Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Habari wadau. Wachambuzi mbalimba wa soka wamedai kwamba Bingwa wa Kombe la Dunia ambae Ni Argentina aliandaliwa Mapema ili Messi atwae ubingwa kwa sababu za kibiashara. Safari ya Argentina Hadi...
4 Reactions
151 Replies
5K Views
Baada ya kuziangalia timu zote kwenye mechi zilizowapeleka robo fainali, imekuwa dhahiri kwangu kwamba fainali itakuwa kati ya timu hizo. Brazil anaweza kumtoa Croatia ingawa sitarajii iwe hivyo...
27 Reactions
197 Replies
13K Views
Karim Benzema has announced his retirement from international football on his 35th birthday, just a day after France suffered a heartbreaking penalty shootout defeat to Argentina in the World Cup...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Kombe la dunia limefikia tamati. Ilikuwa rahisi kukisia matokeo ya mechi nyingi na kuona timu ambazo hazitafika mbali. Ili timu yoyote ibebe kombe la dunia ni lazima wachezaji hawa wawepo: 1...
13 Reactions
40 Replies
2K Views
Jamaa baada ya kupewa golden globe akafanya ishara Kama Ana**MBA vile mbele ya watu bilioni 4
6 Reactions
21 Replies
2K Views
Tumekuwa na wakati mzuri sana kuangalia kombe la dunia na sasa tunakaribia kufika mwisho. Kila timu imevuna ilichopanda. Argentina ndio timu bora zaidi kwenye michuano hii. Lionel Messi anaenda...
19 Reactions
92 Replies
5K Views
Hizi tuzo zilitolewa kwa kuangalia mshindi wa UEFA Champions League (UCL). Ni dhahiri kwamba mchango wa Modric ni muhimu na wakipekee. Kama asingekuwepo Modric wala Real Madrid wasingeshinda hayo...
1 Reactions
8 Replies
571 Views
Leo wahaini tunawatoa kamasi👇 Sisi wana Argentina wenye mpira wetu, leo ni leo, tuna jambo letu kuhusu Wafaransa wa asili na wahaini/Waafrika wale mahaters wa Morocco mliokua mnawatukana na...
4 Reactions
38 Replies
1K Views
Hii transformation ya soka la Tanzania kuwa bongo muvi naiona ikiienda kwa kasi sana ikiongozwa na hawa jamaa watakao comment matusi hapa chini. Wasomali ni mafia sana,hili jambo linaonekana kwa...
1 Reactions
63 Replies
3K Views
Yule mchezaji na kocha mwenye bahati zaidi duniani anaichukua timu ya taifa ya Ufaransa kama kocha kuanzia January 2023. Ninatarajia ataenda kubeba Euro 2024 na kombe la dunia mwaka 2026...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Huyu ndiye golikipa wa timu ya Taifa ya Argentina ambaye mchambuzi maandazi wa soka TBC alidai anaidakia timu ya Sevilla la liga Hispania. Ukweli ni kuwa ni golikipa wa Aston Villa EPL UIngereza...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Afrika itabaki kuwa Afrika tu, hususani hapa Tanzania. Nimefuatilia katika social media's za bongo, aise ni kama vile walikua wanatafuta vijisababu kutoka kwa hawa ndugu zetu Waarabu (Morocco) ili...
4 Reactions
47 Replies
2K Views
Rais huyo wa zamani wa FIFA, amedai kuwa hakutaka michuano hiyo ya 2022 ichezwe Qatar kwa kuwa ni nchi ndogo kuweza kusimamia shughuli hiyo kubwa ya soka. Blatter (86) ambaye alikuwa Rais wa FIFA...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Habari, Ikiwa ni dakika 1 kabla ya mechi kati ya Qatar na Ecuador kuanza natabiri Argentina kuchukua kombe mwaka huu, na wewe unatabiri timu gani kuchukua ubingwa?
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Habarani Wapenda Michezo. Naomba niseme mapema mimi ni shabiki wa Ronaldo the Boy from Madeira CR7 shabiki Kufakufa. Hio haimanishi siwez kusema mazuri ya Messi NO, MESSI is so F*ck*ng Talented...
4 Reactions
61 Replies
3K Views
Team Messi Kesho tunanyanyua makwapa kwa mara ya Kwanza kabisa tukisherekea kombe la Dunia. Hapo Ufaransa kashaleta ufala wake, tumepita naye 3:1, dakika 6 za nyongeza zinaisha Mbappe haamini...
5 Reactions
40 Replies
2K Views
Kuoneshwa kwa Kombe la Dunia na kufuatiliwa kwa karibu na watu wote imesababisha kupunguza ladha kwa soka letu la kivyetu vyetu. Mood tuliyo nayo kwa walio wengi sio tena kwa Chama wala Azizi K...
0 Reactions
1 Replies
304 Views
Mshambuliaji huyo amekataa ofa ya Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron ambaye ametoa ndege yake binafsi kwa wachezaji wote majeruhi wa taifa hilo kwa ajili ya kwenda Qatar kushuhudia mchezo wa...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Alichokifanya huyu mwamba kwenye kombe la dunia haswa Jana ni tofauti na alivyokuwa Man United, nahisi alikuwa anatufanyia kusudi, mpira wa Jana ndo wa di Maria tulikua tukiujua.
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…