Tang Barbra atangaze kuachia ngazi Simba na leo ameonekana Qatar akishuhudia final ni ishara tosha kuwa Ceo huyo alikuwa akiizamisha Simba, Simba inapiga mpira mwingi sana jamani, wachezaji...
Kwanza kabisa nimefurahi Messi kuchukua kombe la dunia. Isingekuwa haki kama huyu mwamba angestaafu bila kuchukua hii ndoo. Poleni timu Ronaldo, mimi nafurahi nikiona mnaumia.
Niende kwenye mada...
Ni kama jambo jepesi lakini limebeba maana nzito ya kiulimwengu!
Lengo kuu la kuiteka dunia kwa kuifanya dunia kuwaza pamoja, kwa muda mmoja na jicho la pamoja si jambo jepesi hata kidogo! Hii ni...
Jana mchana niliposema Waafrika tulimtuma Kolo Muani kuwapiga kibao Morocco kwa kusema wao sio waafrika na leo tunamtuma Kylian Mbappe kuwapiga ngumi Argentina ilionekana ni kama jambo jepesi...
Tetesi za usajili kwa upande wa Simba zimetawaliwa na ujio wa Manzoki. Dirisha la usajili lililopita watu wa Simba waliongea sana na wengine kuaminisha ulimwengu kuwa the deal was done. Matokeo...
Mfalme wa Morocco alikuwa rafiki mkubwa wa Shujaa Magufuli, kwa sababu ya urafiki wao tumejengewa msikiti wa Kinondoni na tumeahidiwa kujengewa uwanja wa mpira jijini Dodoma. Tunawapongeza sana...
Sijui nini kimemfanya kocha wa Argentina kumtoa Angel Dimaria mapema vile wakati yeye ndo alikuwa chachu kwa matokeo ya Argentina.
Baada ya kumtoa tu Ufaranza wakaanza kufunguka na hatimae...
#FIFAWorldCup2022: Ni Desemba 18, 2022 Dunia itashuhudia Fainali za Kombe la Dunia lililoanza Nov 20, 2022 huko Qatar kwa kuzileta pamoja Timu za Mataifa 32 zilizomenyana kwa jumla ya Mechi 64...
Wakati tukiiendelea kusubiri mtanange wa kuhitimisha kombe la Dunia leo jioni
Kati ya ARGENTINA vs Ufaransa
Kuna jambo sio zuri
Mchezaji wa Ufaransa na Real Madri, Benzema aliomba ashiriki...
Wabongo washamba sana.
Ibakie tuwashabiki na Mpira umeisha nilikuwa upande wa mfaransa wewe ajentina usiingize masuala ya utumwani Kwa kuwa kama alioutumwani Messi na mbappe ndgu yako sio Messi...
TBC ni chombo umma wa watanzania kinachoendeshwa kwa Kodi za watanzania wote. Ninamshukuru waziri mwenye dhamana ya michezo, waziri wa habari na mawasiliano na Mkurugenzi wa TBC kwa kuwafikiria...
Jana France imeumizwa na watu weusi kama ilivyoumizwa england mwaka jana.
Nashindwa kufahamu tatizo ni nini, siku zote pakishakuwa na mikwaju ya penalty ukiona wabantu wanasogelea sogelea mpira...
Hii article nimeitoa online BBC; ni majibu ya mwandishi mmoja ikijaribu kujibu kwanini Afrika haijawahi kuchukua hili Kombe...
In November, Cameroon football federation president Samuel Eto'o...
Kwenye Cup Competitions unahitaji zaidi defense; unaweza ukawa timu mbovu ila kama una discipline na unapaki basi matuta yanaweza yakakufikisha mbali.
Sasa huyu Kocha tangia achukue timu hapo 2nd...
Nisimungunye maneno ,kwa moyo wangu wa dhati na kama ningekuwa namjua mganga wa kuloga ningeomba awaloge Argentina wasibebe World Cup.
CR7 umri umekwisha hope hataonekana kwenye next world cup...
Sheria inawataka warusha maudhui wa televisheni kuonyesha bila malipo matangazo ya vituo visivyolipiwa (local channels). Miongoni mwa channels zinazotakiwa kuonyeshea bure kwa mujibu wa sheria ni...
Mara kwa mara nimekuwa nikijizuia kuandika chochote hapa JF chenye ubashiri kwa woga wa kuonekana ni muongo au mzushi, lakini baadaye ule ubashiri wangu (niliobakia nao akilini) kwa sehemu kubwa...
Mchezo umemalizika
Kibu Denis anaipatia Simba goli la tano akimalizia pasi ya Chama
GOOOOOOOOOOOOOOOOO
85' Simba inataka kufanya mabadiliko ya wachezaji watatu kwa mpigo
Sakho anapiga shuti la...
Wachezaji wa Ufaransa waliokosa penati ni Kingsley Junior Coman na Aurélien Djani Tchouaméni.
Baada ya dakika 90 kukamilika matokeo yakiwa 2-2, zikaongezwa dakika 30 matokeo yakawa 3-3, ndipo...
Yes, perfect timing for Messi kuchukua Kombe la Dunia, hili kombe lina uzito kuliko UEFA Champions na ndio maana ni mara moja tu kila baada ya miaka minne, hakika Messi anaenda kuizoa Ballon d'Or...