Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Majibu ya Dewji kuhusu kuangalia mechi za Yanga, kumuona Mshambuliaji Fiston Mayele na pengine kama anatamani asajiliwe Simba. "Kwa bahati mbaya niwe mkweli mimi sifuatilii sana mechi za Yanga "...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Timu ya Taifa ya Kandanda ya Zambia iliyojulikana wakati huo kama KK 11, wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya mechi yao na Italia ndani ya Uwanja wa Gwangju Mudeung huko Gwangju, Korea Kusini...
3 Reactions
8 Replies
943 Views
Mkataba huo mpya utakuwa na maboresho makubwa kwenye mshahara wa staa huyo, kutoka kiwango anacholipwa kwa sasa cha Pauni 70,000 kwa wiki na kuwa mchezaji anayelipwa pesa nyingi zaidi kwenye...
5 Reactions
17 Replies
1K Views
Tupo kijiweni kwetu tuendelee kupeana update za ligi ya Mabingwa afrika,,kwa mechi za Leo jumamos na Jumapil alfajiri,tujue Nani ataongoza makundi na vilevile kujua Nani atasonga mbele Kati ya Al...
2 Reactions
84 Replies
5K Views
Bayern munich kila baada ya dikaka kumi anatumbukiza mpira wavuni Manchester city ana shughuli ya kufanya jumanne la sivyo ataabika Mpaka sasa dkk ya 50 zishafika nne Kipara mtihani huo
2 Reactions
6 Replies
972 Views
Chei Chei..... Nimefuatilia mahojiano ya Rais, Tajiri na mwekezaji mwenye mapenzi wa dhati na Simba Sc, Mh. Mohammed Dewji yaliyofanywa na Saleh Jembe, nimesikitika kusikia Simba imepewa 1.5...
6 Reactions
29 Replies
2K Views
Uongozi unaosimamia Ligi ya Kikapu ya NBA umeboresha sera zake kuhusu matumizi ya bangi kwa kuiondoa katika kipengele cha madawa yanayozuiwa kwa wachezaji. Hivyo, wachezaji wa NBA hawatafanyiwa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Karibuni wadau wote wa michezo kutabiri matokeo ya huu mchezo wa marudiano kati ya hizi timu mbili kubwa kabisa Barani Afrika; Raja Casablanca ya Morocco vs Simba ya Tanzania. Ikumbukwe timu zote...
10 Reactions
127 Replies
6K Views
Mechi ya marudiano ya Simba vs Raja AC iliyochezwa jana mjini Casablanca ilitegemewa kuwa ni mechi yenye ushindani mkubwa pamoja na kwamba ilikuwa ni mechi ya kirafiki ya kukamilisha ratiba...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
"Why does your mother still live with you? "Why don't you build her a house?" Cristiano Ronaldo replies : "My mother raised me and she dedicated her life for me. She would go to sleep hungry...
11 Reactions
10 Replies
1K Views
Baada ya viwiki kadhaa wadau wa mpira kuukosa uhondo wa ligi mbali mbali kama laliga, NBC ligi 1 na nyinginezo duniani, hatimaye burudani zimerejea EPL on air leo Mancity vs liverpool yaani ni...
1 Reactions
1 Replies
425 Views
Shirikisho la Soka Duniani (Fifa) limechukua maamuzi hayo baada ya Serikali ya Indonesia kukataa kuipokea timu ya Israel kutokana na mgogoro wa Kidiplomasia baina ya Mataifa hayo. The Football...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Nawashangaa sana mashabiki wasiojitambua wala kujielewa na wasioitambua sayansi ya mpira wa miguu. Simba kapigwa 3 mzuka na Raja nongwa na jumba bovu wanaangushiwa Onyango, Mkude, Manula na Nyoni...
7 Reactions
11 Replies
1K Views
Nani ambaye hajatazama mchezo wa horoya dhidi ya simba, horoya wakiwa nyumbani?? Kosa kosa ya magoli laiti Kama simba wangekuwa na washambulizi hatari Kama fistoni kalala mayele au hata Clement...
4 Reactions
57 Replies
2K Views
AHMED: TUTAPAMBANA HATA TUKIFUNGWE BASI ZIWE CHACHE. "Mechi Hii Tunarelax Vya Kutosha Na Tunawaambia Mashabiki Zetu Wasiume Meno Hakuna Presha Yoyote Sababu Tumeshafuzu Tuko Robo Finali. Ni Mechi...
2 Reactions
42 Replies
2K Views
Simba ikishindwa kupata matokeo uwanjani bila sababu yeyote utasikia shabiki anaanza kuwalaumu Mara Bocco Mara Mzamiru,nyoni na Onyango. Kwa siku za nyuma ilikua Wawa pia. Siku za hivi karibuni...
0 Reactions
2 Replies
461 Views
Uzi huu utakuwa ni maalumu kwa wale wote wenye mapenzi mema na timu hii kutoka Morocco. Ikumbukwe hapo jumamosi tuna jambo letu hapo nchini Tanzania [emoji1241]. Kile kipigo tulichotoa kwa wale...
5 Reactions
92 Replies
4K Views
Feisal Salum “Feitoto” atinga tena TFF akiwa na aliyemsaidia Saimon Msuva kushinda kesi CAS. Mara hii amewasilisha barua ya maombi kwa TFF akitaka kuvunja mkataba wake na klabu yake ya YANGA...
16 Reactions
422 Replies
20K Views
Badilisha baadhi ya maneno kwenye taarifa hii, lakini ujumbe ule ule: "Kikosi cha Simba kipo Casablanca, Morocco kwa ajili ya mechi yao ya mwisho ya Kundi C ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana amekabidhi Bendera ya Taifa kwa Timu ya Fountain Gate inayokwenda nchini Afrika Kusini kwenye Mashindano ya Soka la Wanawake...
1 Reactions
1 Replies
519 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…