Nani kakuambia waarabu hawapendi sana mpira? Mfalme wa Saudi Arabia (King Salman) ameitangaza kesho tarehe 23/11/20-11 kuwa siku ya mapumziko ili watu wapate nafasi ya kufurahia na kusherehekea...
Ndiyo hivyo me sina mambo mengi ya kusema, siwezi kukosa hii burudani kubwa Duniani eti kwasababu we unasema mpira ni ushetani.
Na haya maimani mko nayo nyie maskini, matajiri wanaenjoy burudani...
1. Wanacheza Kimkakati zaidi kama Simba SC
2. Wana Wachezaji Wapambanaji kama wa Yanga SC
3. Wana Golikipa Bora sana
4. Messi anawarahisishia Kazi Wengine
5. Wana Morali ya Kiuzalendo hasa
6...
Baada ya timu ya Morocco kutolewa Jana na Ufaransa lakini ni ukweli usiopingika kuwa timu ya Morocco imeithibitishia Dunia kuwa haikutinga fainali kwa kubahatisha.
Lakini pia wameithibitishia...
Nimevutiwa sana na ukabaji wa Kelvin Nashon wa Geita ktk mchezo wa Leo, ameupiga sana kijana huyo, nawashauri Simba wamchukue kijana huyo akamsaidie Saido Kanoute.
Sent from my SM-F916B using...
Binafsi ni mshabiki mkubwa wa Argentina lakini game ya leo naona kabisa Ufaransa anabeba.
Ufaransa ni team yenye uzoefu mkubwa na wana kocha ambaye anajua vizuri kucheza kwenye game muhimu kama...
Mtangazaji Mpenja akazidi kulinadi soka lile kwa kusema linapendeza unaliangalia huku ukitupia bisi moja moja mdomoni!
Nilikaa jirani na mashabiki baadhi wa timu ya upande mwingine tena baadhi...
baada ya mwezi mmoja wa kandanda - na jumla ya mechi 63 - Kombe la Dunia la Qatar 2022 linatarajiwa kufikia tamati Jumapili jioni.
kabla ya Ufaransa na Argentina kutinga katika Fainali ya Kombe...
Leo majira ya saa 12 jion kwa saa za Afrika Mashariki kutakua na tukio la kidunia pale Nchini Qatar. Mchezo wa leo utapigwa katika Dimba la Lusail.
Match itakua baina ya Miamba ya Ulaya France...
Waarabu wametumia dollar bilon 220 jiandae kombe la dunia hii haijawahi kutokea duniani
Ila upate picha halisi ni kuwa Brazil alitumia dola bilion 10 kuandaa kombe la dunia h2014
Russia alitumia...
Mwana Jamii Sport ikiwa tunaelekea Mwishoni kabisa Mwa Mashindano Makubwaaa Duniani ambayo yamefanyika pale Qatar kwa Ma-Sheikh upi utaburi wako katika Nafasi hizi?
1. Mfungaji Bora
Hadi saa hizi...
Wakuu mwaka jana sjui juziii(sikumbuki vizuri) watu wa Heineken waliweka big screen pale kigamboni kuonyesha fainali ya UEFA Champions League.
Vipi mwaka huu hakuna sehemu watakayoweka big...
Luca Modric amehitimisha huduma yake kwa timu ya Taifa ya Croatia. Hakika ameitendea haki jezi hiyo na pia heshima,adamu na ustaarabu wake utakumbukwa daima uwanjani. Tumejionea leo mapenzi ya...
Mo Arena Bunju ni Uwanja wa Simba au wa Mo? Je, Mo akiuza hisa zake ataondoka na uwanja wake?
Maana sio Uwanja wa Simba ni Uwanja wa Mo!
Cc. Mbumbumbu fc😀
Hivi hamkufanya maandalizi kabla ya hii mechi ili kujua izo nguzo zilizopo uwanjani zitaziba camera zenu wakati wa urushaji matangazo? Yaani mmekosa kabisa sehemu nyingine ya kufunga kamera? Hiki...
Wahenga walivoleta hule msemo wa mchumia juani hula kivuli ulikuwa una maana kubwa [emoji2]na ulikuwa unatumika kwenye nyakati mbali mbali basi ndo Marcelo Bielsa dhidi ya Pep Guardiola, tunaishi...
DJ NIPE KWANZA NYIMBO YA SINA UBAYA SINA UBAYA NAE
UKWELI HALISI EO TUNAISHIA TAMATI TA MASHIDANO YA WCUP NAJUA WENGI WMECHEPUKA SANA KUSINGIZIA WCUP
KBW ZAIDI NDUGU YANGU MESSI KITU PEKEE...
.... 🚨 Kuhusu Cesar Manzoki iko hivi ;
Klabu ya Simba SC iko serious ikihitaji saini ya Cesar Lobi Manzoki na tayari walishafanya majadiliano kuhusu kuitumikia Simba.
Lakini klabu ya Dalian pro...
Habari wadau wa michezo,
Kuna tetesi au taarifa ya kweli ikihusu TBC1 kuonyesha mechi za Kombe la Dunia nchini Qatar mechi takribani 28 ni jambo la kupongezwa sana.
TV'S Kama KBC, UBC, MBC YA...
Kama ulikua hujui mshindi wa kombe la dunia pamoja na washiriki wengine mwaka huu wanabeba kibunda cha Thamani gani basi soma hapo chini
Kwa mujibu wa Fifa ilitenga kiasi cha $440m(Trilioni...