Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Vyombo vya habari mnasikitisha sana, yaani wapuuzi wanakutana, wanapanga kwenda kuongea na nyie waandishi, hoja kubwa hawajui Feitoto alipo, wanatuhumu azam kwa kumrubuni, halafu walivokuwa wehu...
1 Reactions
11 Replies
907 Views
1. Godfrey Nyange Kaburu alishtakiwa kwa Tuhuma nzito za Ubadhirifu ndani ya Klabu ya Simba. 2. Godfrey Nyange Kaburu nae alishawahi Kuishtaki Klabu ya Simba SC baada ya kutokubaliana na Maamuzi...
6 Reactions
13 Replies
1K Views
Makala hii nimeitoa lwa abas mwalimu,nimeileta hapa ili wote tujifunze.nililua namuona Mo tapeli baada ya kusoma hii makala nimepata elimu na sina neno kanjbhai YANGA IJIFUNZE KUTOKANA NA MKWAMO...
6 Reactions
22 Replies
2K Views
Japo mimi ni shabiki wa Yanga ila hili siliungi mkono, wametudhalilisha sana na kuonekana sisi ni watu wenye ulimbukeni mkubwa wa mafanikio, tumeonekana sisi hatuna akili. Mbona wenzetu Simba...
10 Reactions
187 Replies
12K Views
Kwa umri wako na kiwango chako uko kwenye peak ya mafanikio, master mind wako amepanga hesabu zikapangika na wakajaa kwenye hesabu zenu, sasa wewe ndie mchezaji uatakayekuwa unalipwa mshahara...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Sababu ya kutoa maoni hayo ni kwa kuwa wana hofu yasije kujitokeza kama yaliyotokea kwa Cristiano Ronaldo ambaye aliwahi kuitumikia klabu hiyo kwa mafanikio lakini baada ya kurejea mambo hayajawa...
1 Reactions
1 Replies
495 Views
Mambo vipi WanaJf na wapenzi wa ndondi kwa ujumla. Hoja yangu ni kwamba mchezo wa Ngumi Tanzania au bongo ni wa Kimchongo sana, sioni maendeleo yoyote ya Ngumi zaidi ya kumtumia Mandonga kuuhadaa...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Kiungo mshambuliaji mpya Liverpool Cody Gapko aliyesajiliwa kutoka klabu ya PSV ya Uholanzi msimu huu amehusika katika magoli 21katika mechi 14 za ligi kuu ya Uholanzi alizocheza. Amefunga jumla...
1 Reactions
2 Replies
559 Views
Kibu Denis Mechi 7 Magoli 4 Fiston Mayele Mechi 10 Magoli 3 Nawatakieni 'Upuuzi' mwema katika Kumsifu 'Kishabiki' Fiston Mayele huko katika Redio zenu ambazo GSM wanatoa 'Asante' kwa...
7 Reactions
92 Replies
9K Views
Usione vyaelea vimeundwa, Faisal amekuwa Faisal baada ya kunolewa na kupatiwa huduma stahili. Hakuna sababu ya kumzuia mchezaji asiondoke kwenye timu baada ya kufuata taratibu zote, maana hata...
6 Reactions
39 Replies
1K Views
KAULI YA MKUU WA MATAWI YANGA SC MKOA WA DAR ES SALAAM..... 'Kwa tulichofanyiwa na Azam FC juu ya Mchezaji Fei Toto ni Uhuni usiovumilika hivyo nitawahimiza wana Yanga SC wote nchini Kususia...
3 Reactions
4 Replies
577 Views
Tangu Barbara atoe barua ya kujiuzulu hakuna habari yoyote yakuonyesha anaichaje simba ( exit plan) Usajili unangojea dakika za mwisho halafu wachezaji hawajengi muunganiko. Ni vema mtu...
2 Reactions
4 Replies
549 Views
Nzee Mpili shughulikia kijana.. Wapi Nzee Jabiri
1 Reactions
10 Replies
831 Views
Nina uhakika kina timu zimewahi kuomba huduma ya Fei Toto na wachezaji wengine walioko utopolo na wakitoa ofa ya mishahara minono kwa wachezaji. Ninachouliza tu,kuna mchezaji yupi amewahi kuuzwa...
0 Reactions
43 Replies
2K Views
Hapa ulipofika ndiyo uko kwenye kilele cha taaluma yako Umefika hapa kwa kipaji na juhudi kazako na unastahili kupata mavuno ya kazi zako. Bahati mbaya maisha ya bongo yamejaa utapeli mwingi...
2 Reactions
6 Replies
463 Views
Kamati ya usajili ya Simba imeyakata majina ya baadhi ya wagombea akiwemo Godfrey Nyange Kaburu na mafia Idd Kajuna bila kutueleza kinagaubaga sababu za kuwakata ni nini hasa. Na badala yake...
2 Reactions
8 Replies
938 Views
Bahati nzuri Binafsi nakujua ndani nje tena mpaka Dhambi zako ZISIZOSAMEHEKA ulizowafanyia wana Simba SC mpaka ukakoswakoswa Kupigwa Risasi Uwanja wa Taifa na Marehemu Zakaria Hanspoppe baada ya...
3 Reactions
39 Replies
4K Views
Wana Simba SC Wenzangu kuanzia leo anzeni Kumsahau na kuachana nae kabisa Mshambuliaji Cesar Lobi Manzoki kwa nina Uhakika wa 100% na najiamini kabisa kuwa hatokuja tena Kuichezea Simba SC hasa...
5 Reactions
26 Replies
3K Views
Kama Wewe hujawa au siyo miongoni mwa Wawania Tuzo na labda Ulitegemea kuwepo huna haja ya Kumalizia Hasira zako Kwangu GENTAMYCINE kwa Kunitukana na Kunidhalilisha. Kwangu Mimi GENTAMYCINE...
43 Reactions
163 Replies
5K Views
Nilikuona ukiwa katika hali ya utulivu kabisa ukitamka Kuwashauri Azam eti kwanza watafute goli kipa badala ya kuhangaika na FEY! Yaani Kwa mawazo yako ni kwamba kufungwa kwa Azam ilikuwa ni kwa...
3 Reactions
15 Replies
937 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…