Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kama vile naona Uwanja utafurika Maji. Mvua hii Kubwa ya Dar es Salaam Kitapigika kweli leo kwa Mkapa Azam na Yanga?
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Nimekutana na hii hoja kuwa baadhi ya Wachezaji Wastaafu wanalalamika kuwa hawakuwa wanalipwa vizuri ndio maana maisha sasa yanawawia magumu. Bila kujiingiza kwenye sakata hili la Fei Toto na...
0 Reactions
1 Replies
331 Views
Ni ukweli usiopingika kuwa Fei Toto amekuwa moja ya wachezaji muhimu sana Yanga. Na ni ukweli kuwa kijana amekuwa akiipambania Yanga kwa jasho na damu kwa kipindi chote alichokuwa anaichezea timu...
9 Reactions
51 Replies
5K Views
Sote hatuna uhakika humu ila kwa namna navyoelewa siasa za mpira wa Bongo huyu Feisal haondoki Yanga sasa hivi. Haya mambo yanayoendelea mitandaoni sijui its done deal hakuna kitu kama icho. Hii...
6 Reactions
54 Replies
4K Views
Toka hadharani ufafanue suala la Feisal kuhamia Azam. Huku mtaani ni vurugu mechi tu. Mchezaji kuhama timu siyo dhambi lakini zinahitajika taarifa ambazo zinajitoaheleza
3 Reactions
48 Replies
2K Views
Nimelia sana baada ya kuhadithiwa namna TOTO alivyonyanyasika UTOPOLONI 1. Bonus wanapewa timu nzima baadae inatoka bonus ya wageni watupu[emoji24] 2. Aliwahi kuomba gari akaambiwa nyie na gari...
6 Reactions
36 Replies
2K Views
Huu ndiyo ukweli, bwana mdogo alitimiza Yale yote yaliyopo kwenye mkataba ikiwemo kuilipa kilabu yake kiasi Cha pesa ili aondoke Kama mchezaji huru. Sasa Yanga Kwa panic wameisusa hiyo pesa. Sasa...
3 Reactions
8 Replies
649 Views
Leo ni sherehe kwa wakristo wote Tanzania na Duniani kwa ujumla, ni siku ambayo wakristo wengi huwa pamoja na familia zao kusheherekea. Huu utaratibu wa mechi za ligi kuu kuchezwa Christmass...
2 Reactions
20 Replies
924 Views
Kuna mwandishi mmoja ameelezea suala la saga la Faisal hivi..... Feisal Salum kama katekeleza kipengele cha kununua mkataba wake hilo halina shaka linawezekana duniani kote, lakini inasalia Azam...
3 Reactions
46 Replies
4K Views
Huu ndio ukweli ulio wazi , huyu Mchezaji kwa namna alivyofanya ni kwamba haitaki Yanga , anachotaka ni hela za Azam , hata kama hakufuata utaratibu , lakini nia yake ya kuondoka Yanga iko...
4 Reactions
8 Replies
479 Views
Muda mwingine unaweza kukubali kuwa Yanga ni sikio la kufa iwapo km suala la Fei Toto litawabwaga chini. Je Yanga hawakupata somo kupitia kwa Morison? Ni kweli Yanga Wana wanasheria tena mahili...
0 Reactions
0 Replies
442 Views
Huu ndio ushauri wangu kwa kocha na uongozi mzima wa Yanga. Yanga mtakeni Fei na Azam wafuate taratibu kisha mumuruhusu aende zake huyu hawezi tena kuitumikia club ya Yanga kwa moyo kwani hata...
3 Reactions
8 Replies
702 Views
Wakati Feisal akiwaaga wachezaji wenzake, mashaabiki wa Yanga, na uongozi kwa ujumla, Yanga wameibuka na madai mazito. Habari hii hapa: KLABU ya Yanga inapenda kuujulisha umma na Wanachama wa...
8 Reactions
64 Replies
12K Views
Mjadala wa sasa ni kuhusu Feisal kuondoka Yanga, huku akihusishwa kutaka kuhamia Azam FC. Sio yeye Feisal wala Azam Fc waliosema kuhusu Feisal kuhamia Azam Fc bali ni tetesi za mitandaoni za...
0 Reactions
4 Replies
723 Views
Kwa sasa Makolo wanafurahia haya yanayoendelea Yanga ila nawashauri wafurahie pia pale jeuei ya pesa za Azam zitapotumikia dhidi yao. Tetesi ni zaidi ya mchezaji mmoja wa Yanga kwenda Azam na...
2 Reactions
3 Replies
540 Views
Hizi habari kama ni kweli, andaeni mlungula wa kutosha kwa waamuzi na wapinzani wenu. Pia jiandaeni kuumiza mchezaji mwingine kwa timu zilizo matishio kwenu. Kumbukeni bila muamala,bila Feitoto...
7 Reactions
52 Replies
7K Views
Mchezaji sio taasisi, Mchezaji ni nafsi huru, ni takwa la nafsi, ni hiyari ya nafsi na takwa la mtu binafsi, mchezaji ni mwanadamu kwa maana hiyo ana utashi binafsi, kitu pekee kinachomfanya mtu...
1 Reactions
3 Replies
502 Views
Kalimangonga Ongara ni mtoto wa mjini,tangu aichukue timu kuna mabadiliko nayaona. Timu imeamua kuwa ya kihuni kama wahuni wa jangwani na msimbazi. Azam sasa kuna viashiria vya kununua mechi...
3 Reactions
10 Replies
984 Views
Mwaka wa sheitwan ,hizi ni za ndaaaaaaaaaaaani sana [emoji871]Licha ya hapo awali kuelezwa Yanga wanambakisha Dickson Job lakini taarifa zilizotufikia mchezaji huyo bado hajasaini mkataba mpya...
4 Reactions
52 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…