βViongozi wa juu Simba wanashughilikia mchakato wa kupata Mkurugenzi wa Michezo klabuni kwetu, itasaidia kupunguza Majuku kwa CEO na kwa vile tunataka kuchua Kimataifa lazima tuishi Levo za...
Aliichukua timu kwa muda anashinda karibu kila mechi. Akawapiga Simba na Alikuwa awapige na Yanga sema refa alikuwa upande wao.
Lakini Kama kawaida wivu, ushamba na kutokujua wakampa timu mzungu...
Habari wakuu!
Tafadhali naomba Msaada kutoka Kwa yeyote ili nipate application yoyote ambayo nita install kwenye simu ili niweze kuwa Na stream live games za soccer nikiwa mbali Na tv. Hii ni nje...
Nauliza tu kwa Uzuri siyo kwa ubaya. Yuko wapi yule mwanajamvi aliyesema Mikel Arteta hafai kuwa kocha wa Arsenal? Ni vizuri kuweka akiba ya maneno.
'Mungu mbariki Arteta'
πππππππππππππ
Kwa mara ya kwanza kwenye historia yake, Arsenal itakua na cheo cha Football director ambae ni Raul Sanllehi *(kabla hajaja Arsenal alikaa miaka 15 kwenye cheo icho Barcelona, engineered Neymar...
Mashabiki wa Arsenal waliokamatwa Jijini Jinja wakisherehekea ushindi wa klabu hiyo dhidi ya #ManchesterUnited katika mechi ya Ligi Kuu ya Uingereza Januari 22, 2023 wameachiliwa huru
Mashabiki...
Mpira wa Jana na Dodoma Jiji Yes Tumeshinda lakini Mwanasimba yeyote hajafurahi sana kwa sbb uwezo wa kupass ulipotea kabisa jana. Hakuna mchezaji hata mmoja wa Simba aliyewez kuwa na utulivu...
Mechi ya ufunguzi dhidi ya bingwa mtetezi wa Kombe la Dunia, Senegal anamfunga Ufaransa iliyotimia goli 1-0 na kuendelea hapo safari ikawa ni nzuri mpaka walipotolewa na Uturuki kwenye robo...
Wale wababe wa uto wapo mjini kujiandaa na Caf champions league group stage ,,wakitarajia kucheza mechi za kirafiki na Azam, Namungo na Simba huku Simba akiwa ndio mwenyeji wao. Huko upande wa...
Utopolo ikiwa na kikosi kamili imeshindwa kufurukuta kabisa dhidi ya Dar City katika mechi ya kirafiki.
Hii ilikuwa mechi ya kirafiki iliyochezwa jioni ya leo.
Mbali na maelekezo ushindi wa...
Habari za mda huu wana michezo
Leo kutakuwa na mechi ya kukata na shoka apo LITI kati ya Azam fc itayochuana na SBS
KISASI CHA MAPINDUZI CUP LEO KINALIPWA
Vijana wapo tayari wamejiandaa...
Huu ni utabiri uliopo wazi kabisa, leo hii mara baada ya dakika tisini kuisha pale taifa; hakika sijawahi kuona Yanga mbovu kama hii.
Timu haina mipango magoli, tunategemea ya kujifunga. Yaani...
Frank Lampard, aliyekuwa kocha wa Everton ametimuliwa baada ya kupata matokeo mabovu kwa kipindi kirefu katika ligi kuu ya Uingereza. Klabu ya Everton inategemea kutoa taarifa rasmi hivi punde.
Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya Nbc na mabingwa wa muda wote nchini Tanzania[emoji1241] Young Africans S.C[emoji617] almaarufu Yanga leo tena wanashuka dimbani kukabiliana na maafande wa Ruvu...
Ni Mwenyezi Mungu tu pekee atusaidie hiyo Kesho Simba SC tuifunge Dodoma Jiji FC Kwao Jamhuri Mkoani Dodoma ila kwa Kinachoendelea Ushindi wa Simba SC Kesho utakuwa ni wa taabu mno, ila naona...
Jana kuna Mipira kama Mitano ( 5 ) tena Muhimu niliona kama angewaachia Wengine wapige huenda kuna Jambo la Faida lingetokea kwa Simba SC ila akawa anang'ang'ania Yeye na Matokeo yake Mipira yote...
Ni uzi maalum kwa kumbukumbu
Kwa vile sayansi haithibitishi kila kitu ikiwemo uchawi inakuwa ngumu kupata ushahidi ila wataalam wa mambo wanakwambia kwamba haya mambo ya kupigana vipapai yapo...
Pogba anataka kurejea Old Trafford:
Kufuatia mgogoro unaoikumba timu ya Juventus,baada ya kupokonywa alama 15 na kushuka hadi nafasi ya 13 kwenye msimamo wa Serie A,sasa kiungo Paul Labile Pogba...
Wakati tukiendelea kumpa pole Messi na Barcelona kwa kipigo kikubwa kutoka kwa Bayern, nimepata nafasi ya kuandika kidogo kuhusu Pele, ni tafsiri kutoka kwenye kitabu chake cha Why Soccer Matters...
Anayokumbana nayo Clatous Chama amenikumbusha pia aliyowahi kukutana nayo pia Juan Mata chini ya Jose Mourinho, Game na Mbeya city kwenye Dk za mwanzo Chama alitolewa na kwenda kupumzika kwenye...