Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Nimekuwa na kawaida kufuatilia wachezaji wetu pendwa lkn huyu cheusi Mangala simuoni oni wenzetu wa series a tubieni kajichimbia hospitali gani
1 Reactions
3 Replies
379 Views
KIKWAZO KWA MANZOKI KUTUA SIMBA. Waswahili wanasema DUNIA ni mzunguko! Kipindi manzoki yupo Vipers FC ni sawa na sakata la FEI TOTO linalo endeleo kwenye club yake kuhusishwa kutaka kuondoka bila...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Mechi za kirafiki. Ikumbukwe tarehe 17 wanacheza na Mbeya City.
10 Reactions
67 Replies
5K Views
Bondia Karim Mandonga ameshinda pambano dhidi ya Said Mbelwa kwa TKO katika raundi ya 6 kwenye pambano lisilo la ubingwa Uzito wa Kati, leo Novemba 25, 2022. Akizungumza baada ya pambano hilo...
13 Reactions
29 Replies
4K Views
Mchezaji wa Manchester City Benjamin Mendy amekutwa hana hatia ya makosa sita ya ubakaji na moja la unyanyasaji wa kingono dhidi ya wasichana wanne. Mahakama ilishindwa kufikia uamuzi juu ya...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Al Ittihad na Al Hilal wameripotiwa kuwa tayari kutoa Euro 350 milioni kwa Messi ili kumnasa kuondoka PSG. Kwa mujibu wa MARCA, klabu zinajipanga kumnasa Messi baada ya Al-Nassr kumsajili mpinzani...
0 Reactions
1 Replies
583 Views
Karim Mandonga pamoja na kujizolea umaarufu katika mchezo wa ngumi, lakini wadau mbalimbali wanaona hautendei haki au kuupa heshima mchezo huo. Jana nilikuwa naangalia clip moja akiwa Kenya...
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Binafsi nilikuwa na bet kwa kuweka kumbukumbu kwenye daftari. Yaani nilikuwa na ukurasa wa Hela niliyobetia na ukurasa wa Hela niliyokula. Baada ya miezi kadhaa nikapata nimempa Mhindi Tshs...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Rais wa heshima wa klabu ya Simba Muhamed Dewji leo ametembelea kambi ya mazoezi huko Dubai ambapo amepata nafasi ya kuongea na wachezaji na benchi la ufundi kuhusu mambo mbalimbali kuhusu klabu...
7 Reactions
34 Replies
2K Views
Mabingwa hao watetezi wa michuano hiyo ya Kombe la Afrika kwa Wachezaji wa Ligi za Ndani wamechukua uamuzi huo kutokana na kutokubaliwa kupata ndege ya kuwatoa moja kwa moja Morocco hadi Algeria...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Ngoja niwe mkweli, kamati ya hadhi ya wachezaji haiwezi kuamua kesi ya Fei Toto, nimesikiliza interviews za Mwenyekiti Mzee Said Sudy namna anavyoongea unajua kabisa hakuna wanachoweza kuamua...
9 Reactions
57 Replies
3K Views
Mchezaji wa newcastle united ya uingereza, raia wa Brazil amekutwa na hatia ya kuendesha gari akiwa amelewa chakari yeye na mrembo aliyeonekana ni kama bidhaa Ikumbukwe vilabu vikubwa kama...
6 Reactions
15 Replies
1K Views
Karim Mandonga, mchezaji wa masumbwi aliyejizolea umaarufu mwaka wa 2022,huku akizidi kujipatia mashabiki kupitia tambo zake, yaani namna anavyojiamini na kutoa maneno ya vitisho kama hujawahi...
1 Reactions
5 Replies
456 Views
Klabu ya Simba leo imekubali kipigo cha goli 1-0 dhidi ya timu dhaifu ya Al Dhafra katika mchezo wa kirafiki uliomalizika jioni ya Leo. Mchezo huo uliopigwa katika uwanja wa mazoezi wa timu hiyo...
8 Reactions
77 Replies
4K Views
Hesabu zimekataa kabisa, wengi wanashauku Man City amfunge Man Utd leo katika Manchester Derby ili atwae ubingwa wa EPL. Leo kwa mara ya kwanza Mourinho akiwa kama kocha wa Man Utd hatofungwa na...
14 Reactions
169 Replies
17K Views
Wakuu huyu kipenzi chetu cha watanzania anatuburudisha vzr sana kwa aina ya kipee sana [emoji38]. Ni bondia anaependwa vzr sana na anafatiliwa hadi na vingozi wa kiserekali hasa waziri mkuu wetu...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Shirikisho la soka ulimwenguni, FIFA limetangaza kufungua kesi za kinidhamu dhidi ya timu ya Argentina kutokana na kile ilichokitaja kama tabia zisizo za kiungwana ilizoonyesha baada ya kuchukua...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Ulishawahi kusikia bahati ya mtende au ngekewa? Au mtu baada ya kuharibu anapewa second chance! Ndio kilichowakuta Denmark mwaka 1992 katika michuano ya Mataifa ya Ulaya. Michuano ya Uefa Euro...
7 Reactions
22 Replies
1K Views
Ikija tokea kukawa na viongozi ambao hawalalii upande wetu ......TUMEKWISHA. Sasa hivi nachoka hata kuishabikia Yanga baada ya kuona kila jambo tunabebwa na viongozi wa Kisiasa. Matches zetu...
8 Reactions
24 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…