Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

BERNARD MORRISON ANA MATATIZO YA KIFAMILIA [emoji41] Yanga kuwakosa watano kwenye mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mtibwa sugar. 1. [emoji1254] Khalid Aucho - Anasumbuliwa na maumivu ya misuli ya...
0 Reactions
7 Replies
903 Views
Nataka nichezee nife hata. Na mchezaji mmoja, Sasa kizungu changamoto hapo sijaelewa Ili mkeka uende inatakiwa mchezaji achezeje huo mpira, apige short golini au mradi kapiga tu shot!? Msaada
1 Reactions
8 Replies
946 Views
Popote pale, muda wowote haiwezekani kutokea mjadala kuhusu nani ni mchezaji wa soka bora zaidi bila jina la Pele kutajwa. Mshambuliaji huyo wa Kibrazili amefanya alama yake kuwa mashine ya...
6 Reactions
10 Replies
2K Views
Na bahati mbaya ninavyojua ni kwamba 99% ya wana Yanga SC ni Choka Mbaya (Masikini) kama mimi tu GENTAMYCINE hivyo hakuna mwenye Ubavu wa kutokununua bidhaa zako zozote kuanzia Maandalizi, Nazi...
12 Reactions
59 Replies
3K Views
Fagio linaendelea huko Azam fc, Na sasa Chilunda na Salula wanatoka kwenda kutafuta malisho mengine.... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mlete, mleteeeeeeeeeeeeeee......
0 Reactions
6 Replies
518 Views
FISTON Mayele anatakiwa na klabu ya RS Berkane 🇲🇦 ambao tayari wameaanza kumshawishi meneja wa wa nyota huyo ili avunje au kununua mkataba wake kisha wampe pesa ndefu kiasi cha $ 550k (Sh 1.2b)...
1 Reactions
29 Replies
2K Views
Nawasalimu kwa Jina la Sports, niende moja kwa moja kwenye Mada. Imekuwa kero sana kila unapofungua social media yoyote ni FEITOTO FEITOTO tuna mpa kichwa Sana Yule chalii mwisho ajione bila yeye...
1 Reactions
24 Replies
1K Views
Na nijiavyo Mfanyabiashara na Tajiri mwenye Akili Timamu hupenda Kufadhili Vilabu ambavyo vinafanya vyema, vinatangazika vyema na viko katika Nafasi nzuri Kimsimamo? Ukiona mahala popote pale...
1 Reactions
9 Replies
442 Views
Jenga picha Pele Mchawi wa Mpira, Huyu katika Biblia ya Soka ni Moses. Ni nabii mkubwa sana. Just imajini akiwa kitandani aambiwe Lione Messi anafananishwa naye. Atakata roho hapo hapo kwa...
10 Reactions
22 Replies
1K Views
Habari wanabodi, Kama mnavyoona kukuru kakara za usajir za mchezaj wa Yanga bwana Feisal Salum (Fei Toto) kwenda Azam zinavyowatesa wana Yanga na hii ilianzia toka kwa mtukutu Bernad Morrison...
1 Reactions
7 Replies
610 Views
Utaratibu wa Wagombea uliwekwa wazi na hata Fomu ulizopewa zilijieleza kuwa kunatakiwa kuwe na Mhuri wa Kisheria na Saini yako Wewe kwa Kujifanya Alwatan ndani ya Simba SC ulivyojaza umeweka tu...
5 Reactions
10 Replies
825 Views
GENTAMYCINE sitaki kabisa kuamini kuwa haya maamuzi ninayoyaita ya kipumbavu na kishamba yaliyofanywa na Kiongozi wa Matawi wa Yanga SC Mkoa wa Dar es Salaam ya kuwataka wana Yanga SC wote kususia...
10 Reactions
63 Replies
4K Views
Nimesikia mwanasheria na uongozi wa Yanga wanasema Feitoto hajafuata utaratibu uliopo kwenye kanuni za FIFA za kuvunja mkataba ambapo mchezaji ili avunje mkataba lazima kuwe na just cause...
19 Reactions
91 Replies
8K Views
Nimelazimika kuandika hivi kutokana na kauli za hawa vijana wauza sura wakisema thamani ya Fei Toto ni Bilioni 1. Hivi inawezekanaje mchezaji wa Bilioni analipwa milioni 4 kwa mwezi yaani 48M kwa...
1 Reactions
10 Replies
660 Views
[emoji599]BARUA RASMI YA YANGA KWENDA AZAM JUU YA MAJADILIANO YA UHAMISHO WA JAMES AKAMINKO NA KIPRE JR. - CEO Andre Mtine kwenye barua hiyo amewaomba Azam wafungue majadiliano ya wao Wananchi...
6 Reactions
63 Replies
5K Views
Legend Pele kahamishiwa Palliative care unit. Yaani huku mgonjwa hulazwa endapo curative care haiwezekani tena. Palliative anapewa dawa za kupunguza maumivu tu,huku akisubiri siku ya kurudi kwa...
32 Reactions
136 Replies
10K Views
Ile connection ya Yanga imeonyesha vipaji vingi walivyonavyo wana Utopolo. Nimeona dada ambaye ni kiongozi wa tawi la Yanga akijimanua hatari kabisa. Kuna yule kijana wa kiume anayatawanya...
8 Reactions
43 Replies
3K Views
Wadhamini wa michuano ya CAF (club bingwa na shirikisho) ni total energies rangi yao ni nyekundu na huvaliwa na timu shiriki kwenye jezi zao. Sasa basi Yanga mtavunjwa huo mwiko uko nyuma kwa...
1 Reactions
23 Replies
1K Views
Katika kipindi iki cha usajili kumekuwa na tetesi nyingi za Wachezaji kuhusishwa na hawa kulwa na doto ila la kustusha zaidi ni uyu miquissone kuhusishwa na hawa jamaa ukifuatilia tunavyosikia...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Yani hapa,mpaka life jitu,tupo tayari kwa mapambano,tunavunja mkataba na azam,tunawafuata dstv,hatutumii vitu vya azam,tunatumia vya azania na makapuni mengine, Yaani tumejianda kwa vita wananchi...
2 Reactions
38 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…