Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Timu Ronaldo walipiga kelele nyingi sana ndani ya miaka hii michache iliyopita hadi tukaona tuwaache tu, sasa leo hii pumba na mchele vimejitenga hakika sasa wote tunaongea lugha moja. Wakati Cr7...
22 Reactions
167 Replies
8K Views
Kazumari kamwaga unyunyu jamani. Ebu tujadili huu mkataba wa Feisali. Kwanza ni KWELI pasi na shaka yoyote kwamba Feitoto amewapa NOTISI klabu yake ya Yanga SC ya kuvunja mkataba nao. Feisal...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Viongozi na Wachezaji wote wa Klabu ya Simba wamezuru kaburi la Shujaa Maguful na kuweka mataji ya mauwa na kupiga picha za kumbukumbu. Meneja wa Simba SC Rweyemamu ameishukuru familia ya Shujaa...
9 Reactions
21 Replies
2K Views
Kuna tetesi za Feisal kuondoka kwenda Azam, kama lina ukweli basi atakiwe kila la kheri maana mpira ni ajira. Ila napendekeza uongozi ufanye replacement yake kwa kumchukua mchezaji fundi kutoka...
2 Reactions
6 Replies
584 Views
Habari ya asubuhi wana Simba. Nina mawili ya kusema: Hivi ni kweli Simba imepokonywa bus na wale wawekezaji? Kama ni kweli hii ni aibu kubwa kwa timu kubwa kama Simba kukosa bus la mil 200. Hebu...
7 Reactions
62 Replies
4K Views
Nimewaangalia hawa vijana na kuona wanafanana kwa vitu vingi, hawa ndio walinganishwe pamoja. Sio sahihi kumlinganisha Mbappe na mentor wake pale PSG (ambaye ndio mfalme wa football) au yule mzee...
13 Reactions
85 Replies
4K Views
I was there myself, Quata is place to be, everything is perfectly done, beautiful city Doha 100% though the Europeans don't want listen to it. We wish more Arab Middle East countries to hold more...
4 Reactions
10 Replies
505 Views
Sitaki kuiamini sababu kuwa Kusafiri kwa Basi kwenda Kagera ndiyo kumesababisha Uchovu ule Uliioonekana kwa Wachezaji walipocheza na Kagera Sugar FC. Ila nikiambiwa moja wapo ya Sababu hizi za...
5 Reactions
15 Replies
1K Views
Ligi ya bongo bingwa anaanza kuonekana mapema mno, watu wa mpira walishajua bingwa wa msimu huu ni nani. Kuiombea mabaya Yanga apoteze sio sababu je akipoteza simba anaweza kuendeleza ushindi...
1 Reactions
15 Replies
562 Views
Haikuwa bahati mbaya,na sio mara moja kwa matendo yasiyo ya kimichezo kuoneshwa kwa wachezaji wa Simba. Ninasema sio bahati mbaya kwa sababu ya kujirudia rudia kwa vitendo vusivyo vya kimchezo na...
2 Reactions
43 Replies
3K Views
Hiyo ndio habari kuu kutoka Argentina Mchezaji bora wa muda wote duniani Leon Messi anapendekezwa sura yake kutumika kwenye sarafu na noti za Argentina Heshima kwa Messi Gazeti la elfinanciero...
8 Reactions
55 Replies
3K Views
~ Yanga wamalizana na Muzungu kutoka Berkane. ~ Yanga wanamaliza na Bobosi. ~ Yanga wanatarajia kuwatumia Yacouba, Sogne na Kambole kwenye mashindano ya Mapinduzi, ili kuwaangalia nani wa...
3 Reactions
21 Replies
4K Views
"....Simba kama Taasisi huingia mikataba na wadau mbalimbali na tofauti kwenye mikataba huwa zinajitokeza popote pale na kama Klabu tupo kwenye mazungumzo na wadhamini wetu ili mambo yarejee kama...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Mwekezaji Mohammed Dewji, CEO Barbara Gonzalez na Mwenyekiti wa Bodi ya Simba SC Salim Abdallah Mhene 'Try Again' wana Simba SC hatutowaelewa kama hatutalisikia Jina la Mshambuliaji Kiboko ya...
1 Reactions
6 Replies
942 Views
Kuhusu Luis Miquissone Klabu ya Abha Club inayonolewa na Kocha Roel Coumans ililipa zaidi ya Milioni 700 kama Loan fee kumpata Luis Miquissone kutoka Al Ahly. Kwa sasa thamani ya Luis Miquissone...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Ukiitazama timu ya Simba Kwa macho ya kiuchambuzi ni timu iliyokamilika sana Kila sekta, Wana beki wazuri, viungo plus washambuliaji ila wakija uwanjani wanakosa consistence Leo wachezaji hao hao...
3 Reactions
22 Replies
1K Views
Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) limefikia maamuzi hayo baada ya mpishi huyo maarufu wa nyama kuingia uwanjani baada ya mchezo wa fainali kujumuika na wachezaji wa Argentina kushangilia...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Denis Nkane aliumizwa jana na kutolewa nje. Amekwenda kufanyiwa vipimo kujua ukubwa wa jeraha. Kitu ambacho huenda hukijui ni kuwa, baada ya kutolewa nje ya pitch ililazimika Yanga wacheze...
2 Reactions
4 Replies
498 Views
Huyu jamaa tangu aingie kuwa afisa habari wa Simba, timu ya Simba haijawahi kuifunga timu ya Yanga, pia mwenendo wa club yetu umekuwa wa hovyo sana, kila siku analeta porojo tu. Mimi nadhani...
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…