Yaani ni jambo la ajabu kabisa kusikia yale makolokolo yote ya Mudi kwenye jezi ya Simba thamani yake ni milion 150.
Hivi Simba mpo seriously kweli? Mnampa mtu aweke matangazo yake Tena kifuani...
Maelezo ya SportPesa
Sisi tunajua kuwa hatua ya makundi hatuwezi kukaa kwenye jezi za Yanga na tulijadiliana cha kufanya ikiwamo kuwapa LiveScore ambayo walisema inahusika na beting na...
Nimeona watu wanahangaika sana na kupoteza pesa nyingi bila kupata mshindo kwenye betting.
Iga mifano kwa wanao jua. nini siri ya mafanikio yao?
Ukishaipata siri hyo, nidokeze na mimi, kwa sababu...
Yani kuna timu ikishinda Kama imefungwa imefungwa tu,
yani wakishinda wapo nafasi yapili ,
wasiposhinda wapo nafasi yapili wakifunga magoli mengi bado wapo nafasi yapili...
Aziz K ni kama Chumvi tu mbele ya Chakula cha Chips kilichopo mbele yako ila Clatous Chama ni Tomato Sauce mbele ya Chips.
Chumvi ( Aziz K ) huwa si lazima sana Kutumika na Mlaji tena hasa akiwa...
Muda wa mechi ni saa 16:00 na tayari vikosi vyote vimefika uwanjani
Upande wa Simba wale wachezaji waliokosekana mechi za nyuma kwasababu ya kukosa fitness iliyosababishwa na kuuguza majeraha ya...
Baada ya pitso mosimane kuondoka nchini misry na kuachana na mabingwa wa kihistoria Al ahly, kuna wabongo wa kukariri mpira walianza malalamiko na makasiriko kwamba al ahly watapata tabu π π π sasa...
Real madred
Barcelona
Bayern munich
Man united
Man city
Liverpool
PSG
A madrd
Chelsea
Inter milan
Ac mila
Juventus
Dortmund
Olympic de marseill
Porto
Halafu zote zikiwa kwenye ubora...
Yanga wamefanya kosa kubwa kwenye mkataba wao na SportPesa kuliko wengi tunavyodhani na madhara yake ni makubwa sana kwa mdhamini wao yaani SportPesa. Yaani mimi ningekuwa mshabiki wa Yanga...
Kila tukijitahidi kuomba mdondoshe point hamdondoshi. Kila tukijikakamua kushinda na nyie mnashinda mnatufanya tuweweseka sana.
Nachukia kuitwa ngada fc malalamiko fc
Chondechonde viongozi wa Tanzania wakati ndio huu. Wakati nchi nyingi hapa Africa zinastruggle kutafuta kujulikana kisoka hapa nyumbani MWenyezi Mungu ametubariki kwa namna nyingine na ya...
Lionel Messi hadi sasa ni kiumbe ambae hatujui ametokea sayari gani kiufupi ni kiumbe Wa ajabu.
Ukijaribu kung'amua macho kwenye league zote hamna Wa kumlinganisha na huyu jamaa...
Nadhani paka hapa ligi ya Nbc ilipofikia ni wazi itakuwa ngumu sana kumkamata mtani wetu Yanga kwani hakamatiki Wala hazuiliki. Tuipokee nafasi ya pili Kwa mikono miwili[emoji2969][emoji2969]...
Wale mabingwa Kwa kutandaza soka safi, soka maridadi soka lenye ladha ya asali hapa nawazungumzia Young Africans jioni ya leo majira ya 12:30 watashuka katika dimba [emoji2522] la Benjamin Mkapa...
Hili Buku langu la Kiingilio Kibanda Umiza ni bora tu nikanunue Maziwa ya Mtindi ya ASAS au TANGA FRESH ninywe niboreshe Afya yangu kwa Nsajigwa kuwa Namungo FC tunaoujua vyema Mpira wa Bongo hasa...
Kama kuna mtu anajua kilichopo nyuma ya pazia basi atujuze. Huyu mchambuzi amekuwa anaongea sana pale kunapotokea sintofahamu kwenye timu ya Yanga. Lkn mtu huyu amekuwa kimya kwa baadhi ya issues...
Imekuwa ni desturi ya watu kukurupuka kujadili kwa nguvu zote mambo ya mikataba pasipo kujua undani wake. Issue ya Feisal na sasa suala la Sportpesa zimenifanya niamini kuwa tuna tatizo kwenye...