Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kwanza nichukue nafasi hii kuipongeza timu yetu ya Tanzania (Taifa Stars) kwa kupata ushindi wa goli 1-0 dhidi ya wapinzani wao wa jadi Uganda. Hakika ushindi wa leo, umefufua matumaini ya kufuzu...
28 Reactions
185 Replies
11K Views
Kwanza nikiri timu yangu inahitaji kusajili sana wakati wa dirisha dogo. Lakini kitu cha kushangaza ni kwa nini Peter Banda anaanzia benchi mechi nyingi? Nashukuru Mungu leo tayari gepu la point...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Hujui tu mdogo wangu hauna match fitness unakubalije kwenda national team bila kuelewa kua ni kampeni ya Yanga kukudhalilisha. Achana na misifa ya kuitwa Stars ukajiona we unafaa dogo tafuta...
5 Reactions
13 Replies
968 Views
Kipindi cha kwanza timu ilikuwa kwenye balance nzuri lakini baada ya kutoka Mzamiru Yassin na Himid Mao ndipo kocha wa Uganda Micho aliona gap na yeye kuingiza wachezaji wenye Mindset za...
3 Reactions
30 Replies
2K Views
Ndani ya dk 90 Kocha bora anapimwa kwa upangaji wa kikosi,kusoma vzri mbinu za timu pinzani na kufanya mabadiliko sahihi( Substitution). Kocha wetu alianza kulikoroga kwenye kupanga kikosi cha...
15 Reactions
34 Replies
2K Views
Huyu kocha mpya wa Taifa stars alimuona wapi Fei Toto akicheza mpira hadi amuite timu ya Taifa na kumpa nafasi ya kucheza mechi ya ushindani kama Ile? Kapombe na Shabalala waliongezwa kwenye...
11 Reactions
21 Replies
2K Views
Wakuu, Mchezo dhidi ya Uganda kesho ni mgumu mno. Uganda wamekuwa na trend ya kutufunga mfululizo na yumkini hata mchezo uliopita hawakutegemea surprises za kocha wetu mpya na hawakutegemea...
8 Reactions
27 Replies
1K Views
Sikupata wasaa wa kuangalia game ya marudiano ya Zambia vs Lesotho katika mashindano ya kutafuta kufuzu AFCON. Katika mechi hiyo Zambia walishinda 2-0. Katika mechi hiyo, kiungo wa Simba, Clatous...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Anaandia haji manara [emoji3578] Ajira Ajira Ajira Vigezo vya kuwa mchambuzi wa Soka Tanzania. Unatakiwa ujue misamiati hii 1. Box to Box 2. Kukabia High-line 3. Half-Space 4. Zonal Marking 5...
27 Reactions
82 Replies
6K Views
Licha ya ushindi bado mapengo yao yalionekana Sasa aibu imewatoka wamewarudisha kundini fullbacks bora afrika nzima. ====== Taarifa hiyo imetolewa na Rais wa TFF, Wallace Karia wakati...
8 Reactions
40 Replies
4K Views
Majira ya Saa 2:00 Usiku kwa Masaa ya Afrika ya Mashariki, Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) itashuka dimbani Benjamin Mkapa kuwaalika Uganda (The Cranes) katika mchezo wa nne wa kundi F...
8 Reactions
510 Replies
28K Views
Mechi ya Taifa Stars na Uganda yasimama kwa muda kutokana na taa za uwanjani kupungua mwanga, mwamuzi wa mchezo amesimamisha mechi akifanya mawasiliano na meneja wa mchezo kuona ni mamuzi gani...
5 Reactions
165 Replies
14K Views
Mandonga alishinda tena pambano lake huko Nairobi Kenya kwa kumpiga Keneth Lukwamuzi, juzi Jumapili. Nimeona nipost hii habari japo kwa kuchelewa ikizingatiwa jamaa alikuwa anaiwakilisha nchi...
3 Reactions
5 Replies
556 Views
Tazama taifa la Morocco, tazama timu ya taifa ya Senegal na utazame timu ya taifa ya Cameroon. Sasa ifikie hatua tuseme makocha wa kizungu ndani ya timu yetu ya taifa basi, Maana toka tuanze...
4 Reactions
22 Replies
1K Views
Kupitia Wasafi fm namsikia Paul mkai mtangazaji wa kipindi Cha sport arena Cha asbh hii amesema kiingilio n bure kabisaaaa. Shime wana dsm nendeni mkaujaze uwanja na mkashangilie.
3 Reactions
10 Replies
879 Views
Kujiamini kulikopitiliza + Dharau + Furaha = Kutokuamini kwa Kitakachotokea leo kwa Mkapa.
10 Reactions
65 Replies
4K Views
Mkurugenzi wa Bodi ya Ligi Kuu Zanzibar (@zffzanzibar), Hashim Salum ametangaza kuwa Ligi Kuu ya Zanzibar itasimama kwa muda wa mwezi mmoja kupisha mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan kuanzia...
11 Reactions
90 Replies
4K Views
Afisa habari mkuu wa mabingwa mara 28 wa tanzania na mabingwa watarajiwa wa kombe la shirikisho Africa Ali kamwe amenukuriwa akiwataka Simba Kwa vile unapata ugumu kushinda mbele ya waarabu basi...
5 Reactions
75 Replies
4K Views
Twenzetu kwa Mkapa tukaishangilie Taifa stars Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
3 Reactions
12 Replies
648 Views
Nashangaa kocha ameshindwaje kumtumia huyu dogo, cha ajabu anamweka beki ya kushoto mala akae nyuma ya mabeki.
1 Reactions
9 Replies
914 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…