Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Full Time 90' Zinaongezwa dakika 2 za nyongeza 80' Sure Boy anapata kadi ya njano wa kucheza faulo 73’ Mayele anapiga kichwa kinaokolewa na kipa wa Geita 72’ Yanga wanapata kona ya 5, Geita wao...
3 Reactions
270 Replies
14K Views
Makofi Yana Kilo za kutosha😂
1 Reactions
6 Replies
447 Views
Huyu jamaa ukimsikiliza kwa makini utagundua ana madini mengi sana. Anachambua mpira kwa data, uhalisia na ukweli. Huwa namfatilia sana kila jumapili pale AzamTv kupitia kipindi cha Sports AM...
6 Reactions
13 Replies
2K Views
Nawaomba ndugu zangu mkaliepushe taifa na aibu ya kufanya uchawi hadharani kama mlivyofanya kule South Africa. Kikosi cha ushindani mnaaho na mnaweza kupata matokeo huko ugenini. Hivyo nawaomba...
8 Reactions
16 Replies
914 Views
Wale Jamaa pale Kwa Mnyamani na li ugali lao kuuubwa walilopika na kula kwa sukari. Wamepata faida gani kimpira zaidi ya kula ugali wakiwa gongo wazi?? Manara aliwahi kusema kuwa Yanga kuna watu...
1 Reactions
3 Replies
423 Views
Moja ya mambo yatakayotuchelewesha sana kama taifa, ni kutafuta majibu mepesi kwa maswali magumu. Unaanzaje kuingia gharama ya kumlipa kocha mamilioni ya pesa za kigeni huku ukijua fika kwamba...
2 Reactions
4 Replies
895 Views
Aloo mashabiki wa Tanzania ipo kazi sana, baada ya Yanga kupiga soka la kitabuni dhidi ya Tp Mazembe, Real Bamako na Montasir wale wa upande kule ambao kwa yanga kila kitu kibaya wameibuka na...
13 Reactions
87 Replies
4K Views
Baada ya Mh Raisi kutangaza dau nono la Milioni 5 kwa kila goli na pasipo na shaka Yanga ikionekana kwenda kukausha kibubu hicho Simba nao wameibuka wakitaka kupewa viti maalumu i mean wanataka...
1 Reactions
16 Replies
657 Views
Natoa wito Kwa uongozi wa klabu yangu ya Simba kupitia scouting ya timu uwamulike hawa wachezaji wa As Real Bamako. Humu tunapata wachezaji wengi wazuri kwa bei nafuu sana Nimeona wachezaji wenye...
8 Reactions
55 Replies
3K Views
Hii kitu imepigwa danadana hadi tumesahau kila mwaka walisema watakuja Tanzania.. Je, bw malinzi unaweza fatilia hii ziara utujuze mpango bado upo au ndo changa la macho real madrid kuja nchini.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Simba SC inashiriki Kombe la Wanamume wa Shoka na Klabu nyingine inashiriki Kombe la Wadada na Walioshindwa je, iweje leo Wote wapewe Kiasi sawa cha Fedha Shilingi Milioni Tano kwa kila Goli...
4 Reactions
36 Replies
2K Views
Mchezo ni saa 16:00Vikosi vyote kwa timu mbili vimetolewa Timu zinaingia uwanjani Mchezo unaanza 1' Phiri anafika langoni mwa Mtibwa anashindwa kutumia nafasi vizuri 3'Goooooooooo Jean Baleke...
7 Reactions
220 Replies
10K Views
Baada ya kwa muda mrefu Clouds FM na Kipindi chao pendwa cha Sports Extra kutamba kwa muda mrefu kila Siku za Usiku wa Saa 3 hadi Saa 5 sasa wamempata Mpinzani wao mpya wa Kipindi cha Michezo cha...
12 Reactions
37 Replies
4K Views
Tangu Rais Mama Samia Suluhu Hassan atangaze motisha ya shilingi milioni tano kwa kila goli litakalofungwa na Simba au Yanga kwenye michuano ya kimataifa, Yanga wamekuwa watu wa 'kutaka sifa'...
14 Reactions
16 Replies
1K Views
Najaribu kubashiri ujinga tutakaosikia kwa wachambuzi na watu wajinga wajinga waliopewa fursa katika media za kiswahili. Hapo utawasikia wakiisifu timu yao kuwa ingecheza na mamelody ingeweza...
2 Reactions
5 Replies
625 Views
ALIJIUNGA na Real Madrid akiwa na Umri wa miaka tisa. Akaweza kuichezea Klabu hiyo Kwa miaka 25 huku akifanya Makubwa na kuweza kubeba Makombe 19,Baba wa watoto wanne,IKER FERNANDEZ CASILASS...
1 Reactions
31 Replies
2K Views
Nakupongeza sana Elia Clement kwa kupata medali ya dhahabu katika mashindano ya riadha ya Afrika Mashariki na Kati kwa wachezaji wenye umri wa miaka 18 na 20 yaliyofanyika Uwanja wa Benjamin...
0 Reactions
2 Replies
546 Views
Simba pasi 569 na zilizofika kwa usahihi ni 473, Vipers pasi 324 na zilizofika kwa usahihi ni 239, Yanga pasi 393 na zilizofika kwa usahihi ni 301, Bamako pasi 350 na zilizofika kwa usahihi ni...
7 Reactions
32 Replies
2K Views
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. #PindiChana amemteua Ally Mayay Tembele kuwa mwakilishi wa Tanzania Katika Bodi ya Ushauri wa Michezo ya Jumuiya ya Madola (CABOS) kwa miaka 3. Ally...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Hakika miaka inaenda mbio sana hawa mashabiki wa Simba wao wanataka kufa tai Shingoni hawataki kukubali timu yao inahitaji mabadiliko wamebaki kukalia ishu za Yanga na wachambuzi wao wa kimchongo...
5 Reactions
17 Replies
660 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…