Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Klabu ya Yanga imethibitisha kumuongezea Mkataba wa miaka mow ili 2)kiungo Mudathir Yahya wenye kipengele cha kuongeza. Mudathir alitua Yanga katika dirisha dogo la Januari mwaka huu na...
6 Reactions
28 Replies
3K Views
Me ni Yanga lialia ila kesho nataka mnyama apate matokeo mazuri dhidi ya Raja Casablanca! Timu zetu zimefika hatua nzuri sana kimataifa na ningependa kuona zinasonga mbele zaidi ili tuweke...
1 Reactions
4 Replies
336 Views
Wakati Ligi Kuu ya Uingereza inaanza tena mwishoni mwa wiki hii, vita ya kuepuka kushuka daraja inageuka kuwa kama filamu ya kusisimua, huku pointi nne pekee zikiwatofautisha timu tisa za chini...
0 Reactions
0 Replies
932 Views
Hii ni mara ya pili mfululizo tunapigwa na Uganda uwanjani kwetu, Tumebadili makocha lakini wapi Tumebadili wachezaji lakini wapi Labda tubadili jina halafu tuone. Nb: hii timu icheze kimya...
3 Reactions
11 Replies
433 Views
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika pambano kati ya bondia Mtanzania Hassan Mwakinyo dhidi ya bondia Kuvesa kutoka Nchini Congo ambapo katika pambano la utangulizi...
4 Reactions
21 Replies
3K Views
Katika mechi iliyochezwa usiku huu,mshambuliaji machachali wa Dar Young Africans Fiston Kalala Mayele alipata nafasi ya kuonyesha kiwango chake Kwa kupata dakika 32 uwanjani Na Kwa jinsi...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Tulionya tangu awali na tunaendelea kuonya tena kwamba , mashabiki wajinga wanaoingia uwanjani na Picha ya Rais wakatazwe , Hii ni kwa sababu Rais wa Nchi hii hakuwahi kuwa Mwanasoka na wala...
14 Reactions
40 Replies
2K Views
Timu hii ikifanya vibaya inakuwa ya Wananchi lakini ikishinda kagemu kamoja au tuwili inakuwa ya Viongozi. Sasa matokeo yake ndio kama mlivyosikia, eti viongozi wasio na upendo wowote na timu...
10 Reactions
28 Replies
1K Views
Uzi wenyewe ulikuwa ni huu..."Kuna Kitu nataka niseme kuhusiana na Mechi ya leo ngoja ninyamaze Presha zisiue Watu" Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!
12 Reactions
38 Replies
2K Views
Yanga wameondoka kwenda Congo wakiwa wanajiamini [emoji817], wanasema wanakwenda kumpiga Mazembe huko huko kwao, wanajiamini kuwa kwa sababu walimpiga mabao 3 kwa Mkapa, basi wanakwenda kumpiga...
0 Reactions
10 Replies
604 Views
Scouting ya wachezaji mtandaoni ni hatari sana. Kocha awali alichagua kikosi vizuri na alishinda bila shida kabisa. Wachawi wa mpira wetu wakaanza oo nani kaachwa ni ushabiki maandazi kabisa...
4 Reactions
50 Replies
2K Views
Salaam kwenu viongozi wetu wa soka hapo Tff. maneno mengi yamesemwa kuhusu Timu yetu ya Taifa(taifa stars).iwe kwa uzuri au kwa ubaya lakini ukweli watanzania wanahitaji mafanikio ya timu yao...
1 Reactions
3 Replies
395 Views
Pongezi nyingi mno kwa Nahodha wa Uganda (The Cranes) Okwi, Kocha Micho, Refaree, Kamisaa wa Mechi na Msimamizi Mkuu kutoka CAF kwa Kukataa Mechi iahirishwe (kama ilivyoombwa na Mazuzu...
8 Reactions
53 Replies
3K Views
INAANDIKWA HISTORIA: YANGA SC KUZINDUA MATAWI YAO MAPYA DR CONGO 🇨🇩 Historia Inaandikwa Kwa Wananchi: Klabu ya Yanga inaenda kuwa klabu ya kwanza kutoka Tanzania kufungua matawi ya klabu hiyo...
5 Reactions
10 Replies
2K Views
Jambo la kusikitisha ni kuwa wakati wenzake wanarudi katika timu zao yeye anarudi mtaani......." Kuna hesabu dogo alipigiwa, na ndo hizi mbanga zimemfikisha hapa
6 Reactions
24 Replies
2K Views
Nipo sehemu nimekaa napata kinywaji huku tukipiga story na washkaji. Yaani kila saa tunajisahau na kumwambia meneja aweke Super Sport 223 tuangalie mechi za EPL. Hii wiki ya International break...
9 Reactions
23 Replies
1K Views
Cheti timu zilizoingia robo fainal caf champions kisha lingalisha na hizo zilizoingia shirikisho. Simba baba lao, hakuna kunguni yeyote aliyepo shirikisho anaweza kugusa hapo.
7 Reactions
63 Replies
4K Views
Arsenal ipo katika mazungumzo na Bukayo Saka kuhusu maboresho ya mkataba mpya ikidaiwa kuwa unaweza kumfanya apokee Pauni Milioni 15 (Tsh. Bilioni 43) kwa Mwaka ikiwa ni malipo ya mshahara na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mechi ya kwanza tuliicheza kibabe sana... hadi tukapata matokeo mazuri... Sijui ni nani akaona wivu na mwenendo mzuri wa Stars hadi akashauri tuwarudishe kikosini wachezaji wenye mikosi na Nuksi...
6 Reactions
35 Replies
2K Views
Watanzania, Bado tuna safari ndefu mno ya kuyafikia mafanikio ya kisoka katika timu yetu ya Taifa. Binafsi naona bado mazonge zonge mengi sana yanaikumba timu yetu. Kikubwa zaidi nachokiona ni...
2 Reactions
5 Replies
525 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…