Wakuu igweee..
Hii timu yetu ya Simba Leo inaweza kuwa imevunja rekodi ya Dunia Kwa kuwa timu ya kwanza bingwa mtetezi kupigwa na kutolewa mashindanoni Mara baada ya kucheza dakika 90 tu za...
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (Kamati) limepokea malalamiko dhidi yako (FEISAL SALUM ABDALLAH) kutoka kwa Young Africans Sports Club (Klabu) kuhusu hali ya mkataba wako na Klabu.
Kwa...
Football is a Game of Opinions, na kuna wengi wanajaribu kufananisha umahiri wa mchezaji wa kipindi fulani na kipindi kingine; Ingawa ni vigumu na kila mchezaji ana repertoire yake tofauti tofauti...
Klabu ya Yanga imefikia makubaliano na Power Dynamos kumsajili mshambualiaji hatari Kennedy Musonda kwa ada ya uhamisho wa Dollar laki moja sawa na shillingi milion 230 na Kennedy anatarajiwa...
Siku aliyo tambulishwa Mudathir Yahaya baadhi ya mashabiki wengi wa Yanga waliokusoa uongozi kuwa wamesajili galasa, hali ya kuwa wengi hawakujuwa uwezo halisi wa uyo mchezaji.
Sasa je, katika...
Kuna tetesi kuwa mchezaji wa zaman wa tp mazembe thomas ulimwengu atatambulishwa hii leo na club ya yanga, hvi kuna haja gani ya kumsajili garasa kwa sasa. Viongozi kwann?
Mchezaji pekee kutoka Tanzania kushinda CAF champions league.
Mchezaji pekee wa Tanzania kua top scorer kwenye CAF Champions League.
Mchezaji pekee Africa mashariki kushinda tuzo ya Mchezaji...
Tofauti na case ya Benard Morison ambaye case yake ilikaa kimagumashi.
Kwamara ya kwanza case inayohusisha mikataba itatoa precedent kutoka kwenye mpira wa miguu,
Young African Sports Club VS...
Mpaka sasa sijaelewa kuna tatizo gani kwa mchezaji aliyevunja mkataba na klabu yake na akaona yuko sahihi kisheria na yuko huru kusajiliwa na timu yoyote ile nashangaa timu iliyomrubuni na kumpa...
Ndio moyo wa mtu kichaka umeficha mengi sana mabaya na mazuri,meupe na meusi, damu na maji...nk
Hakika msemo huu pasipo na shaka Feisal ametuonyesha maana yake, nani aliamini Feisal yule aliyekua...
Leo Feitoto akiwa na lawyers wake walikuwa wakipambana na TFF kuhusu terms of contract, Feitoto anasema hapana mkataba unaniruhusu huku Yanga wakisema no, law of contract haisemi hivyo.
Huko...
Riziki ni mafungu saba ila katika saba umebakisha moja umalize fungu lako.
Ukiona umepata mafanikio makubwa tambua huko mbeleni kuna misukosuko isiyonatija. CR7 anaamini bado ni mzuri kwenye...
Haya mashindano ni kuchosha wachezaji, hayana tija na hayana quality yoyote ile, ni Mashindano ya Kiswahili.
Kwa Club kupeleka hata timu B bado ni mkaosa sana, kule ni kupeleka C kabisa wakafanye...
Raia huyo wa Italia amefariki akiwa na umri wa miaka 58 alipokuwa amelazwa jijini London, England ikiwa ni wiki tatu tangu alipoacha kazi ya kufundisha Nchini Italia.
Alikuwa akisumbuliwa na...
Ndio Rest in eternal peace Pele mchawi wa soka japo sikupata kukushuhudia ukicheza hakika dunia imepoteza wakali wa mpira Maradona na Pele.
Pia ni funzo kwa sisi tuliobaki tujue tupo safarini...
Wafuatao ndio wachezaji bora kwa kuangalia mafanikio binafsi na mafanikio ya timu walizochezea ikiwemo timu za taifa:
1. Messi
2. Pele
3. Maradona
4. Ronaldinho
5. De Stefano
6. De Lima
7. Zico...
Ulimwengu wa kandanda ulimpoteza "King" Pelé mnamo 2022, lakini jina la mchezaji huyu mashuhuri bado litaendelea kuishi, haswa kupitia watoto 738 nchini Peru waliozaliwa mwaka jana.
Kwa mujibu wa...