Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

"Wakati kikosi kingine kikielekea Kule Dubai ya Africa ( zenji). Mtaalamu wa kupiga ma free kick hapa Tanzania na Africa si mwingine Bali Dr. Aziz ki atabaki avic town akiendesha tuition jinsi ya...
2 Reactions
5 Replies
481 Views
Kuajiri kocha wa kigeni katikati ya msimu ambapo mtani wetu kashatuacha kwa pointi 6 na hapo bado hatujacheza nao, hatujacheza na Azam, hatujaenda mikoani kuminyana na Ihefu, Dodoma jiji, Mtibwa...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Mwamba mwenyewe, Karimu Mandonga, mtu kazi a.k.a Sungunyo kaibuka kivingine huko Nairobi Kenya na aina ya ngumi kali sana itakayomvagaa mtu tarehe 14.01.2023. Kazi ya hatari inaenda kufanywa na...
6 Reactions
35 Replies
3K Views
Mabingwa watetezi wa kombe la mapinduzi Simba S.C wameondoshwa kwenye mashindano hayo kufuatiwa kichapo cha goli Moja Kwa bila. Simba imebakiza mchezo mmoja wa kukamilisha ratiba utakaochezwa...
3 Reactions
69 Replies
5K Views
Mshambuliaji hatari Kwa Sasa duniani Fiston kalala Motoyabimba Mayele amefanikiwa kutwaa tuzo ya mchezaji Bora wa mwaka nchini Congo baada ya kuwashinda wapinzani wake. Mbali na tuzo hiyo, vyombo...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Binaadamu ukimuahidi au akitarajia jambo anaweza asijali sana usalama wa wengine na wakati mwingine hata usalama wake mwenyewe. Teja anapohitaji pesa au chochote ulichonacho haoni shida kukuchoma...
3 Reactions
3 Replies
488 Views
Kumbe ni kweli Feisal amevunja mkataba Yanga ila viongozi wanatudanganya tu. Leo kupitia account yake ya insta amepost akiwa anafanya mazoezi na uongozi wake mpya. Nimeumia sana.
5 Reactions
40 Replies
2K Views
Yaani kama wachezaji wenyewe ndio hawa waliokimbizwa mwanzo mwisho na mlandege, kocha wetu mpya kazi anayo, tena kubwa sana. Tusitarajie kupata matokeo kwa kuwategemea akina kapombe, zimbwe...
6 Reactions
26 Replies
2K Views
Hapa wameshajiharibia. Nimefurahi sana maana wanaenda mfukuza huyu kocha muda si mrefu. Atabaki tena Mgunda na Matola. Ndo nawaaambia hivyo. Wachezaji watamnyima ushirikiano. Atabaki peke yake...
2 Reactions
25 Replies
1K Views
Leo Saa 2:15 usiku, Mnyama Mkali Simba Sc Anashuka Uwanjani Kupekechana na Mlandege Simba SC ambao walipata ushindi mechi ya kwanza kupepetana na Mlandege waliopata sare mech ya kwanza. Je...
6 Reactions
36 Replies
3K Views
Michuano ya CAFCC inahitaji mbinu nyingi sana wakati Juma Mgunda ni mzuri zaidi kwenye uhamasishaji. Ni sahihi kwa Simba kuleta kocha atakayeenda kushindana kimbinu kuliko kuwa na mhamasishaji...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Ningependa kuwakumbusha mashabiki wenzangu wa Arsenal ya kuwa, kwa sasa tupo kwenye hatari zaidi ya kudhuriwa na mashabiki wa timu zengine kuliko vipindi vyote. Yani amani imepungua. Yote ni kwa...
5 Reactions
13 Replies
648 Views
Hawa ndio wangeingia kwenye kikosi cha kwanza. 1. E. Martinez 2. Hakimi 3. T. Hernandez 4. Gvardiol 5. Otamendi 6. de Paul 7. Messi 8. Allister 9. Alvarez 10. Modric 11. Mbappe
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwa mwenye akili unamwambia hongera Sana. Unamtia na moyo na ikiwezekana Basi unajikausha Kama huoni vile. Lkn wanachokifanya Yanga Ni sawa na kulalama tu. Mtu mmempeleka kula miwa Morogoro pre...
1 Reactions
4 Replies
651 Views
Christiano ronaldo aliyehamia klabu moja uko uarabuni amelazimisha kipengele cha kujiunga na Newcastle united majira ya joto ikiwa new castle united ya uingereza utafuzu kucheza UEFA msimu wa...
2 Reactions
36 Replies
2K Views
Ni wana Yanga pekee wanaowaza tofauti na binadamu wengine. Wao ndio pekee wanaoamini kuwa Chelsea Atatwaa ubingwa wa English Premier league wakati kazidiwa points 16 na anayeongoza ligi lakini...
1 Reactions
5 Replies
536 Views
Moja ya mambo ambayo yamekwamisha sana maendeleo ya sekta nyingi nchini ni kuvurugwa au kutokuwepo kabisa kwa vyama vya wafanyakazi. Hii imesababisha kutokuwepo kwa mikataba inayozingatia haki...
0 Reactions
11 Replies
856 Views
Mabondia wanne wa Tanzania wafungwa miaka 15 jela nchini Mauritius kwa makosa ya kuingiza dawa za kulevya aina ya heroin. Mabondia hao ni Case Ramadhani Fills, Nathanael...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Katika kile kinachoonekana anataka ‘kutikisa kiberiti’ japo haijajulikana kama alikuwa anamaanisha au anatania, Kocha huyo wa Al-Nassr, Rudi Garcia ametoa kauli hiyo mbele ya waandishi wa habari...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…