Jana tulikuwa tunashabikia Fei Toto kwenda Azam kama vile atatusaidia kuongeza point, leo tunashabikia wauza ukwaju na kusema kipa wao kawaangusha. Yaani kafungwa Azam maumivu makali na lawama...
Nilivyovigundua kwa Yanga SC na kunifanya leo nizike rasmi Imani ya kwanini Jezi Nyeusi zilikuwa zinatumika hadi Kuhisi labda .ni imani za Kiuswahili / Ushirikina ni vifuatavyo....
1. Yanga SC...
Hii ari wanayokuwa nayo wachezaji wa Yanga ndani ya dimba huwa inanifikirisha sana.
Wachezaji wa Yanga kwa muda wa misimu hii miwili sasa, wakiingia uwanjani dhidi ya timu yoyote wanaonesha ari...
Kuna kaujinga fulani kanaenezwa na wajingawajinga fulani hivi kuwa yanga akivaa jezi nyeusi ndio anashinda na asipovaa basi ashindi.
Azam leo wamekataa katakata kuvaa jezi zao za nyumbani wakavaa...
1. Msemaji wa Azam FC aliye Kifungoni Zaka za Kazi.....
Siku ya Mechi yetu na Yanga SC Jumapili tarehe 25 Disemba Tutavaa Jezi Nyeusi.
2. Msemaji wa Azam FC aliye Kifungoni Zaka za Kazi...
Baada ya kufanya vyema pale Coastal Union Abdul Sopu na Victor Akpan walikua "keki moto" kwenye dirisha la usajili wote wakiwaniwa na timu tatu kubwa Tanzania ila Simba ikafanikiwa kumpata Akpan...
Mchezaji maarufu Mzungu wa Simba Dejan Georgijevic ametangza rasmi kutua nchini kukipiga.
Dejan hajaweka bayana kama ataendelea na Simba au atatua Yanga kuziba pengo la Faizal Fey Toto...
Kwanza nawasalimu wakuu, nawatakieni pia heri ya christmas kwa wale walioweza kuiona, Mungu akitujaalia tuonane mwaka mpya kwa kishindo.
Baada ya salaam hizo hapo juu naomba nijikite kwenye mada...
Klabu ya Yanga imeripotiwa kurejesha pesa za kuvunja mkataba kiasi cha Tsh milioni 112 zilizolipwa na mchezaji Feisal Salum
Klabu hiyo imemuandikia barua mchezaji huyo na kumtaka azingatie...
Muda mwingine unaweza kukubali kuwa Yanga ni sikio la kufa iwapo km suala la Fei Toto litawabwaga chini. Je Yanga hawakupata somo kupitia kwa Morison?
Ni kweli Yanga Wana wanasheria tena mahili...
Wakuu herry ya Xmas...
Ishu ya Feitoto kutimkia zake Kwa matajiri wa chamazi imebuma. Azam wamekosea sehemu, kuvujisha taarifa za Feitoto kabla dili lao la usajili kukamilika, imewafanya Yanga...
Habari za muda huu wapendwa,
Sakata za uhamisho za Januari naona zimeanza, nasikia Azam ameweka pesa nyingi sana kwa Fei Toto.
Bosi wangu Yusuph onesha jeuri ya pesa, ikikupendeza mpeni Fei...
Mimi si mtaalamu wa sheria kwa hiyo natumia mantiki ya kawaida tu.
Ni kweli mkataba wa Fei toto ulikuwa na kipengele kinachosema mchezaji akitaka kuvunja mkataba anatakiwa kulipa kiasi cha 100M...
Saikolojia
Nimetizama takribani Mechi Tano ( 5 ) za Simba SC na nilichokiona kwa 90% kinachoisibu ni Utulivu wa Kiakili ( Saikolojia ) ya Wachezaji.
Body Language ya Wachezaji wa Simba SC ukiwa...