Beki wa kati wa Simba SC Erasto Nyoni baada ya Timu ya Majimaji ya Songea kukwama jijini Dar es Salaam kwa kukosa pesa ya nauli na deni la Hoteli juzi alifanikiwa kuwasaidia kulipa na kuwapa Tsh...
Baada ya CAF kutoa maelekezo kuhusiana na mashindano ya Super Cup, uwanja wa Benjamin Mkapa umefungwa isipokuwa kwa mashindano ya kimataifa pekee.
Kwa hiyo mashindano mengine yoyote ikiwemo yale...
Noel le Graet (81) amechukua maamuzi hayo baada ya French ripoti kubainisha kuwa kuna "uchafu'' ndani ya Shirikisho la Soka la Ufaransa (FFF) licha ya kuwa muda wa kukaa madarakani ilikuwa hadi...
March 7, tunachukua point 3 Vs Vipers pale kwa mkapa. Tutafikisha point 6. Hiyo siku kama Horoya watajitahidi sana, watavuna point 1 Vs Raja. Watafikisha point 5.
March 17, Horoya kwa mkapa...
Kwa jinsi navyojua viongozi wa Afrika walivyo wapenda rushwa, Kuna kila dalili ya kuwa klabu hii kongwe imetoa mlungura ili wapewe nafasi ya kushiriki hilo bonanza.
Kibaya zaidi ni kuwa...
Uwanja wa Mkapa kufanyiwa maboresho makubwa kwa michuano ya Africa Super League
Serikali imeahidi kufanya marekebisho makubwa yanayohitajika katika uwanja wa Benjamin Mkapa ili kukidhi viwango...
Kuna mbumbumbu Tanzania hili halipingi, leo Nina swali moja tu, naomba nielimishwe mchakato unaopitia timu mpaka kufika kwenye makundi ni UPI?
Tukishaujuwa mchakato huo tueleza ukweli je kuna...
Mortada Mansour
Rais wa Zamalek, Mortada Mansour amehukumiwa kifungo cha mwezi mmoja jela katika kesi aliyoshtakiwa na Rais wa Al Ahly, Mahmoud al-Khatib.
Mansour, ambaye ni Mbunge wa zamani...
FT: TP Mazembe 0-2 Monastir
Huwezi kujiona una timu kwa kuifunga TP Mazembe nyumbani. TP Mazembe ni ile ya kina Samata au hii ya juzi kati ya kina Baleke.
Timu mpaka inafungwa na Utopolo hiyo...
Ni Jumapili tulivu, wapenda kandanda tunakutana tena hapa jukwaani kushuhudia mechi za Kombe la Shirikisho Afrika.
Leo katika Kundi D, AS Real Bamako ya Mali inawakaribisha wawakilishi wa...
Al Ahly ameshakufa bao 1 had sasa, ila unaangalia mpira unainjoy, mpira uliochezwa na Simba leo halafu unaambiwa malengo ni nusu fainali, unabaki kushangaa na kujiuliza kama kweli tuko serious...
Singida united ilikuwa timu kubwa na uwezo wa kusajili wachezaji wakubwa bwana yule alipokuwa madarakani. Ila alipotumbuliwa tu timu ikaparanganyika mpaka kupotea kabisa kwenye ramani ya soka...
Rais wa Tanzania amesema atatoa Tsh 5mil kwa kila goli litalofungwa na hizo timu tajwa, mwishoni mwa wiki hii, watakapokuwa wakicheza michezo yao ya Kimataifa.
Hayo yamethibitishwa na Msemaji...
Yanga hadi dakika ya 90 na sekunde kadhaa wakulikuwa wanaongoza kwa goli 1. Kona waliyopata AS Bamako ndo ikatia mchanga kwenye pilau.
Je, unadhani goli hili lilitokana na uzembe,wachezaji...
Nimekaa nafikiria tangu juzi nikajisemea moyoni hivi hawa jamaa kauka nikuvae mabeki wa Simba Tshabalala Zembwe Jr na Kapombe mishahara yao ni kiasi gani? Maana sio kwa kazi ile wanayopiga...
At any time t Potter anaweza kuondolewa pale Chelsea kutokana na mwenendo mbovu wa timu. Tutumie hii thread kupendekeza kocha gani anafaa kuja kuchukua mikoba yake hata kama bado hajafutwa kazi...
Habarini ndugu zangu
Next game
Utopolo vs Bamako..yanga win
Monastir vs Mazembe (Mazembe win)
Utopolo vs Monastir (utopolo loose)
Mazembe vs Yanga (Mazembe win)
Yanga out
Wanachii huu ndio...
Salaam wakuu!
Nina wazo hapa, hivi founder na moderators hamuwezi kuanzisha Jamii forum sport FC ambayo tunaweza alika team yoyote na tukakiwasha hata mara moja kwa mwaka ikaanzishwa Jamii forum...