Sioni jipya kwa uongozi wa Yanga juu ya Feitoto kuendelea chezea Yanga. Huyu sio mchezaji wetu tena mimi ningefurahi kua Yanga wangesema tu tumeachana na fei tuangalie mbele mbona tupo vizuri na...
Anaandika @exaud_msaka_habari
Moja ya watu ambao tunaweza kuwatumia kama Mfano katika mijadala inayoendelea ni Fundi Ramadhani Singano
Moja ya Vijana wenye vipaji sana kuwahi kutokea Tanzania...
Leo Mo Dewji ametangaza kumteua Bw. Magori kuendelea kuwa mshauri wake kwenye masuala ya michezo, ni jambo jema sana kwa sababu Magori ni mmoja wa wana Simba wenye mchango mkubwa sana tangu akiwa...
Wameweka cameras kama zile za kwenye harusi tu. Zipo 3 uwanjani na zimewekwa chini zimeufanya uwanja uonekane mdogo.
Si mara ya kwanza. Ni kama Azam kwa sasa wametosheka sana. Hawana wasiwasi na...
Timu inayopigwa 3-0 nyumbani kwake, timu ambayo haina uwezo wa kubeba kombe lolote nchini mwake, timu isiyo na mfumo wa uchezaji kiwanjani zaidi ya kucheza mpira wa butua butua leo hii ishiriki...
Mechi inaanza muda mfupi ujao
Mchezo umeanza
5' Simba wanamiliki mpira na kufika mara kadhaa langoni kwa wapinzani
7' Baleke anakosa nafasi akiwa karibu na lango
25' Mwenda anampiga kazu kipa...
Kutokupangwa Christian Ronaldo kwenye kikosi bora cha FIFA ipo wazi kwenda kucheza ligi dhaifu sana.
Haiwezekani mchezaji bora awe kwenye timu za kiarabu hakuna soka uarabuni bado sana
USSR
The butcher
-pale Ajax amsterdam walikuwa wanapenda kumuita hivo ikiwa na maana CHINJA CHINJA
-Inaweza kuwa mapema kusema hivi but .. believe me Lisandro martinez ni aina ya beki tuliyemkosa kwa...
Kesi ya Fei Toto ilianzia TFF ambapo upande wa Fei haikuridhika na maamuzi ya TFF na ukaenda kukata rufaa mahakama ya kimataifa ya michezo (CAS)
Iweje leo nasikia tena lipo TFF?
Kuna Klabu Moja yenye Chuki na Klabu ya Simba na ina Ukaribu wa Kiundugu na Klabu ya African Sports ya Tanga imewatuma Wachezaji wa African Sports FC Wawaumize vibaya Wachezaji Muhimu wa Simba SC...
Wakuuu habarii za asubuhiii
Mimi binafsi nimepata kumshuhudia mwambaaa wa Lusaka Clautos Chama akiwa anacheza mpira lakini kwa bahati mbaya sikupata nafasi ya kumwangalia Haruna Moshi Boban akiwa...
Dar es Salaam. Baada ya kukaa kimya muda mrefu bondia Hassan Mwakinyo sasa atapanda uliongoni Aprili 22 kwenye uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma kupigana na bondia kutoka Afrika Kusini.
Pambano...
Visit Tanzania ni tangazo ambalo linapaswa kufanywa na idara ya utalii na tanapa ili kuvutia wageni kuja Tanzania kuona vivutio vyetu. Matangazo kama haya huwaga na bajeti yake tena kubwa TU...
Kuna baadhi ya vyombo vya habari havina kabisa weledi, hivi kweli unaweza kumuita Julio kwenye media ukaongea nae masaa 2? Ni faida gani atakupa kwa watazamaji ama wasikilizaji? Hana hoja yoyote...
"Mwanangu Fei Toto kanyanyasika sana, tumevumilia mengi, kuna mengine ya Siri tunayajua ila tunaomba Kamati itende Haki kwa Mwanangu Fei Toto. Wanafamilia wote tuko nyuma ya Feisal Salum Fei Toto...
Taarifa ya Rais wa Heshima wa Simba Mwekezaji Mo Dewji
Nimeteua wajumbe wanne wapya kwenye Bodi ya Simba Sports Club. Karibu Dk. Raphael Chegeni, Mhe Rashid Shangazi, Bwana Hamza Johari na Bwana...
Hii ndiyo taarifa mpya iliyosambazwa mitandaoni, ambako inadaiwa Rais wa ABU Haucine Hauichi amegundua kwamba alama zilizotangazwa na Majaji wa mchongo zilipigwa karata tatu, keusi kekundu...
Ninapoona Simba wanahangaika kusajili wachezaji wa kigeni ambao ni dhahiri wanakuja kuwa wachezaji wa akiba maana namba zao tayari zina wachezaji tegemeo, naona ni matumizi mabaya ya rasilimali...
Kocha Jamhuri Kihwelo Julio amesema kwa msimu huu mshambuliaji huyo wa Yanga, amefanya kazi nzuri n ani straika halisi kwa kuwa anajua kufunga.
Amesema “Licha ya kuwa mpira wa sasa hivi...