Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kila nikiwaangalia hawa wachezaji wawili nashindwa kuelewa ilikuwaje wakanunuliwa kwa bei kubwa namna ile. Hawa ni underdogs wawili waliotumika kufanya utapeli pale Liverpool na Man united. Nunez...
4 Reactions
6 Replies
740 Views
Msindikizaji Sana huyu dogo. Anasindikiza baadae wanachukua wengine.
5 Reactions
20 Replies
1K Views
Yanga wakimuaga daktari wa timu wiki iliyopita. Kambole amekuwa akifungiwa ndani huko Avic Town Kigamboni ili kuficha aibu ya siasa za usajili. Huyu ni mchezaji aliyetajwa kuachwa na Yanga baada...
14 Reactions
100 Replies
4K Views
#MICHEZO Nyota watano wa klabu @yangasc hawatakuwa sehemu ya kikosi ambacho kimeondoka leo chini ya kocha msaidizi Cedric Kaze kuelekea visiwani Zanzibar kushiriki Kombe la Mapinduzi lililoanza...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Nianze kwa kutoa lawama zangu KWA uongozi wa Yanga kwa sababu nimesikia eti Feisal amejiunga na kambi ya Yanga. Ni kwamba mashabiki wa Yanga hatumtaki Feisal. Tumeshakubali kwamba ameondoka...
16 Reactions
37 Replies
4K Views
DIARRA BADO YUPO SANA: Klabu ya Yanga imetangaza kumwongezea mkataba golikipa wake Djigui Diarra na sasa- nyota huyo atasalia mitaa ya Jangwani mpaka msimu wa 2024/25. Diarra alijiunga na Yanga...
1 Reactions
0 Replies
511 Views
Nauheshimu Uongozi wangu wa Simba SC ila GENTAMYCINE nikiulizwa naonaje Usajili wa Saido Ntibanzokinza jibu langu nitatoa haraka tu kuwa hakuistahili Kusajiliwa Simba SC na Hadhi ya Simba SC siyo...
15 Reactions
65 Replies
4K Views
Salaam Wana JF Ukiondoa ushabiki, akili Banda, uchawa na kuusimamia ukweli wa mpira unaweza kuona ni jinsi Gani Yanga ni industry Bora Kwa maendeleo ya mpira Kwa sababu zifuatazo: 1. Feitoto...
1 Reactions
49 Replies
2K Views
ARSENAL BADO WANAKOMAA NA MUDRYK RASMI: Klabu ya Arsenal imetuma ofa ya pili ya kumsajili nyota wa Shakhtar Mykhaylo Mudryk baada ya ile ya kwanza ya €40m na nyongeza ya €20m kukataliwa. Kwa...
1 Reactions
3 Replies
322 Views
Ni kama hatujiamini tuna maumivu makali sababu yanga inaonesha haina dalili ya kushuka pale juu. Tunatembea na fundo zito la hasira kali tukipata taarifa yoyote mbaya ya Yanga tunaruka kwa furaha...
5 Reactions
29 Replies
2K Views
Nyota huyo wa zamani wa Santos FC, anayetambuliwa kama mmoja wa Wanasoka bora zaidi wakati wote, alilazwa hospitalini tangu Novemba 29, 2022 huko Sao Paulo Ripoti ya utabibu kabla ya Krismasi...
21 Reactions
240 Replies
13K Views
Pape Ousmane Sakho10 ametajwa kwenye kinyang'anyiro cha kikosi bora cha kwanza timu ya taifa ya senegal Hongereni Simba SC Tanzania kwa kuonyesha kipaji cha kijana huyu [emoji91]
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Hii ni tuzo ambayo hutolewa mara moja kwa miaka 30,ambapo hadi sasa aliwahi kuishinda ni Alfredo Di Stephano Pekee yake mnamo mwaka 1989. Kuna kinyang'anyiro cha mkumpata Mshindi Mpya kwa muda wa...
4 Reactions
34 Replies
2K Views
Binafsi ni mshabiki wa mpira wa kiwango cha kati, siyo shabiki lialia anayeweza kulia timu yake ikifungwa. Sasa nilikuwa nawauliza mashabiki lialia wa Yanga, je, kuna ubaya wowote Feisal kwenda...
5 Reactions
40 Replies
2K Views
Huyu gwiji mkongwe katika mpira ameshachoka sasa. Wakati ni ukuta, anatakiwa kujiongeza na kutunza heshima yake. Wenzake wakifikisha miaka ya pensheni huwa wanakwenda Marekani au Uarabuni kula...
15 Reactions
44 Replies
3K Views
salaaam Wana jf Mchambuzi Bora hapa nchini Oscar Oscar, mtu asiye na MBA MBA MBA kwenye tasnia ya football analysis (uchambuzi wa soka) kwa wale waliokimbia shule, ameshare list ya wachezaji 10...
6 Reactions
42 Replies
3K Views
CAF CONFEDERATION CUP 2022/2023 Group D: 1: TP Mazembe (RDC) 2: US Monastri (TUN 3: Young Africans S.C. (TAN) 4: Real Bamako (MLI) Sasa hapo timu inayojiita ya wananchi ishindwe yenyewe tu...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Mbiringe au Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara[emoji1241] kuendelea kugombewa leo Disemba 30,2022 ambapo Wataalamu wa kusakata kabumbu lenye viwango vya CAF Wekundu wa Msimbazi Simba SC[emoji881]...
18 Reactions
621 Replies
35K Views
Kama Msaliti Godfrey Nyange Kaburu angepitishwa katika Usahili na kuwa Mgombea wa nafasi ya Uenyekiti wa Klabu ya Simba ningewadharau Viongozi wangu wa Simba SC na hasa Wanachama. Nawapongeza...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Habarini Wajuzi wote wa Football Duniani na sio Soccer kama wanavyoita kina Joy Biden. Hichi hapa ndiyo Kikosi Bora CHA DUNIA cha Mwaka 2022. Yeyote asiyekubaliana na Kikosi hichi huyo hajui...
2 Reactions
22 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…