Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Goli la kwanza walilofungwa TP Mazembe leo vs Monastir ni la kichwa. Kwa vimo vya wachezaji wa TP Mazembe tatizo ni ufupi au kuna mengine?
0 Reactions
7 Replies
689 Views
Tembea uyaone, huku shirikisho ambapo Yanga yupo ni yeye tu ashindwe kupita lakini timu za huku ni za mchongo kama hawa Bamako ni timu ya kawaida mno hata jezi zao zina akisi ninachokisema. Yanga...
4 Reactions
44 Replies
3K Views
TP Mazembe imeendelea kufanya vibaya katika Kombe la Shirikisho Afrika, ikiwa nyumbani imefungwa magoli 2-0 dhidi ya US Monastir ya Tunisia. Mechi inayofuata ya Kundi D ni Real Bamako ya Mali...
1 Reactions
46 Replies
3K Views
Ndugu zangu mpira ni mchezo wa wazi sana. Vipers na simba kwa pamoja walipigwa 8 mtungo na Raja Casablanca. Hiyo inaonesha kabisa hawa ndio viazi wa kundi na ni vibonde haswaa maana mmoja...
5 Reactions
28 Replies
2K Views
Huyu dogo anayepambana na Tony Rashid mbona sifa zilikuwa nyingi na anaonekana anakwenda kupoteza pambano. Hizi trends za wabongo kushinda , je ni wako bora sana Africa au tunamdanganya nani? Ni...
0 Reactions
8 Replies
558 Views
Ngumi kwa sasa zimekuwa dili na ajira nzuri kwa mabondia. Katika michezo ya kimataifa skendo za Match fixing ni mbaya sana kwa nchi yetu. Mpaka ABU wameamua kutokukubaliana na maamuzi ya majaji...
0 Reactions
0 Replies
384 Views
Simba na Yanga wote wana mechi za kimataifa mwishoni mwa wiki. Utabiri wangu kwakuwa wote wapo ugenini, Simba atadroo na Vipers wakati Yanga atapigwa goli mbili kule Mali.
4 Reactions
47 Replies
3K Views
Wakuu, Ili game ya kesho tushinde tunahitaji kuwatumia Banda na Phiri kuleta vitu vipya pale mbele na kuwapumzisha kwanza Baleke , Sakho na Boko. Banda ana workrate kubwa na atamsaidia sana...
5 Reactions
86 Replies
3K Views
Wakuu habari za jumapili, bila shaka leo ni pambano la Jack Paul Vs Tommy Fury, mwenye taharifa ya pambano ni saa ngapi kwa masaa ya Tz watujuze na litaoneshwa station gani ili tuweze fatilia...
0 Reactions
0 Replies
263 Views
Mimi ni jangwani pure,ila niongee kidogo hili. Mikia wakichanga karata zao vizuri na wakaachana na mambo ya Rivas na moto viwanjani watapenya hadi robo final. Hesabu ziwe hivi. Wana point 3...
6 Reactions
28 Replies
2K Views
Kipa mstaafu wa Cameroon Thomas N'Kono alishiriki katika Fainali tatu za Kombe la Dunia la FIFA (1982, 1990, 1994) na mashindano manne ya Kombe la Mataifa ya Afrika (1982, 1984, 1986, 1990)...
6 Reactions
8 Replies
792 Views
Je; 1. Simba SC icheze mpira wake wa Samba Loketo ila ifungwe au iambulie sare/suluhu kisha timu na mashabiki tuvurugane zaidi, tuchapane bakora, tuchekwe na watani zetu Yanga SC na mgogoro uzidi...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Yanga wangefuzu Champions League kwa kuitoa Al Hilal ndio wangepangwa hili kundi hapa chini. Kwa Yanga hapa wangeondoka na pointi ngapi? Maana Al Ahly mwenyewe ana pointi 1 kwa mechi 2.
7 Reactions
37 Replies
2K Views
Kwa kuangalia upande wa madhaifu ya timu zote mbili katika mizani, naona Vipers wakiwa na safu butu mno ya ushambuliaji. Wamecheza michezo zaidi ya mitano pasipo kupachika goli hata moja, hivyo...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
[emoji599][emoji2788] Jose Mourinho (juu ya Mario Balotelli) : "Mario alikuwa na furaha. Ningeweza kuandika kitabu cha kurasa 200 za miaka miwili niliyokaa Inter na Mario. Lakini kitabu hicho...
3 Reactions
4 Replies
873 Views
Ni siku nyingine tena ambapo Mabingwa wa Uganga Vipers S.C wanawakaribisha Simba S.C kwenye mchezo mwingine wa kutafuta alama tatu ili kujiweka sawa katika msimamo wa kundi C wa ligi ya Mabingwa...
15 Reactions
596 Replies
31K Views
Kwa kuangalia vigezo tofauti ikiwemo mbinu na history za timu hizi mbili wanapokutana Guinea, naiona mechi inaweza kuisha kwa ushindi mwembamba kwa Guinea. Mpira una mambo mengi ukiachana na...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
"Yanga SC imeshatimiza malengo yake ya kuingia Makundi CAFCC kwa mwaka huu na haya mafanikio ya sasa katika Mechi zetu za Makundi ni Bonus tu kwetu. Hivyo hata tukitolewa hatutokuwa na deni kwa...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Nachelewa kusema wale waliotufunga goli moja sio hawa, ila nafsi inasita. Jamaa wanakaba mno, wameweka viungo kama wote katikati. inaonekana wamedhamiria kutoa suluhu, ngoja tuwape muda mana hii...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Ukweli unauma lkn lazima usemwe. Kama Okra, Phiri, Israeli mwenda ndio waliofunga magoli kuipeleka Simba makundi hawachezi. Na Mgunda anamshauri mzungu awaache au amuingize mkude tusitegemee...
2 Reactions
26 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…