Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Nitawashangaa ndugu zangu wa utopoloni wakishindwa kumwadhibu/ kumloga huyu mchezaji kwa kitendo cha kuwafanyia umafia wakati wakielekea kwenye mchezo wao muhimu wa kufungia mwaka dhidi ya Azam...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
"Naipambania sana timu yenu kuliko hawa wachezaji wa kigeni mizigo mizigo, ila kila nikiwaambia mniongezee mshahara mnasema hata kupewa huu unahodha wa timu ni heshima kwangu, kwa Wazanzibari na...
14 Reactions
41 Replies
9K Views
Hizi tetesi zimekua nyingi mno tangu jana..lakini upande tunaousikia ni mmoja tu,sijui muhusika ana maoni gani? Lakini kwetu sisi yanga nadhani maisha yanawezekana kabisa bila Fei Tuombe uongozi...
0 Reactions
3 Replies
373 Views
Umekuwa wakati mzuri sana kuichezea klabu ya Young Africans SC (Yanga) klabu yenye historia kubwa na ya kuvutia chini na Afrika yote. Tumekuwa na nyakati nyingi mchanganyiko, tulifurahi pamoja...
4 Reactions
32 Replies
4K Views
Nimeshangazwa sana na wanazi wa Simba kufurahia sana habari za usajili wa kiungo fundi Feisal Salum kwenda Azam. Japo habari hizi bado hazijawa rasmi, ila zimepeleka furaha sana kwa hawa ndugu...
7 Reactions
28 Replies
2K Views
Tunachokifahamu kuhusu pamoja wa kunyongwa kwa mwanasoka Amir Nasr-Azadani wa Irani CHANZO CHA PICHA, FIFPRO 23 Desemba 2022 Mwanasoka wa kulipwa wa Irani Amir Nasr-Azadani, 26, baada ya kulipwa...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Mnaiifanya nyie matajiri mna hela, mkimtaka mtu hamumkosi kumbe usanii mtupu, hvi tuwe wa kweli Fei Toto alipwe mshahara wa m 4 kwa mwezi halafu Morrison alambe M 19, Aziz Ki alambe 22, Mayele...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Tunakoelekea sio kuzuri na jitihada za kujinasua sioni. Mashabiki tunajaribu kuzungumza hatusikilizwi. Nashukuru Barbara katoka bado moo, ili tuanze upya hawa wametuharibia timu yetu. Nachukia...
9 Reactions
56 Replies
2K Views
Naombeni washabiki wa Yanga tuwe na subira. Kupitia kesi ya Feitoto tutajua tu ukweli Kama Yanga inalipa keshi au inawakopa wachezaji. Kwanini saidoo akiondoka na Dikson ambundo kidogo afungiwe...
1 Reactions
2 Replies
665 Views
Issue ya Fei toto inanikumbusha nilivyoamua kuacha kazi. Jpili mchana niko nyumbani taarifa ya ajira mpya ikatoka, nikaingia mtandaoni kucheck. Katika majina jina langu pia lilikuwemo kwa haraka...
25 Reactions
22 Replies
2K Views
Siasa za mpira bongo zimerudi tena kwa kasi Sana Contract termination ni Kati ya mchezaji na club je imefanyika hivyo? Mchezaji hawezi kuongea na club nyingine mpaka mkataba wake uwe umebakiza...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Nasikia kuna breaking news kwamba eti Yanga wamerejesha fedha zilizo lipwa na Fei ili Fei aendelee kucheza Yanga. Ni utoto huu. Mashabiki wa Yanga tayari wamesha Kubali kuondoka kwa Fey. Kama...
9 Reactions
41 Replies
9K Views
Baada ya kumalizika kwa Kombe la dunia nchini Quatar 2022, Baadhi ya mashabiki wa Christiano Ronaldo wamevunjika moyo sana nakuona kama ndoto za mchezaji huyo maarufu Duniani wa Ureno za kutwaa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ndo inaishia hivyo. Kutoka vyanzo vya ndani, licha ya Yanga kurejesha pesa na kudai mkataba uheshimiwe lakini imeonekana na wazi kuwa hali haitakuwa tena shwari kati ya Fei na Wananchi kwa sasa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ni nini kimetokea mbona Simba Queens imekuwa timu mbovu ghafla? Ni huyu Kocha mpya au kuna tatizo la kiungozi? Ukiitizama Simba Queens hii na ile iliyofuzu Klabu Bingwa (siyo iliyocheza klabu...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Sakata la Feisal na Yanga linaendelea kupamba moto. Bahati mbaya hizi timu za Simba na Yanga zina maujinga sana. Ndio maana utaona kila siku zinakuwaga na habari za wachezaji waliowakariri...
11 Reactions
30 Replies
4K Views
[emoji599]Kama kila kitu kitaenda sawa, BOBOSI BYARUHANGA kutoka Uganda [emoji1254] atajiunga na Yanga kama mbadala wa Feisal Salum, uwezekano huo ni mkubwa mno mpaka hivi sasa. Na hizo ndio...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Hatimae mwanasoka machachari C.ronaldo amesema ni rahisi sana kushinda mataji ukiwa na Brazil, Germany, Argentina, lakini ni ngumu kushinda ukiwa na Portugal. Haya yote ni baada ya kutolewa na...
1 Reactions
10 Replies
506 Views
Kazi ya kocha wa timu ni kuratibu wachezaji kwa kutumia vipaji vyao TU, sio vingine. Kazi ya kuhakikisha fitness ya wachezaji ni ya kocha wa viungo, kazi ya kuhakikisha kuwa wachezaji, Wana...
0 Reactions
0 Replies
377 Views
Klabu ya Simba imefanikiwa kunasa saini ya Saido Ntibazonkiza, raia wa Burundi aliyekuwa anachezea timu ya Geita Gold. Mchezaji huyu amesaini kandarasi ya mwaka mmoja na nusu kwenye klabu hiyo...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…