa haitoki. Wanakupa jibu wapo kwenye matengenezo. Ila kuweka pesa na kubeti wanapokea...
Bila shaka
18. Notingham forest
19. Bounermouth
20. Southampton
Hawa watashuka daraja
Kwa Notingham forest anaweza akadumbukia everton asipobadilika mapema. Na itakuwa kwa mara ya kwanza klabu...
Nabi rasimi kathibitisha kuwa hatakuwa pamoja na kilabu ya Yanga kwenye mechi yao dhidi ya TP-Mazembe nchini Kongo katika mchezo wa marudiano wa shirikisho la Afrika.
Kumekuwa na...
... Onyango klabu bingwa msimu huu !
[emoji849] Kasababisha penati vs Horoya
[emoji849] Kasababisha penati vs Raja
[emoji849] Kasababisha penati vs Raja
Amesababisha perfect hat-trick ya penati...
Arsenal ina miaka saba haijashiriki mechi za Klabu Bingwa Ulaya chini ya Kocha Mikel Arteta.
Timu kubwa hata isipochukua ubingwa wa EPL haiwezi kukaa miaka saba bila kucheza UEFA, hii inamaanisha...
Kocha Mecky Mexime alipoulizwa kuhusu mchezaji wa taifa stars luhende alikuwa anatetemeka uwanjani Kama hana confidence hivi.👇
Jibu la kocha Mecky Mexime
luhende ni mchezaji mkubwa ameshacheza...