Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Inawezekana GSM haioni tatizo kwenye mapato ya jezi lakini wadau wengine wengi wananung'unika sana kutokana na uuzaji wa Jezi. Jezi zinafichwa na kuuzwa kwa bei kubwa kwa mlango wa nyuma hapohapo...
0 Reactions
20 Replies
1K Views
Kuna sakata kama tatu zimejitokeza kuhusu mikataba, Morrison, Fei toto, na sasa ni sportpesa. Sitaki kuchimbua sana lakini ukiangalia kwa umakini unaona kabisa mtu anayesimama kwenye kusainiana...
5 Reactions
22 Replies
1K Views
Nimemuona Jana tena kwa Jicho langu Kali la Kiuchunguzi na Kimaono na kugundua kuwa Mshambuliaji Moses Phiri bado hajawa Fiti kuanza Kucheza Mechi zozote zile. Najua kuna Majuha ( Fools )...
8 Reactions
14 Replies
2K Views
Majira ya Saa 1:00 Usiku kwa Masaa ya Afrika ya Mashariki,Mnyama mkubwa mwituni, Simba SC watashuka dimbani katika dimba la Benjamin Mkapa kuwakaribisha wana alizeti Singida Big Stars. Mechi...
15 Reactions
580 Replies
32K Views
Simba Sports Club and M-BET Tanzania have signed a five-year sponsorship deal worth Sh26.1 billion. The deal is the most lucrative in Tanzania football and historic for the Msimbazi Street giants...
1 Reactions
6 Replies
851 Views
Mason Greenwood ameondolewa mashtaka yote yaliyokuwa yanamkabiri ikiwemo unyanyasaji wa kingono dhidi ya aliyekuwa Mpenzi wake. Taarifa kutoka Polisi wa Greater Manchester ni kuwa hawatotoa...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Mchezaji gani ambaye anatumia mguu wa kushoto ambaye unamkubali sana ukiacha Lionel Messi?
3 Reactions
94 Replies
10K Views
Makampuni ya betting yamezidi mno! Kila siku wanaanzisha makampuni ya tuma 1000 kwa namba ya biashara xxx xxx uingie kwenye droo ya mil 50 au zaidi. Na kiuhakika makampuni hayo niyauongo sana...
1 Reactions
4 Replies
337 Views
Habari za mda huu wanamichezo Kwa ninachokiona leo, Simba anaenda kupata aibu kwa Mkaba na huenda kocha akarudi tena Brazil Naisubiri Battle ya Kagoma vs Kanoute. Ni kichekesho kagoma anaujua...
7 Reactions
83 Replies
5K Views
Naona nae Kawadindia ( Kawakatalia ) na anataka mumlipe Tsh Milioni 700 zake la sivyo anabisha hodi FIFA Kudadadeki. Halafu Injinia Hersi Said ( Rais wa Yanga SC ) na GSM wako ( yako ) si mnasema...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Kuna mengi yanaongelewa mpaka sasa kuhusiana na jezi mpya za Yanga chini ya udhamini wa Haier. Sitagusia kuhusu migogoro hiyo ya mikataba ila nitaongelea kuhusu uchaguzi wa rangi ya blue katika...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Nipo mwanza nahitaji jezi mpya ya mashindano ya kimataifa, hasa Ile yenye rangi ya dark blue.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mimi nimewahi kukunwa na kombinesheni hizi zifuatazo katika soka; 1. Robben na Ribery katika wingi ya Bayern Munchen 2.Andreas Iniesta na Xavi Hernandez katika kiungo cha Barcelona 3.Rio Ferdinand...
6 Reactions
59 Replies
6K Views
Wasaalam, Kila siku tumekua tukisema hakuna kitu kibaya kama kufanya mikataba ya kisirisiri, tatizo Hili kubwa halipo kwenye mpira tu Bali hata kwenye mikataba ya kiserikali, wananchi ndio tuna...
13 Reactions
26 Replies
3K Views
Kitenge nina uhakika pamoja na kwenda Kwako Ulaya / Marekani / Asia kila mara tukikuweka Wewe na Kocha wa Simba SC Mbrazil Roberto Olivieira bado atakuzidi na humuwezi hivyo tunakushangaa...
12 Reactions
68 Replies
4K Views
Kufuatia Morata kuanza kwa kusuasua kwenye klabu yake ya Chelsea. Wengi wanahofu Chelsea wanaweza wakawa wamesajili garasa. Tujikumbushe baadhi ya wachezaji ambao waliwahi kusajiliwa kwa mbwembwe...
5 Reactions
211 Replies
24K Views
Sitaki salamu Moja Kwa Moja kwenye mada, Jumapili kwenye mkutano mkuu wa klabu ya Simba, wakati tukisomewa mapato na matumizi ya klabu, tulitangaziwa kuwa imetumika Tsh bilion 2 kufanya usajili...
7 Reactions
49 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…